Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Inaweza kuwa ngumu kukuelekeza lakini mfano mrahisi wa Putin kukaa kimya kipindi cha Trump na kulianzisha mara tu Trump alipoondoka ni sawa na Panya kujiona mwenye nyumba paka anapoondoka.

Na sio Putin pekee alitulia, Ni mpaka Iran, walijaribu kuleta choko choko kilichowakuta kiongozi wa Jeshi alitunguliwa, Taleban kwa miezi 18 hawakuthubutu kugusa hata unywele wa Mmarekani yeyote baada ya Trump kutoa onyo, Hakukuwa na mambo ya October 7, n.k.
Wakati wa trumpet ndio wakati ambao Iran ilitwanga kambi za Marekani live bila chenga na trumpet akatulia
 
correlation doesn’t imply causation, but patterns often arise for reasons 😀 Trump alikuwa na policies imara za ulinzi na kuipa support Ukraine katika kipindi chake, Nato kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu kila nchi ilichangia share yake kwa shinikizo la Trump, see these patterns ??

Biden was weak, anadharaulika kwenye mikutano ya kimataifa, nchi imekumbwa na mfumuko wa bei, karuhusu wahamiaji haramu milioni 20 , alijikita zaidi na mambo ya kubadili jinsia, hata Iran kamuona kama mdori kakiuka vikwazo katajirika sana,
Vikwazo Iran hajaanza kukiuka wakati wa Biden tu labda uwe umeanza kuifatilia Iran leo pia trumpet si ataingia tena wh ngoja uone atakuja na jipya gani zaidi ya tantarira tu za truth
 
Video ndiyo inakufanya uhitimishe hoja kubwa hivi?
Turudi kwenye hoja yako kwamba video ilikuwa edited

Umejionea ukweli wa ubishi wako ?

Putin nusu adondoke hio siku kwa kuishiwa nguvu 😀😀 Trump alichofanya ni siri yao lakini ni bonge la correlation
 
Turudi kwenye hoja yako kwamba video ilikuwa edited

Umejionea ukweli wa ubishi wako ?

Putin nusu adondoke hio siku kwa kuishiwa nguvu 😀😀 Trump alichofanya ni siri yao lakini ni bonge la correlation
Hata sijaangalia kwa sababu video hai prove lolote, unatakiwa kujenga hoja kubwa zaidi ya video kuhitimisha unayohitimisha.
 
Hata sijaangalia kwa sababu video hai prove lolote, unatakiwa kujenga hoja kubwa zaidi ya video kuhitimisha unayohitimisha.
Sasa kama hutaki kuelimishwa nikusaidie kwa lipi,

Akilini mwako bado utaendelea kuwa brain washed na sources uchwara zilikuaminisha video ni edited,

Cheki hio video utoe uongo uliojazwa
 
Sasa kama hutaki kuelimishwa nikusaidie kwa lipi,

Akilini mwako bado utaendelea kuwa brain washed na sources uchwara zilikuaminisha video ni edited,

Cheki hio video utoe uongo uliojazwa
Wewe hata elimu hujui ni nini.

Ukiwekewa hata video ya Rambo utarukaruka kusheherekea ushindi wa Marekani.
 
Wewe hata elimu hujui ni nini.

Ukiwekewa hata video ya Rambo utarukaruka kusheherekea ushindi wa Marekani.
proving a video's authenticity to misinformed people like you can be considered educating, ninakusahisha false belief's ulizojazwa kichwani, ninakuelimisha si kila unachoambiwa na media ni ukweli, n.k.
 
proving a video's authenticity to misinformed people like you can be considered educating, ninakusahisha false belief's ulizojazwa kichwani, ninakupa mwanga si kila unachoambiwa ni ukweli, n.k.
Yani hata kama hiyo video ni authentic, hai prove lolote kwenye hoja yako kubwa kwamba Putin hakufanya vita kipindi cha Trump kwa kumuogopa Trump.

Unaungaunga vi story na vi video vya kuokoteza tu.
 
Yani hata kama hiyo video ni authentic, hai prove lolote kwenye hoja yako kubwa kwamba Putin hakufanya vita kipindi cha Trump kwa kumuogopa Trump.

Unaungaunga vi story na vi video vya kuokoteza tu.
Hapa naona wewe ni wale wale mnaowaunga Hezbollah kujitangaza wameshinda
 
Hapa naona wewe ni wale wale mnaowaunga Hezbollah kujitangaza wameshinda
Logical non sequitur fallacy.

Hasty generalization fallacy.

Tafuta post yangu hata moja niliowaunga Hezbollah kujitangaza wameshinda halafu iweke hapa.
 
Huo ni upuuzi apeleke matisho yake huko.. sasa hapo Gaza kumebakia nini mpaka awatishe? Watu wameshauliwa, nyumba hospitali zote zimevunjwa, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna chakula.. hawa watu ndio eti utawatishia nini sasa?

Kama kuna watu ambao wameshapoteza kila kitu na hawaogopi kufa ni Wapalestina.

Watu wa Gaza sio kama Israel kichapo kidogo tu cha Hizbullah wamesarenda,.. hayo matisho yenu mplekeeni SHETANYAHU yeye ndio anaogopa kufa
Kumbe hawaogopi kufa, basi ngoja Israel iendelee kugawa dozi mpaka mgonjwa apone
 
Nilikuwa nasema Mji mkongwe wa Aleppo umetajwa kwenye Bibilia lakini kwenye Quruani haukatajwa sijui ni kwanini?!
We nipe Aya kwenye bibilia ilio taja kabla hujarukia Qur'an. Bibilia yenyewe hakuna Aya inasema Aleppo nipe kama unayo.
 
Back
Top Bottom