hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
La kuambiwa changanya na za kwakoSi ninasikia USA anamwaga makombora na kipigo cha hatari huko iran. Imekuwaje tenaaa vita idumu muda mrefu ivyoo
La kuambiwa changanya na za kwakoSi ninasikia USA anamwaga makombora na kipigo cha hatari huko iran. Imekuwaje tenaaa vita idumu muda mrefu ivyoo
Kiongozi gani wanawekewa !? Nyie watu wengine Akili zenu bhana 🤣🤣🤣Lengo kuu ni kuifanya Iran weak. Bila kumuondoa Ayatollah hilo lisingewezekana. Sasa wanapiga vitega uchumi tu. Watakuwa weak na wanawekewa kiongozi wa kuwaongoza.
wewe unalia na D.Trump walkati sasa hivi mullahs wanatandika wahabis wenzako, bahrain huyo analia itrani anapiga mabomu vyanzo vya maji ya kunywa, btw hakuna missile imepigwa ndani ya USA ...
View: https://x.com/clashreport/status/2030547675611791595?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2030547675611791595%7Ctwgr%5E55b56547e890f94fe7d6670b287d7ea63d98da89%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fmilitary%2Firan-foreign-minister-claims-us-attacked-desalination-plant
Kashaingizwa tayar mbonaAtatema bungo sasa hivi na kushtukia kaingizwa chaka na nyau
View attachment 3555218
View attachment 3555219
Habar zote tunasikia au wewe mwenzetu upo eneo la vitaMambo mengi sana uliyoyaandika ni ya kusikia.
factKumuua Ali Khamenei ilikuwa a strategic mistake.
Kwa kumchagua Mojtaba Khamenei kama Supreme Leader, hawakuimaliza legacy ya Khamenei wameifanya iwe renewed.
Kwa namna fulani, unaweza kusema kwamba Khamenei amekuwa “younger”.
The same ideology, the same resolve, lakini sasa inabebwa na kiongozi mpya na generation mpya.
Kumuondoa kiongozi mmoja does not end the system, mara nyingi huleta mwingine mahali pake mara nyingi akiwa younger, more hardened, na equally determined.
Khamenei mdogo ameshiriki vita miaka ya 80 akiwa teenager kama baba yake na ana misimamo mikali zaidi
Hao makamanda wanaongoza vita sasa hivi wengi walikuwa askari na maafisa wadogo wakati wa Iran vs Iraq war miaka ya 80s na walikuwa naye bega kwa bega
Imani kwamba kumuua kiongozi kunaweza kumaliza movement ni misreading of history.
Historia inaonyesha wazi kwamba movements hazifi pamoja na individuals. Mf Taliban
Kwa maneno mengine ideas na institutions huwa na maisha marefu kuliko watu binafsi
Bila complete overhaul ya siasa za Iran hiyo vita haitaisha leo
Mengi ya uliyosema ni ni kweli lakini Trump atafanikiwa ili mwisho wake utimie,kumbuka usemi huu:Whom God wants to destroy make them mad firstKwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu
Twende kazi.....
Mzee wa hovyo Trump alidhani kwamba kutokana na uzoefu ambao unafahamika siku zote,kwamba ukimuondoa kiongozi madarakani kwa namna yoyote basi wananchi huwa desperate na matokeo yake inakuwa rahisi kuwa Win na kubadilisha Uongozi kirahisi,lakini katika hili kwa Iran amachemka
Duru zinasema kwamba pamoja na mzee wa hovyo Trump kuambiwa na CIA kwamba mpango wa kumuua Khamenei sio jambo sahihi bado alikaidi na kushupaza shingo na kuendelea na mpango wake.
Inasemekana Trump alipenda kusikia anachotaka kuambiwa,kama unavyojua machawa hawakosekani popote pale duniani,basi walimwambia kile anachotaka kusikia na mwisho wa siku akafanya ambalo leo hii linamcost kwa gharama kubwa sana
Sasa hivi yeye ndio anataka vita visimame baada ya kuona mziki wa muhajemi wenye Cd 700,anajifanya anataka cease fire kwa kuwapiga mikwala Iran,kitu ambacho wairan hawapo tayar kusimamisha vita mpaka Umoja wa Mataifa utambue na kutangaza hadharani nani mwenye makosa
Duru za Iran zinasema wapo tayar kwa full scale war kwa kipindi cha miezi sita,just imagine hata wiki haijaisha tayar Trump jasho linamtoka,kayakanyaga this time
Na duru zinasema muajemi ndio amemaliza stock ya zamani ya mzigo uliundwa kwenye miaka 2010 -- 2013, sasa anatumia mzigo mpya,hakika ngoja tule mtori na nyama tutazikuta ndani kabisa.
