Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mkuu, dili liko pale pale. Hakuna kitakachobadilika. Ni suala la muda mtu.Hakuna cha points, issue imekuja baada ya deal la Trump kutaka kufyeka rasimali za Ukraine kuyeyuka.
Kuwa hivyo muda wote (mazoea) haina maana kwamba ndiyo kanuni.Kwa nini leo wakati yeye amekuwa hivyo muda wote na sababu inajulikana.
Lingechukuliwa ni kama vazi la kitamaduni tu kama mkuu wa nchi ya Papua new Guinea angevaa sketi
Subiri Matokeo. Hata JFK alitaka kusimamisha kabisa vita ya Vietnum. And he got all support from gvt.Zile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.
Tumeshajionea.
Tsh umenichekesha.Zile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.
Tumeshajionea.
Megalodon, wamarekani ni wanadamu tu kama wewe, wanakosea pia tena wanafanya makosa mengi mno na makubwa. Sio invincible wala sio kwamba kila wanachokipanga kinakuwa kama walivyopanga, wao ni viumbe tu.Subiri Matokeo. Hata JFK alitaka kusimamisha kabisa vita ya Vietnum. And he got all support from gvt.
we know what happened . Wenzetu wapo smart , hawatotumia strategy ile ile ya JFK
iiiiii enheeZile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.
Tumeshajionea.
Halafu deni liko pale pale bado marekani atamdai ukraine mabilion aliyotumia wakati wa vita. Na je ulaya itamsapoti mpaka aweze kumshinda mrusi? Ulaya ikiungana na ukraine dhidi ya urusi na china itaungana na urus ndo kitaumana wakati huo mmarekani amdkaa pembeni anaangalia hiyo movie,
Ndo ukweli wenyewe huoMegalodon, wamarekani ni wanadamu tu kama wewe, wanakosea pia tena wanafanya makosa mengi mno na makubwa. Sio invincible wala sio kwamba kila wanachokipanga kinakuwa kama walivyopanga, wao ni viumbe tu.
Hollywood ni maigizo tu yale, akina Rambo, James Bond na wenzao ni uongo tu. Na hata katika huko kuigiza wanakosea pia, sikuambii maisha halisi.
🤣🤣🤣🤣🤣 Utasikia kule mpaka Congress ipitishe, raisi hana maamuzi ya moja kwa moja bila Congress. Funzo: Raisi ndio final say hio mifumo ni porojo tu.
Ww kama umeanza kufatilia siasa za kimataifa mwaka 2020 unaweza ukawa sawa.Mikakati iliyopangwa miaka mingapi iliyopita mkuu? Tupange.
Lakini mwisho wa siku Marekani sialiikimbia hiyo vita?Subiri Matokeo. Hata JFK alitaka kusimamisha kabisa vita ya Vietnum. And he got all support from gvt.
we know what happened . Wenzetu wapo smart , hawatotumia strategy ile ile ya JFK
Mimi naona hayo sio mazoea ni utaratibu mpya aliyojiwekea kutokqna na hali ya nchi yake. Kwa sababu hayuko utupu Trump anatakiwa amuelewe au wasibgekubali aende maana walijua atakuwa hivyo. Hapo watakuwa na jambo lao tu lingineKuwa hivyo muda wote (mazoea) haina maana kwamba ndiyo kanuni.
Jamii ya watu wanaopenda kuishi kwa mazoea ndio wale wanaoumia na kuathirika zaidi pale kiongozi sahihi anapoingia na kuanza kusimamia utekelezaji wa matakwa ya sheria na taratibu husika.
Nenda wewe kapambane na urusi....Kama unaona vita ni ushabiki wa Simba na yangaTrump anafanya kazi kama mwanamke Kila kitu visasi
Kama wewe...Toka hapo sebuleni kwa shemeji....ukitoka tu hapo ajili itakuja kuwa WAMAREKANI WANA AKILIWamarekani wajinga tu kama sisi wala hakuna tofauti
Hallo....unachezea kazi....si kuhesabu tu idadi ya watu? 1..2..3..4..5........nkSijawahesabu mkuu
Chiiz huyu mwehuuRais Donald Trump ameagiza kusitishwa kwa usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wiki iliyopita katika Ikulu ya White House, afisa wa Ikulu ameiambia CNN Jumatatu.
Hatua hii, iliyokuja baada ya Trump kufanya mikutano kadhaa na maafisa wa juu wa usalama wa taifa, inaweza kuwa na athari kubwa kwa uwezo wa Ukraine wa kupambana vitani, kwa mujibu wa maafisa na wachambuzi. Kusitishwa kwa msaada huo kutaendelea hadi Trump atakapojiridhisha kuwa Zelensky amejitolea kuanzisha mazungumzo ya amani, hatua ambayo inamlazimisha Rais wa Ukraine kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa hofu ya kupoteza msaada zaidi wa kijeshi.
