Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #21
Sijui kama upo sahihi,alichofanya Iran nk kulipua base za kijeshi za Marekani,hapo ameua nguvu za Amerika,maana sasa hana back up ya haraka kufanya mashambuliziKama US/Israel wangekuwa wanashambulia majengo/raia kama anavyofanya Iran; vita ingeisha ndani ya muda mfupi sana.
Hii ni lugha kwa watu kama nyinyi muweze kunielewa kirahisiNgoja tuone nn wakati mada yako ushaikamilisha, Au duru zako bado hazina uhakika?
Sijui kama upo sahihi,alichofanya Iran nk kulipua base za kijeshi za Marekani,hapo ameua nguvu za Amerika,maana sasa hana back up ya haraka kufanya mashambulizi
Na kumbuka Trump aliapa atamaliza kazi ndani ya siku nne tu,lakini kwa ground mambo sio kirahisi kihivyo,alidhani ile ni Venezuela
Mm Sio kilaza mpaka niwasubiri Nyie Wachambuzi wafia dini mje mtupe maelezo.Hii ni lugha kwa watu kama nyinyi muweze kunielewa kirahisi
Naamini kabisa anajuta,kama inasemwa base zake za kijeshi mara ya mwisho kulipuliwa ni kwenye miaka ya 60's au 80's sasa kama Iran ameweza hiyo ni aibu kubwa na ni ushindi kwa IranAngeachana na hii vita akakomaa na Maduro wake kwa sasa naona ataaibika sana..
Katika uzi wa Malcom Lumumba alitoa ushauri ambao binafsi nimeupenda baada ya wadau kuleta ubishi wa kijingaMkuu chanzo chako ni kipi ambayo inasema Amerika imepoteza ushawishi mkubwa mashariki ya kati?
Sawa sawa mkuu ila yote Kwa yote mwisho wa vita ndo itatoa matokeo sahihi mkuu.Katika uzi wa Malcom Lumumba alitoa ushauri ambao binafsi nimeupenda baada ya wadau kuleta ubishi wa kijinga
Alisema kila mtu akatafute chanzo chake cha habari hii itaondoa kelele zisizo za lazima,kwahiyo nakuomba nawe ufanye home work yako boss wangu
ila trust me,duru zangu hazina shaka
asante.
Sijui kama upo sahihi,alichofanya Iran nk kulipua base za kijeshi za Marekani,hapo ameua nguvu za Amerika,maana sasa hana back up ya haraka kufanya mashambulizi
Na kumbuka Trump aliapa atamaliza kazi ndani ya siku nne tu,lakini kwa ground mambo sio kirahisi kihivyo,alidhani ile ni Venezuela
Je umeona magofu ya Israele,acha ushabiki,hapa tunazungumzia hali halisi ya vitaWe hujielewi..Irani nchi yake inageuzwa maghofu kama gaza we unasema Trump sijui kakosea?