Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

hahahah U.S.A Sio TZ
 
Askari waliokutwa na vyeti feki pamoja na vyeti vilivyotumiwa na zaidi ya mtu mmoja Tanzania ilikuwaje mkuu??
 
Uzuri huyu ana max of 3+ yrs has to go for good. Oneni uzuri wa Katiba imara.

Sio kule kwingine anaweza kubadili Katiba na kusalia madarakani forever.
Trump anaweza kusema katiba yao inamruhusu kugombea muhula mwingine tena kwa sababu hajaongoza vipindi viwili mfululizo.
 
Huyu Babu atawavuruga kweli kweli.
 
Trump anaweza kusema katiba yao inamruhusu kugombea muhula mwingine tena kwa sababu hajaongoza vipindi viwili mfululizo.
Mabaraza yote anayo pamoja na sirikali nini kitashindikana,kama sharia uwingi wa kufanya mabadiliko anao akiona MAGA bado kutimia na waamerika wanamwelewa hilo ni chap kwa haraka.
 
Huyo trump akawishiwi kuchapwa risasi, tunzeni hii comment
 
Tatizo lenu mnawaabudu sana watu wa usalama kana kwamba Marekani ni Tanzania
 


CIA awe nao makini sana, killers sana hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…