Trump alifanya kosa kubwa sana kumuua Ayatollah Khamanei

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu

Twende kazi.....

Mzee wa hovyo Trump alidhani kwamba kutokana na uzoefu ambao unafahamika siku zote,kwamba ukimuondoa kiongozi madarakani kwa namna yoyote basi wananchi huwa desperate na matokeo yake inakuwa rahisi kuwa Win na kubadilisha Uongozi kirahisi,lakini katika hili kwa Iran amachemka

Duru zinasema kwamba pamoja na mzee wa hovyo Trump kuambiwa na CIA kwamba mpango wa kumuua Khamenei sio jambo sahihi bado alikaidi na kushupaza shingo na kuendelea na mpango wake.

Inasemekana Trump alipenda kusikia anachotaka kuambiwa,kama unavyojua machawa hawakosekani popote pale duniani,basi walimwambia kile anachotaka kusikia na mwisho wa siku akafanya ambalo leo hii linamcost kwa gharama kubwa sana

Sasa hivi yeye ndio anataka vita visimame baada ya kuona mziki wa muhajemi wenye Cd 700,anajifanya anataka cease fire kwa kuwapiga mikwala Iran,kitu ambacho wairan hawapo tayar kusimamisha vita mpaka Umoja wa Mataifa utambue na kutangaza hadharani nani mwenye makosa

Duru za Iran zinasema wapo tayar kwa full scale war kwa kipindi cha miezi sita,just imagine hata wiki haijaisha tayar Trump jasho linamtoka,kayakanyaga this time

Na duru zinasema muajemi ndio amemaliza stock ya zamani ya mzigo uliundwa kwenye miaka 2010 -- 2013, sasa anatumia mzigo mpya,hakika ngoja tule mtori na nyama tutazikuta ndani kabisa.

Ogopa watu wanaopigana kwa imani yao ya dini,Ayatollah Khamenei kwa wairan ni mtu mzito sana kama vile Papa kwa wakatoliki, sasa chukulia mtu kama huyo halafu umuondoe halafu utarajie mambo yatakuwa sawa,hapana sio kweli

Tukija kwenye athari za kiuchumi mpaka sasa Marekani imeumia vibaya mno na hathari zitakuja kuwakumbuka wananchi wa kawaida,inasemekana kama hii vita itaendelea kwa mwezi mmoja zaidi basi tutarajia hali mbaya zaidi,na muajemi ndio anavyotaka,anataka aondoe kabis kiburi cha bwana mkubwa wa dunia nchi ya Marekani

Na hata baada ya vita kuisha wananchi wa Marekani watarajie machungu zaidi kwasababu bajeti kubwa itaelekezwa katika kufidia miundo mbinu ya kijeshi iliyoharibiwa na kujiweka salama kiulinzi,kwahiyo wamarekane watarajie shida kubwa sana,na hapo Trump nae atapata shinikizo kubwa sana kutoka kwa raia wake.

Chanzo changu cha habar kinasema,Amerika itakuwa imepoteza ushawishi mkubwa sana kwenye siasa za Mashariki ya kati,kwasababu mpaka sasa nchi ambazo ni washirika wake wameona kabisa Marekani anashindwa kuwahakikishia usalam wao,nao sasa wameona wakae mbali ili wasije kuingizwa kwenye vita na wasijue namna ya kutokea

Mataifa ya Ulaya nayo wamejifunza katika kile kilichotokea kwenye vita ya Iraq,kwani waliingizwa king na kupata hasara kubwa sana,kwahiyo sasa hawapo tayar kurudia makosa yale

Hapa Amerika anaachwa apambane na hali yake,kalikoroga basi sharti alinywe

Mpaka wakati mwingine....

Ni hayo tu!
 
Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu

Twende kazi.....

Mzee wa hovyo Trump alidhani kwamba kutokana na uzoefu ambao unafahamika siku zote,kwamba ukimuondoa kiongozi madarakani kwa namna yoyote basi wananchi huwa desperate na matokeo inakuwa rahisi kuwa Win na kubadilisha Uongozi kirahisi,lakini katika kwa Iran amachemka

Duru zinasema kwamba pamoja na mzee wa hovyo Trump kuambiwa na CIA kwamba mpango wa kumuua Khamenei sio jambo sahihi bado alikaidi na kushupaza shingo na kuendelea na mpango wake.

