Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda


Wamarekani ni watu wema sana japo watu wanawatukana sana,hawatakubali Dunia ipukutike akina Baiden Bado wapo lkn pia mama Samia ni mama na ana huruma za kimama hataruhusu watu wafe zaidi sana Mungu anatupenda litaoita kama korona ilivopita
 
Wamarekani ni watu wema sana japo watu wanawatukana sana,hawatakubali Dunia ipukutike akina Baiden Bado wapo lkn pia mama Samia ni mama na ana huruma za kimama hataruhusu watu wafe zaidi sana Mungu anatupenda litaoita kama korona ilivopita
Mi nawapenda sn wazungu
Wahusika wanunue dawa za wananchi
 
kwani nchi haina hakiba za dawa hizo kutumiwa mpaka uchunguzi wao ukamilike? China na india wapo watatusaidia
Bado mna mentality za kusaidiwa Tena mkuu
Kwann serikali isinunue hizo dawa?.
 
watu wasipaniki sana especially wanaotumia hizi njugu pharmaceutical industry ni moja ya sehemu ambayo US government inapiga hela ndefu sana, hapo kitakacho fanyika ni kwamba serikali za Africa na Marekani zitaingia makubaliano na kuingia katika commitment kutekeleza ahadi zao, i give you and what should i get from you, Trump anapigana vita ya kiuchumi strategically lengo kuu ni make America great again. Hapa lazima serikali za Africa zinyooshe mikono juu.
 
Uhai wa mtoto wa Tanzania ni jukumu la mama Samia na si mabeberu.
Pesa zinazotumiwa kuzalisha chawa ziende kwenye afya na elimu badala ya mchungaji Masanja Mkandamizaji na Steve "Nyerere" eti na goli la mama!
Elimu inatolewa sana kila siku
 
Aisee

Kweli mbongo Mpe title tu ya habari…. Story yote atapika na atapakua
 
Kuna mazuri amefanya na ataendelea kuyafanya ikiwemo kukomesha Ushoga na Usagaji
Very true
Mashoga na wasagaji walivyo wapuuzi eti hawezi kukomesha

Haituhusu tunachosema haitambuliki kwenye serikali km mwanzo na watu kutoka mataifa mengine walikuwa wanakimbilia US sbb Alikuwa mtetezi SS us sio mtetezi wa huo upuuzi,jinsia ni 2 tu!
 
Duh...... Habari mbaya sana kwa wagonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…