Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHERIA INAMRUHUSU?Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Kwa hiyo wewe mlima magimbi wa hapo Matombo ndio unafahamu kumzidi yeye Trump..🤣🤣🤣Hawezi chezea sharubu za CIA kizembe zembe. CIA ni mziki mnene ambao uko juu ya uwezo wake.
Na umemchukia mara dufu baada ya kukata kichaka chenu cha ulaji.Wewe kilaza mimi sijawahi kumkubali Trump tangu nimemjua kwa mara ya kwanza, hata alipowaua ndugu zako Qasem Soleimani na Al-Baghdadi.
Sasa kulikoni uweke malaya Ikulu si bora Trump mwenye maamuzi ya kiume. Changes are inevitable and part of life. You cant resist changes you will eventually have to adapt to the changes.Hivi kati ya Trump na waliompigia kura ni nani wendawazimu?
Tatizo unaamini unayoambiwa kirahisi bila kuhakiki.... kwa sifa ilizokuwa inamwagiwa CIA, kwamba wanaweza hata kumuwekea rais mipaka ya kiutendaji, nilikuwa nina haki ya kuwaona kama muhimili!
Kama Kennedy!!!Trump sasa anavuka mstari mwekundu.
Sasa naona ameamua kujikatia tiketi ya kifo. Muda utaongea!
Let's wait!
Hata mimi sikuwahi kufikiri kuwa mifumo ya ulinzi ya Marekani ni dhaifu mbele ya rais kiasi hicho.... kwa sifa ilizokuwa inamwagiwa CIA, kwamba wanaweza hata kumuwekea rais mipaka ya kiutendaji, nilikuwa nina haki ya kuwaona kama muhimili!
WatamuuaHuko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
... ninapendelea zaidi 'DOCUMENTARIES' na nimezipitia nyingi, I KNOW WHAT CIA IS!Tatizo unaamini unayoambiwa kirahisi bila kuhakiki.
Ulisoma kitabu gani cha kuangalia mahusiano ya CIA na rais wa Marekani?
Mimi mwezi wa Disemba 2024 nimetoka kusoma kitabu cha Steve Coll ""The Achilles Trap: Saddam Hussein, the C.I.A., and the Origins of America's Invasion of Iraq" pia kitabu cha Stuart A. Reid "The Lumumba Plot: The Secret History of the CIA and a Cold War Assassination".
Vitabu kama hivi huwa unavipitia kujielimisha haya mambo?
Au unakubali unayoambiwa tu?
View attachment 3232416
View attachment 3232417
Actually trump is proving katiba ni kijitabuUzuri huyu ana max of 3+ yrs has to go for good. Oneni uzuri wa Katiba imara.
Sio kule kwingine anaweza kubadili Katiba na kusalia madarakani forever.
Ukishajidai unaijua basi ndio ujue kwamba hujui... ninapendelea zaidi 'DOCUMENTARIES' na nimezipitia nyingi, I KNOW WHAT CIA IS!
😀😀 Yeah! Niko Matombo lakini ABC za CIA Nazifuatilia(ga).Kwa hiyo wewe mlima magimbi wa hapo Matombo ndio unafahamu kumzidi yeye Trump..🤣🤣🤣
Eee Kweli. Huko ni kama kimenuka tuu. Hapo ni kwamba anataka kufanya engine overhaul auKazi ipo
😀😀 Yeah! Niko Matombo lakini ABC za CIA Nazifuatilia(ga).Kwa hiyo wewe mlima magimbi wa hapo Matombo ndio unafahamu kumzidi yeye Trump..🤣🤣🤣