Inasemekana Trump alipenda kusikia anachotaka kuambiwa,kama unavyojua macbawa hawakosekani popote pale duniani,basi walimwambia kile anachotaka kusikia na mwisho wa siku akafanya ambalo leo hii linamcost kwa gharama kubwa sana

Sasa hivi yeye ndio anataka vita visimame baada ya kuona mziki wa muhajemi wenye Cd 700,anajifanya anataka cease fire kwa kuwapiga mikwala Iran,kitu ambacho wairan hawapo tayar kusimamisha vita mpaka Umoja wa Mataifa utambue na kutangaza hadharani nani mwenye makosa

Duru za Iran zinasema wapo tayar kwa full scale war kwa kipindi cha miezi sita,just image hata wiki haijaisha tayar Trump jasho linamtoka,kayakanyaga this time

Na duru zinasema muajemi ndio amemaliza stock ya zamani ya mzigo uliundwa kwenye miaka 2010 -- 2013, sasa anatumia mzigo mpya,hakika ngoja tule mtori na nyama tutazikuta ndani kabisa.

Ogopa watu wanaopigana kwa imani yao ya dini,Ayatollah Khamenei kwa wairan ni mtu mzito sana kama vile Papa kwa wakatoliki, sasa chukulia mtu kama huyo halafu umuondoe halafu utarajie mambo yatakuwa sawa,hapana sio kweli

Tukija kwenye athari za kiuchumi mpaka sasa Marekani imeumia vibaya mno na hathari zitakuja kuwakumbuka wananchi wa kawaida,inasemekana kama hii vita itaendelea kwa mwezi mmoja zaidi basi tutarajia hali mbaya zaidi,na muajemi ndio anavyotaka,anataka aondoe kabis kiburi cha bwana mkubwa wa dunia nchi ya Marekani

Na hata baada ya vita kuisha wananchi wa Marekani watarajie machungu zaidi kwasababu bajeti kubwa itaelekezwa katika kufidia miundo mbinu ya kijeshi iliyoharibiwa na kujiweka salama kiulinzi,kwahiyo wamarekane watarajie shida kubwa sana,na hapo Trump nae atapata shinikizo kubwa sana kutoka kwa raia wake.

Chanzo changu cha habar kinasema,Amerika itakuwa imepoteza ushawishi mkubwa sana kwenye siasa za Mashariki ya kati,kwasababu mpaka sasa nchi ambazo ni washirika wake wameona kabisa Marekani anashindwa kuwahakikishia usalam wao,nao sasa wameona wakae mbali ili wasije kuingizwa kwenye vita na wasijue namna ya kutokea

Mataifa ya Ulaya nayo wamejifunza katika kile kilichotokea kwenye vita ya Iraq,kwani waliingizwa king na kupata hasara kubwa sana,kwahiyo sasa hawapo tayar kurudia makosa yale

Hapa Amerika anaachwa apambane na hali yake,kalikoroga basi sharti alinywe

Mpaka wakati mwingine....

Ni hayo tu!
Wazungu hawajawahi kufanya uamuzi sahihi Middle East. Mbaya zaidi, they don’t learn nothing!😅
 
Habari ya Trump kitaka sizifaya nimeiona sana leo
 
Attachments

  • Screenshot_2026-03-08-18-57-59-243.jpg
    Screenshot_2026-03-08-18-57-59-243.jpg
    152.5 KB · Views: 35
  • Screenshot_2026-03-08-18-58-31-447.jpg
    Screenshot_2026-03-08-18-58-31-447.jpg
    120 KB · Views: 32
  • Screenshot_2026-03-08-21-46-54-965.jpg
    Screenshot_2026-03-08-21-46-54-965.jpg
    126.1 KB · Views: 33
Lengo kuu ni kuifanya Iran weak. Bila kumuondoa Ayatollah hilo lisingewezekana. Sasa wanapiga vitega uchumi tu. Watakuwa weak na wanawekewa kiongozi wa kuwaongoza.
 
Vitega uchumi vinavyopigwa ni vya Marekani,lilikuwa kosa kumuua Khamenei,hata CIA walimuonya Trump juu ya hilo,now baada ya kifo cha Supreme leader,Iran hawana cha kupoteza ,ngoja tuone
 
Back
Top Bottom