Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"

watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!

Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!

Yeye sio Mungu
 
Trump is a Putin bitch.
Says who ....

Bush: Russia invaded Georgia.
Obama: Russia invaded Crimea.
Trump: Russia thought twice.
Biden: Russia invaded Ukraine.

If that's not enough !!

Putin alikuwa anamgwaya Trump, ona hapa kaishiwa nguvu kabisa😀

Logical non sequitur.

Correlation does not mean causation.
hata uongee kirangi facts hazibadiliki, weka facts sio quotes

The russia hoax really did brainwash you
 
hata uongee kirangi facts hazibadiliki, weka facts sio quotes

The russian hoax really did brainwash you
Fact ni kwamba Putin kutoanzisha vita wakati wa urais wa Trump haimaanishi kuwa urais wa Trump ndiyo umesababisha Putin asianzishe vita.

Cirrelation does not mean causation.

Inawezekana kika ukila ndizi kichwa kinauma, ukafikiri ndizi ndiyo inasababisha kichwa kiume.

Wakati si kweli, ndizi haisababishi kichwa kikuume.
 
Trump kaja kuzurula TU hapo Washington Middle East hakuna wa kuituliza, Tena mbinu zenyewe anazokuja nazo za kumwaga silaha never Hata achieve chochote.
 
Fact ni kwamba Putin kutoanzisha vita wakati wa urais wa Trump haimaanishi kuwa urais wa Trump ndiyo umesababisha Putin asianzishe vita.

Cirrelation does not mean causation.

Inawezekana kika ukila ndizi kichwa kinauma, ukafikiri ndizi ndiyo inasababisha kichwa kiume.

Wakati si kweli, ndizi haisababishi kichwa kikuume.
Inaweza kuwa ngumu kukuelekeza lakini mfano mrahisi wa Putin kukaa kimya kipindi cha Trump na kulianzisha mara tu Trump alipoondoka ni sawa na Panya kujiona mwenye nyumba paka anapoondoka.

Na sio Putin pekee alitulia, Ni mpaka Iran, walijaribu kuleta choko choko kilichowakuta kiongozi wa Jeshi alitunguliwa, Taleban kwa miezi 18 hawakuthubutu kugusa hata unywele wa Mmarekani yeyote baada ya Trump kutoa onyo, Hakukuwa na mambo ya October 7, n.k.
 
Inaweza kuwa ngumu kukuelekeza lakini mfano mrahisi wa Putin kukaa kimya kipindi cha Trump na kulianzisha mara tu alipoondoka ni sawa na Panya kujiona mwenye nyumba paka anapoondoka.

Na sio Putin pekee alietulia, Ni mpaka Iran, walijaribu kuleta choko choko kilichowakuta kiongozi wa Jeshi alitunguliwa, Taleban kwa miezi 18 hawakuthubutu kugusa hata unywele wa Mmarekani yeyote baada ya Trump kutoa onyo, Hakukuwa na mambo ya October 7, n.k.
Correlation does not mean causation.

Huelewi wapi?

Thibitisha Trump ndiyo sababu.

Nikimtaja rais wa Africa ambaye alikaa madarakani miaka sawa na Trump nikasema Putin hakuanzisha vita miaka hiyo kwa sababu ya rais huyo wa Africa nitakuwa sawa?
 
correlation doesn’t imply causation, but patterns often arise for reasons 😀 Trump alikuwa na policies imara za ulinzi na kuipa support Ukraine katika kipindi chake, Nato kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu kila nchi ilichangia share yake kwa shinikizo la Trump, see these patterns ??

Biden was weak, anadharaulika kwenye mikutano ya kimataifa, nchi imekumbwa na mfumuko wa bei, karuhusu wahamiaji haramu milioni 20 , alijikita zaidi na mambo ya kubadili jinsia, hata Iran kamuona kama mdori kakiuka vikwazo katajirika sana,
 
Unalazimisha hoja tu, hujaonesha kuwa Trump ndiyo sababu.

Hizo patterns zako zote ni correlation, si causation.
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
😅 Kobazi bhana
 
ukiulizwa amuarrest netanyahu kwa kipi, utasemaje? hauoni kama unaongea hewa?
 
Unalazimisha hoja tu, hujaonesha kuwa Trump ndiyo sababu.

Hizo patterns zako zote ni correlation, si causation.
Trump alijua kumnyoosha Putin aisee,,, Body Language inaeleza yote, Aliishiwanguvu zote 😀😀 Sio kawaida yake

Hao wapalestina wamekaa eneo la gaza toka lini? Wayahudi wamekuwepo eneo hilo toka walipotoka misri zaidi ya miaka 4000. Hawajawahi kuishi na wapalestina. Je hawa ndio wafilist waliokutwa na wayahudi? Walitokea wapi hawa wapaleztina karnre hizi za KARIBUNI. AU NDIO WALIKUWA WA AITWA WASAMARIA.?
Hao wapalestina walokua hapo wamefikaje fikaje na hao wa israhell waliondokea je ondokaje hapo
 
Wahind wekundu hawajah kutoka Marekani. By the way hao watu wanaoitwa wapalestina walikuwa ni mchanganyiko wa waarabu wayahud wasamaria, na mabedui na myahud hajamkataza mwarabu kuwepo hapo. Alichofanya ni kuita hiyo ardhi Israel ila ndani yake wapo waarabu wayahud mabeedui na Samaritan.
Hawajaondoka wako wapi
 
Back
Top Bottom