“Rais amekuwa wazi kuwa anazingatia amani. Tunahitaji washirika wetu pia waonyeshe dhamira hiyo. Tunasitisha na kupitia upya msaada wetu ili kuhakikisha kuwa unachangia katika kutafuta suluhisho,” afisa wa Ikulu alisema.
Baada ya zaidi ya wiki moja ya uhasama wa wazi kati ya Washington na Kyiv, kusitishwa huku kwa msaada ni dalili dhahiri ya kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo tangu Trump alipoingia madarakani.
Katika wiki za hivi karibuni, Trump ameonyesha msimamo unaofanana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kwa madai ya uongo kuwa Ukraine ilianzisha vita na kumshutumu Zelensky kuwa dikteta. Hata hivyo, uamuzi wake wa kusimamisha msaada wa kijeshi unaweza kuwa na athari kubwa kwenye mwelekeo wa vita na kumpa Putin nguvu zaidi.
Msaada huo utasitishwa kwa vifaa vyote vya kijeshi ambavyo bado havijaingia Ukraine, maafisa wamesema, na hii ni hatua ya moja kwa moja kutokana na kile Trump anachokiona kama “tabia mbaya” ya Zelensky wiki iliyopita.
Maafisa wa Magharibi wanasema Ukraine inaweza kuendelea kupambana kwa wiki chache — labda hadi mwanzoni mwa majira ya joto — kabla ya kusitishwa kwa msaada huo kuanza kuwa na athari kubwa. Utawala wa Biden ulikimbilia kuisambazia Ukraine silaha nyingi katika siku zake za mwisho, ukiiwezesha nchi hiyo kupata hifadhi kubwa ya silaha za hali ya juu.
Ni silaha hizo za kisasa — zikiwemo makombora ya masafa marefu ya ATACMS — ambazo zimeiwezesha Ukraine kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi. Mkakati huu unaweza kudhoofika ikiwa silaha hizo zitasalia kusitishwa.
Source: CNN
Usa ilichelewa kupata Rais kama huyu zile hela nyingi zilikuwa zinaishia kwenye mifuko ya watu.Rais Donald Trump ameagiza kusitishwa kwa usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wiki iliyopita katika Ikulu ya White House, afisa wa Ikulu ameiambia CNN Jumatatu.
Hatua hii, iliyokuja baada ya Trump kufanya mikutano kadhaa na maafisa wa juu wa usalama wa taifa, inaweza kuwa na athari kubwa kwa uwezo wa Ukraine wa kupambana vitani, kwa mujibu wa maafisa na wachambuzi. Kusitishwa kwa msaada huo kutaendelea hadi Trump atakapojiridhisha kuwa Zelensky amejitolea kuanzisha mazungumzo ya amani, hatua ambayo inamlazimisha Rais wa Ukraine kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa hofu ya kupoteza msaada zaidi wa kijeshi.
“Rais amekuwa wazi kuwa anazingatia amani. Tunahitaji washirika wetu pia waonyeshe dhamira hiyo. Tunasitisha na kupitia upya msaada wetu ili kuhakikisha kuwa unachangia katika kutafuta suluhisho,” afisa wa Ikulu alisema.
Baada ya zaidi ya wiki moja ya uhasama wa wazi kati ya Washington na Kyiv, kusitishwa huku kwa msaada ni dalili dhahiri ya kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo tangu Trump alipoingia madarakani.
Katika wiki za hivi karibuni, Trump ameonyesha msimamo unaofanana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kwa madai ya uongo kuwa Ukraine ilianzisha vita na kumshutumu Zelensky kuwa dikteta. Hata hivyo, uamuzi wake wa kusimamisha msaada wa kijeshi unaweza kuwa na athari kubwa kwenye mwelekeo wa vita na kumpa Putin nguvu zaidi.
Msaada huo utasitishwa kwa vifaa vyote vya kijeshi ambavyo bado havijaingia Ukraine, maafisa wamesema, na hii ni hatua ya moja kwa moja kutokana na kile Trump anachokiona kama “tabia mbaya” ya Zelensky wiki iliyopita.
Maafisa wa Magharibi wanasema Ukraine inaweza kuendelea kupambana kwa wiki chache — labda hadi mwanzoni mwa majira ya joto — kabla ya kusitishwa kwa msaada huo kuanza kuwa na athari kubwa. Utawala wa Biden ulikimbilia kuisambazia Ukraine silaha nyingi katika siku zake za mwisho, ukiiwezesha nchi hiyo kupata hifadhi kubwa ya silaha za hali ya juu.
Ni silaha hizo za kisasa — zikiwemo makombora ya masafa marefu ya ATACMS — ambazo zimeiwezesha Ukraine kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi. Mkakati huu unaweza kudhoofika ikiwa silaha hizo zitasalia kusitishwa.
Source: CNN
Mpwa ubishi kusaini mkataba WA bulllshit mpwa plsSafi sana Trump Sasa si mnaona Trump anataka amani ila Volodymyr Zelenskyy yeye anafanya ubishi tu