Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Yeye sio Mungu
 
Trump is a Putin bitch.
 
Trump is a Putin bitch.
Says who ....

Bush: Russia invaded Georgia.
Obama: Russia invaded Crimea.
Trump: Russia thought twice.
Biden: Russia invaded Ukraine.

If that's not enough !!

Your browser is not able to display this video.

Putin alikuwa anamgwaya Trump, ona hapa kaishiwa nguvu kabisaπŸ˜€

Your browser is not able to display this video.
 
Logical non sequitur.

Correlation does not mean causation.
hata uongee kirangi facts hazibadiliki, weka facts sio quotes

The russia hoax really did brainwash you
 
hata uongee kirangi facts hazibadiliki, weka facts sio quotes

The russian hoax really did brainwash you
Fact ni kwamba Putin kutoanzisha vita wakati wa urais wa Trump haimaanishi kuwa urais wa Trump ndiyo umesababisha Putin asianzishe vita.

Cirrelation does not mean causation.

Inawezekana kika ukila ndizi kichwa kinauma, ukafikiri ndizi ndiyo inasababisha kichwa kiume.

Wakati si kweli, ndizi haisababishi kichwa kikuume.
 
Trump kaja kuzurula TU hapo Washington Middle East hakuna wa kuituliza, Tena mbinu zenyewe anazokuja nazo za kumwaga silaha never Hata achieve chochote.
 
Inaweza kuwa ngumu kukuelekeza lakini mfano mrahisi wa Putin kukaa kimya kipindi cha Trump na kulianzisha mara tu Trump alipoondoka ni sawa na Panya kujiona mwenye nyumba paka anapoondoka.

Na sio Putin pekee alitulia, Ni mpaka Iran, walijaribu kuleta choko choko kilichowakuta kiongozi wa Jeshi alitunguliwa, Taleban kwa miezi 18 hawakuthubutu kugusa hata unywele wa Mmarekani yeyote baada ya Trump kutoa onyo, Hakukuwa na mambo ya October 7, n.k.
 
Correlation does not mean causation.

Huelewi wapi?

Thibitisha Trump ndiyo sababu.

Nikimtaja rais wa Africa ambaye alikaa madarakani miaka sawa na Trump nikasema Putin hakuanzisha vita miaka hiyo kwa sababu ya rais huyo wa Africa nitakuwa sawa?
 
correlation doesn’t imply causation, but patterns often arise for reasons πŸ˜€ Trump alikuwa na policies imara za ulinzi na kuipa support Ukraine katika kipindi chake, Nato kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu kila nchi ilichangia share yake kwa shinikizo la Trump, see these patterns ??

Biden was weak, anadharaulika kwenye mikutano ya kimataifa, nchi imekumbwa na mfumuko wa bei, karuhusu wahamiaji haramu milioni 20 , alijikita zaidi na mambo ya kubadili jinsia, hata Iran kamuona kama mdori kakiuka vikwazo katajirika sana,
 
Unalazimisha hoja tu, hujaonesha kuwa Trump ndiyo sababu.

Hizo patterns zako zote ni correlation, si causation.
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
πŸ˜… Kobazi bhana
 
ukiulizwa amuarrest netanyahu kwa kipi, utasemaje? hauoni kama unaongea hewa?
 
Unalazimisha hoja tu, hujaonesha kuwa Trump ndiyo sababu.

Hizo patterns zako zote ni correlation, si causation.
Trump alijua kumnyoosha Putin aisee,,, Body Language inaeleza yote, Aliishiwanguvu zote πŸ˜€πŸ˜€ Sio kawaida yake

Your browser is not able to display this video.
 
Hao wapalestina walokua hapo wamefikaje fikaje na hao wa israhell waliondokea je ondokaje hapo
 
Hawajaondoka wako wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…