Trump alifanya kosa kubwa sana kumuua Ayatollah Khamanei

Kama una tazama kwa uyahudi basi kazi unayo,dunia ipo wazi tazama vilio na magofu huko Israel .Jana wameamua kuvunja camera 📸 zote wakiamini kwanza Iran inafuatilia kupitia camera za mitaani🤣😅.

Kaangalie wakimbizi huko wanaokimbilia Jordan 🇯🇴
Leta hizo picha za uharibifu kabla hizo cctv hazijabomolewa
 
Kama una tazama kwa uyahudi basi kazi unayo,dunia ipo wazi tazama vilio na magofu huko Israel .Jana wameamua kuvunja camera 📸 zote wakiamini kwanza Iran inafuatilia kupitia camera za mitaani🤣😅.

Kaangalie wakimbizi huko wanaokimbilia Jordan 🇯🇴
Ni ngumu sana kudanganya kwenye ulimwengu huu w tech
IMG_20260309_194255.jpg
 
Back
Top Bottom