Ogopa watu wanaopigana kwa imani yao ya dini,Ayatollah Khamenei kwa wairan ni mtu mzito sana kama vile Papa kwa wakatoliki, sasa chukulia mtu kama huyo halafu umuondoe halafu utarajie mambo yatakuwa sawa,hapana sio kweli
Tukija kwenye athari za kiuchumi mpaka sasa Marekani imeumia vibaya mno na hathari zitakuja kuwakumbuka wananchi wa kawaida,inasemekana kama hii vita itaendelea kwa mwezi mmoja zaidi basi tutarajia hali mbaya zaidi,na muajemi ndio anavyotaka,anataka aondoe kabis kiburi cha bwana mkubwa wa dunia nchi ya Marekani
Na hata baada ya vita kuisha wananchi wa Marekani watarajie machungu zaidi kwasababu bajeti kubwa itaelekezwa katika kufidia miundo mbinu ya kijeshi iliyoharibiwa na kujiweka salama kiulinzi,kwahiyo wamarekane watarajie shida kubwa sana,na hapo Trump nae atapata shinikizo kubwa sana kutoka kwa raia wake.
Chanzo changu cha habar kinasema,Amerika itakuwa imepoteza ushawishi mkubwa sana kwenye siasa za Mashariki ya kati,kwasababu mpaka sasa nchi ambazo ni washirika wake wameona kabisa Marekani anashindwa kuwahakikishia usalam wao,nao sasa wameona wakae mbali ili wasije kuingizwa kwenye vita na wasijue namna ya kutokea
Mataifa ya Ulaya nayo wamejifunza katika kile kilichotokea kwenye vita ya Iraq,kwani waliingizwa king na kupata hasara kubwa sana,kwahiyo sasa hawapo tayar kurudia makosa yale
Hapa Amerika anaachwa apambane na hali yake,kalikoroga basi sharti alinywe
Mpaka wakati mwingine....
Ni hayo tu!
Sasa unategemea Iran ndio arushe taulo unachekesha ww Iran kubwaaaa sn,,Makobaz bhana 😂
Kutoka kusema USA hamuwezi Iran mpaka kusema USA amekosea kumpiga Iran 😂 hii transition kali sana
Alianza kusema siku 4 akabadilika akasema wiki moja akabadilika akasema wiki nne asa hivi anasema miezi sita.Muwe mnasoma na kusikiliza kwa usahihi. Trump alisema vita itaenda kati ya wiki 4 mpaka wiki 6, hakusema siku 4. Hayo ni maneno yako.
Hii ngonjera na bado kobaz wenu ameuawa 😂Sasa unategemea Iran ndio arushe taulo unachekesha ww Iran kubwaaaa sn,,
IRAN kwasasa nguvu kubwa inapelekwa Israel kitaifa kidogo kenye Ardhi ndogo sana.
Anakimiminia MAKOMBORA ya kutosha Vilio Vitafika MAREKAN Trump atazogwa arushe taulo kweupe,😜😜😜
kwamaana Marekani na Israel Kitechnology wameshindwa kuzuiya MAKOMBORA ya Iran so taulo ndio kimbilio lao la mwisho nipo paleeee✍️
Ili ashinde ni LAZIMA atumie nyuklia!Atashinda.
Gaza=IsraelIran =Iraq
Iran inaenda kuwa magofu..
Mishoga hamna nafasi,ni kipigo kwenda mbeleMakobaz bhana 😂
Kutoka kusema USA hamuwezi Iran mpaka kusema USA amekosea kumpiga Iran 😂 hii transition kali sana
Kati ya USA na iran nani aliyepigwaMishoga hamna nafasi,ni kipigo kwenda mbele
Kama una tazama kwa uyahudi basi kazi unayo,dunia ipo wazi tazama vilio na magofu huko Israel .Jana wameamua kuvunja camera 📸 zote wakiamini kwanza Iran inafuatilia kupitia camera za mitaani🤣😅.Kati ya USA na iran nani aliyepigwa
Ni kweli mkuu mimi nipo vitani sasa nashangaa haya mambo yanayoandikwa hapa yametoka wapi?Habar zote tunasikia au wewe mwenzetu upo eneo la vita
Kobazi bhana😅Mishoga hamna nafasi,ni kipigo kwenda mbele