Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Wakati wa trumpet ndio wakati ambao Iran ilitwanga kambi za Marekani live bila chenga na trumpet akatulia
 
Vikwazo Iran hajaanza kukiuka wakati wa Biden tu labda uwe umeanza kuifatilia Iran leo pia trumpet si ataingia tena wh ngoja uone atakuja na jipya gani zaidi ya tantarira tu za truth
 
Video ndiyo inakufanya uhitimishe hoja kubwa hivi?
Turudi kwenye hoja yako kwamba video ilikuwa edited

Umejionea ukweli wa ubishi wako ?

Putin nusu adondoke hio siku kwa kuishiwa nguvu 😀😀 Trump alichofanya ni siri yao lakini ni bonge la correlation
 
Turudi kwenye hoja yako kwamba video ilikuwa edited

Umejionea ukweli wa ubishi wako ?

Putin nusu adondoke hio siku kwa kuishiwa nguvu 😀😀 Trump alichofanya ni siri yao lakini ni bonge la correlation
Hata sijaangalia kwa sababu video hai prove lolote, unatakiwa kujenga hoja kubwa zaidi ya video kuhitimisha unayohitimisha.
 
Hata sijaangalia kwa sababu video hai prove lolote, unatakiwa kujenga hoja kubwa zaidi ya video kuhitimisha unayohitimisha.
Sasa kama hutaki kuelimishwa nikusaidie kwa lipi,

Akilini mwako bado utaendelea kuwa brain washed na sources uchwara zilikuaminisha video ni edited,

Cheki hio video utoe uongo uliojazwa
 
Sasa kama hutaki kuelimishwa nikusaidie kwa lipi,

Akilini mwako bado utaendelea kuwa brain washed na sources uchwara zilikuaminisha video ni edited,

Cheki hio video utoe uongo uliojazwa
Wewe hata elimu hujui ni nini.

Ukiwekewa hata video ya Rambo utarukaruka kusheherekea ushindi wa Marekani.
 
Wewe hata elimu hujui ni nini.

Ukiwekewa hata video ya Rambo utarukaruka kusheherekea ushindi wa Marekani.
proving a video's authenticity to misinformed people like you can be considered educating, ninakusahisha false belief's ulizojazwa kichwani, ninakuelimisha si kila unachoambiwa na media ni ukweli, n.k.
 
proving a video's authenticity to misinformed people like you can be considered educating, ninakusahisha false belief's ulizojazwa kichwani, ninakupa mwanga si kila unachoambiwa ni ukweli, n.k.
Yani hata kama hiyo video ni authentic, hai prove lolote kwenye hoja yako kubwa kwamba Putin hakufanya vita kipindi cha Trump kwa kumuogopa Trump.

Unaungaunga vi story na vi video vya kuokoteza tu.
 
Yani hata kama hiyo video ni authentic, hai prove lolote kwenye hoja yako kubwa kwamba Putin hakufanya vita kipindi cha Trump kwa kumuogopa Trump.

Unaungaunga vi story na vi video vya kuokoteza tu.
Hapa naona wewe ni wale wale mnaowaunga Hezbollah kujitangaza wameshinda
 
Hapa naona wewe ni wale wale mnaowaunga Hezbollah kujitangaza wameshinda
Logical non sequitur fallacy.

Hasty generalization fallacy.

Tafuta post yangu hata moja niliowaunga Hezbollah kujitangaza wameshinda halafu iweke hapa.
 
Kumbe hawaogopi kufa, basi ngoja Israel iendelee kugawa dozi mpaka mgonjwa apone
 
Nilikuwa nasema Mji mkongwe wa Aleppo umetajwa kwenye Bibilia lakini kwenye Quruani haukatajwa sijui ni kwanini?!
We nipe Aya kwenye bibilia ilio taja kabla hujarukia Qur'an. Bibilia yenyewe hakuna Aya inasema Aleppo nipe kama unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…