Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Wenyewe walimparuza na risasi sikion, ngoja awanyooshe wajue kulenga ni kutamu kuliko ku withdraw
 
Hawezi chezea sharubu za CIA kizembe zembe. CIA ni mziki mnene ambao uko juu ya uwezo wake.
 
Wewe kilaza mimi sijawahi kumkubali Trump tangu nimemjua kwa mara ya kwanza, hata alipowaua ndugu zako Qasem Soleimani na Al-Baghdadi.
Na umemchukia mara dufu baada ya kukata kichaka chenu cha ulaji.
Ndo maana umechanganyikiwa kwa kuanzisha yuzi kila siku kumuhusu,na sasa hivi naona unajaribu kutafuta kichaka kipya cha ulaji kwa kuwa chawa wa Kagame.
 
... kwa sifa ilizokuwa inamwagiwa CIA, kwamba wanaweza hata kumuwekea rais mipaka ya kiutendaji, nilikuwa nina haki ya kuwaona kama muhimili!
Tatizo unaamini unayoambiwa kirahisi bila kuhakiki.

Ulisoma kitabu gani cha kuangalia mahusiano ya CIA na rais wa Marekani?

Mimi mwezi wa Disemba 2024 nimetoka kusoma kitabu cha Steve Coll ""The Achilles Trap: Saddam Hussein, the C.I.A., and the Origins of America's Invasion of Iraq" pia kitabu cha Stuart A. Reid "The Lumumba Plot: The Secret History of the CIA and a Cold War Assassination".

Vitabu kama hivi huwa unavipitia kujielimisha haya mambo?

Au unakubali unayoambiwa tu?

... kwa sifa ilizokuwa inamwagiwa CIA, kwamba wanaweza hata kumuwekea rais mipaka ya kiutendaji, nilikuwa nina haki ya kuwaona kama muhimili!
Hata mimi sikuwahi kufikiri kuwa mifumo ya ulinzi ya Marekani ni dhaifu mbele ya rais kiasi hicho.
Kweli njia ya muongo ni fupi wale wapiga propaganda kuwa Marekani inaongozwa na mfumo Trump amewavua nguo.
 
Watamuua
 
... ninapendelea zaidi 'DOCUMENTARIES' na nimezipitia nyingi, I KNOW WHAT CIA IS!
 
Uzuri huyu ana max of 3+ yrs has to go for good. Oneni uzuri wa Katiba imara.

Sio kule kwingine anaweza kubadili Katiba na kusalia madarakani forever.
Actually trump is proving katiba ni kijitabu
 
Kwa hiyo wewe mlima magimbi wa hapo Matombo ndio unafahamu kumzidi yeye Trump..🀣🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€ Yeah! Niko Matombo lakini ABC za CIA Nazifuatilia(ga).
Lakini elewa kwamba nimesema: "hawezi chezea sharubu za CIA kizembe zembe".
Kuna mahali unaweza gusa lakini kuna mahali huwezi gusa. Reform ain't be 100%
 
Why imewekwa tetesi na habari ipo siku ya tano au sita sasa.. Though mengi yanaendelea

Mods si msomege ya dunia kabla ya.....
 
Kwa hiyo wewe mlima magimbi wa hapo Matombo ndio unafahamu kumzidi yeye Trump..🀣🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€ Yeah! Niko Matombo lakini ABC za CIA Nazifuatilia(ga).
Lakini elewa kwamba nimesema: "hawezi chezea sharubu za CIA kizembe zembe".
Kuna mahali unaweza gusa lakini kuna mahali huwezi gusa. Reform ain't be 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…