Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Safi kabisa,simlikuwa mnasema Kamala asichaguliwe bora Trump
Kwa Hilo tu ndio litoshe kuona Kamala angefaa zaidi ya Trump ?
Kamala angeweza kukomesha ushoga na usagaji ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa,simlikuwa mnasema Kamala asichaguliwe bora Trump
Na wengine mashabiki zake waliomshabikia wanapandishwa ndege kurudi home sweet home 😹😹😹Na badooo,
Mlimshangilia humu na kuna waswahili wengine walidiriki hadi kumtungia wimbo na kumuita mkombozi aliyetumwa na Mungu, dawa inazidi kuingia sasa
Tuzigeukie nchi za kiisiramu maana Trump ni kiongozi wa nchi ya kikafiri.
Emotional people watakuja kukushambulia hapa kaka huo ni ukweli mgumuSafi mataifa yote yajitegemee
Umaskini wa kifikra unaitafuna afrika tunapeleka bajeti kwenye mambo ya kipumbavu sana yani hatuwezi kusimama na hatujawahi kufikiria kujitegemea kwenye mambo muhimu kama haya..Acha Tujifunze in a hard way ili upumbavu upungue afrikaNchi za kiafrika sio maskini na sio kweli kwamba zinashindwa ku-run bajeti zao, shida kubwa Iko ktk mipango na matumizi, mipango ni mibovu na ufujaji wa hela uko Kwa kiwango cha juu...pesa nyingi zinaelekezwa kwenye matumizi na kipumbavu na anasa za watawala...ma vieite yanazunguka nchi nzima, huku mabasi ya kisiasa ya CCM yanapita, hujakaa vizuri Boeng linapaa kuelekea Korea limejaza machawa waliolipwa posho na huduma za hadhi ya juu ..NGOJA TRUMP ATOE ELIMU KWA VITENDO MAANA KUSKIA KWA KENGE NI MPK DAMU ITOKE MASKIONI
NGOs za kipigaji nyingi zitapotea na upepo wa TrumpSasa hivi ukinasa njugu hakuna.
Hizi NGOs zinazoanzishwa kama uyoga kwamba zinapambana na ukimwi au TB si ndo zinakufa sasa
Sio woteSiku hizi watoto hawazaliwi nao
U r gaslighting, which means I aaked a valid question.Endeleeni kukamuana inya. Mtapata malipo yake soon.
Hembu tuwatag mkuu [emoji23][emoji23] nakuomba ufukue kaburi.Na badooo,
Mlimshangilia humu na kuna waswahili wengine walidiriki hadi kumtungia wimbo na kumuita mkombozi aliyetumwa na Mungu, dawa inazidi kuingia sasa
Ni uamuzi mzuri kwa taifa la marekani,ila omba hali hii isikutokee wakati una nduguyo au wewe mwenyewe una maambukizi ya VIRUSI VYA UKIMWI NA UKIMWI,ni taarifa mbaya mno kwa waathirika,taifa na afrika kwa ujumla.
Serikali yako ta CCM ifanye hayo badala ya kununua ma V8.Hii kitu sio ya kushangilia, wakati tunasema ni bora ili Serikali ijitegemea ila tuelewe sio Tanzania peke yake inayotegemea hiyo misaada, zipo Nchi zilizoathiiriwa sana na zinauhitaji mkubwa sana wa hizo dawa, so tutarajie vifo vingi vya watoto wachanga, watoto njiti na watu wenye maambukizi ya ukimwi maana imekuwa ghafla. Naamini hakuna Nchi ilitarajia hili
Na kuna clip nimeiona aliulizwa kuhusu kama anatenda haki kuwafurusha watu like that akajibu hao ni Alliens wanakuja kupora rasilimali za Wamarekani,Safi kabisa,simlikuwa mnasema Kamala asichaguliwe bora Trump
Trump hawezi kukomesha Ushoga wala Usagaji jaribu kua Great Thinker basi, yaani Trump aseme watu wasinjunjane! hahahaha hiyo kaliKuna mazuri amefanya na ataendelea kuyafanya ikiwemo kukomesha Ushoga na Usagaji
kwani nchi haina hakiba za dawa hizo kutumiwa mpaka uchunguzi wao ukamilike? China na india wapo watatusaidiaMpaka waje kuruhusu tena tutakuwa tumezika wengi.