Trump alifanya kosa kubwa sana kumuua Ayatollah Khamanei

Lengo kuu ni kuifanya Iran weak. Bila kumuondoa Ayatollah hilo lisingewezekana. Sasa wanapiga vitega uchumi tu. Watakuwa weak na wanawekewa kiongozi wa kuwaongoza.
Kiongozi gani wanawekewa !? Nyie watu wengine Akili zenu bhana 🤣🤣🤣

Trump alivyo lipo lopo Kila kitu anacho kuongea mna kiamini

Kwa Akili hizi ccm itatawala milele
 
Iran alitangaza wazi kabisa kwamba nchi yoyote ambayo itashirikiana na Marekani dhidi ya Iran kwa namna yoyote basi watakuwa wahanga wa Iran,kwahiyo bilashaka huenda kuna namna nchi hiyo imetoa ushirikiano fulani kwa adui wa Iran na kustahili kutiwa adabu
 
fact
 
Hata mwili usipokubaliana na ubongo kwamba, USA ni kiranja wa Dunia, basi Iran ana haki ya kuteketezwa
 
USA hajawahi kushinda vita vyovyote akipigana peke yake siku zote lazima awe na washirkika kibao anawakusanya halafu anawaongoza yeye wakishinda sifa zote anachukuwa yeye. Hapa tukumbuke wakubwa wawili duniani USA na Israel dhidi ya mtu mdogo tu kulinganisha na wao. Hebu tuchukulie hii vita anapigana USA peke yake bila Israel ndio utapata jibu. Mchango wa Israel sio kijeshi tu lakini intelligence yake Iran kubwa. Vita hivi hatuwezi kusema ni fair, ni sawa watu wawili mnapigana na mtu mmoja halafu mnajisifia tumempiga.
 
Mengi ya uliyosema ni ni kweli lakini Trump atafanikiwa ili mwisho wake utimie,kumbuka usemi huu:Whom God wants to destroy make them mad first
 
Makobaz bhana 😂

Kutoka kusema USA hamuwezi Iran mpaka kusema USA amekosea kumpiga Iran 😂 hii transition kali sana
Sasa unategemea Iran ndio arushe taulo unachekesha ww Iran kubwaaaa sn,,

IRAN kwasasa nguvu kubwa inapelekwa Israel kitaifa kidogo kenye Ardhi ndogo sana.

Anakimiminia MAKOMBORA ya kutosha Vilio Vitafika MAREKAN Trump atazogwa arushe taulo kweupe,😜😜😜

kwamaana Marekani na Israel Kitechnology wameshindwa kuzuiya MAKOMBORA ya Iran so taulo ndio kimbilio lao la mwisho nipo paleeee✍️
 
Muwe mnasoma na kusikiliza kwa usahihi. Trump alisema vita itaenda kati ya wiki 4 mpaka wiki 6, hakusema siku 4. Hayo ni maneno yako.
Alianza kusema siku 4 akabadilika akasema wiki moja akabadilika akasema wiki nne asa hivi anasema miezi sita.
UNADHANI SISI HATUFUATILII!?
 
Hii ngonjera na bado kobaz wenu ameuawa 😂
Sasa huo ukubwa umewasaidia nn
 
Kati ya USA na iran nani aliyepigwa
Kama una tazama kwa uyahudi basi kazi unayo,dunia ipo wazi tazama vilio na magofu huko Israel .Jana wameamua kuvunja camera 📸 zote wakiamini kwanza Iran inafuatilia kupitia camera za mitaani🤣😅.

Kaangalie wakimbizi huko wanaokimbilia Jordan 🇯🇴
 

Attachments

  • Screenshot_20260309-125358_Instagram.jpg
    191.9 KB · Views: 18
Mishoga hamna nafasi,ni kipigo kwenda mbele
Kobazi bhana😅
Israel kashamuwahisha gaidi Ayatollah
Kula mabikra 72 na pombe
Hayo mabomu wanayorusha ni mtego wao
Soon watanasa
Kobazi laZima wapigwe waache ugaidi, udikteta na upumbavu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…