Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Huu ni ukweli mchungu...hakuna mzungu anataka tuwe kama yeye.
 
Naona bado upo usingizini sana, yaani kwa taarifa yako bila kushirikiana na hao walio endelea kiuchumi kamwe hamuwezi kusonga hata kwa dama.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya inakimbia speed ya ndege. Sisi tunarudi nyuma kwa speed ya mwanga.

Clinton alikuja hapa
Bush mwenyewe alikuja akakaa wiki
Obama alikuja

Wakenya walikuwa wanatuonea wivu.

Sasa tuna kimavi

Tunanuka

Nchi wamepewa washamba (Zitto)

Pole yetu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn yeye ndiye anaye changia kwa ukubwa mahitaji yetu ya kila siku hivyo huwezi kumkwepa kwenye maisha yako ya kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana hawezi kukubali tuwe sawa ili aendelee kuchangia mahitaji yetu ya kila siku tusimkwepe.
 
Rais wa Marekani uwa atembelei nchi zisizo za kidemocrasia. kipindi kile Kikwete alipo boresha democrasia obama akaja. kuna shida sana kwenye democrasia africa mashariki ukiondoa Kenya.
Demokrasia ya kuiba mariasiri za Africa?

Hatuna shida nae! Obama alipokuja alitusaidia nini zaidi ya kuogeza wizi wa wanyama ktk vitaru vya mbuga zetu wakati huo Rais akipewa ofa ya suti, kutolewa tezi dumee na kuachiwa gari!!!! Waziri wa mariasiri nae akapewa ofa yakutemberea marekani na watembo.

Tena akomee hukohuko kenya.
 
Trump ndio nani tunamagufuli hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fake tweet, wala huu ujinga haujaandikwa kwake,
Yaani hamfuatilii vitu kabla ya kupost mnapenda kukurupuka ovyo,
Ndio maana upinzani unazidi kupoteza muelekeo kila siku.
 
Katika habari hii hakuna sehemu imeitaja cdm au chama chochote cha siasa, sasa wewe hizi habari za upinzani unazitoa wapi?
Fake tweet, wala huu ujinga haujaandikwa kwake,
Yaani hamfuatilii vitu kabla ya kupost mnapenda kukurupuka ovyo,
Ndio maana upinzani unazidi kupoteza muelekeo kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anaongea pekee yake njiani kama wewe basi ujue kuna tatizo kwenye ubongo wake
Fake tweet, wala huu ujinga haujaandikwa kwake,
Yaani hamfuatilii vitu kabla ya kupost mnapenda kukurupuka ovyo,
Ndio maana upinzani unazidi kupoteza muelekeo kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…