Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Hio Mifumo ndio aliitumiaga Mwendazake kufanya usafi kwenye Wizara mbali mbali kwa sera ya "Kuinyoosha nchi"
Hakugusa jeshi lolote pamoja na vyombo vya usalama. aka Wizara ya mambo ya ndani
 
SHERIA INAMRUHUSU?
Screenshot_20250210-203810_X.jpg
 
Hadi Wamarekani wenyewe wanabaki midomo wazi. Akihojiwa na Fox News amesema Wapalestina hawatakuwa na haki ya kurudi Gaza pale atakapo ijenga upya labda kwa miaka ya baadae sana na kuongeza kuwa Gaza ataifanyia biashara ya real estate. Hili nje ya mada lakini nimeliweka kuonesha mambo ya ajabu anayofanya na kuyasema Trump. Wanadiplomasia wa US wako busy pengine kuliko kipindi chochote kwa miaka ya huvi karibuni wakijaribu kurekebisha makosa ya mzee.

Opinion na wasiwasi walio nao watu hapa jukwani hata wamarekani ni hivyo hivyo, viongozi wenzie wa dunia nao wamekaa kimachale hawamwelewi. Ukitaka kuona wasiwasi wa wamerekani na kutokuamini kwao anachofanya Trump ni utitiri wa kesi zilizo funguliwa kupinga hizo Executive Order. Tumpe muda, kwa vyovyote haya mabadiliko anafanya yatakuwa na mshindo mkubwa, either positive or negative.
 
The C.I.A. sent an unclassified email listing all employees hired by the spy agency over the last two years to comply with an executive order from President Trump to shrink the federal work force, in a move that former officials say risked the list leaking to adversaries.

The list included first names and the first initial of the last name of the new hires, who are still on probation — and thus easy to dismiss. It included a large crop of young analysts and operatives who were hired specifically to focus on China, and whose identities are usually closely guarded because Chinese hackers are constantly seeking to identify them.
 
Ila kupitia Trump na Elon nimejifunza mengi kuhusu tofauti ya binadamu kutokana na rangi zao, linapokuja suala la "uroho" wa kujali tumbo wote ni wamoja!

Nje ya Mada:
Kumbe Pakistan wanamiliki bonge la hotel jijini New York, Roosevelt Hotel ila waliweka bond kwa ajili ya madeni,
Tanzania na raslimali zote hizi hata kitega uchumi chochote huko USA hakuna!
Nimeizungumzia hoteli hiyo baada kuona inabeba vichwa vya habari Leo, kwakweli Marekani hakupoi kabisa!
20250210_203056.jpg
 
Tukienda na ule ukweli hili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi upate matokeo tarajiwa ni lazima watendaji wako wa chini wawe ni watu wanaoamini katika ideology na maono yako.

#Trump2024
Kwahiyo Mwamba Magufuli alikuwa sahihi ndio maana Trump anamuiga sio?
 
Sasa kulikoni uweke malaya Ikulu si bora Trump mwenye maamuzi ya kiume. Changes are inevitable and part of life. You cant resist changes you will eventually have to adapt to the changes.
Trumplet a.k.a vuvuzela has flip flopped but his supporters aren't upset or haven't noticed

Trump screws a porn star without a condom

And this is the guy many of you think should make the decisions for the free world
 
Kama tunavyoambiwa na kuamini kuwa JWTZ ni Watu hatari wakati, wenye sifa hizo waliondoka na akina Musuguri, sasa hivi wamejaa watoto WA wakubwa ambao waliingia kwa vimemo!
Kwahiyo Mwamba Magufuli alikuwa sahihi ndio maana Trump anamuiga sio?
Alafu Aina ya vilio wanavyotoa Democratic ni Sawa na walivyokuwa wanalia hapa kwetu enzi za JPM, " utawala wa Sheria, katiba yetu, Haki za binadamu,"
 
Watu waliofundishwa maisha yao yote kuwinda na kuua binadamu anataka awamwage mtaani kama jobless
Atawindwa yeye sasa, sio muda mrefu
Kaingia cha kike…..
 
Toa mfano mmoja kuonyesha CIA ni hatari Sana?
Unataka upewe mfano, kwenye maswala haya ya ujasusi ni ngumu kupata ushahidi hata ukizifuatilia documentary za kipepelezi za baadhi ya matukio ambayo inasemekana CIA,m wameyafanya, hawa indicate ushahidi kwa asilimia zote ila ukifuatilia mtililiko unakuja kupata picha halisi.

Ukipata muda fuatilia assassination ya Rais wao Kennedy na ukopata muda soma na hiki alicho kiongea mpwa wake.
CIA wanauwezo wa kufanya tukio bila kuacha ushahidi na hata wakiuacha basi wanahakikisha huo ushahidi hausishwi na chombo chao.

Mfano mwengine Maduro Rais wa Venezuela, yule alikuwa anatekwa na Mercenaries kutoka US, ila ukismikiliza Maduro anadai CIA na US wanahusika, ila uzuri Maduro aliwashtukia na kuwakamata wahusika na ukiwasikiliza US na CIA wamewakataa na kudai haiwatambui.
 
Kinachofanyika ni sawa na kuwa na ugomvi mkali na mkeo ndani, huku ukisahau yeye ndio mpishi mkuu wa chakula chako, ambaye anaweza kukuangamiza muda wowote.

Vipi yule chief secret aliyemteua kutokana na uokozi alikopigwa risasi, alishaanza kufanya kazi?​
 
Back
Top Bottom