Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #121
Ujuzi wao ni wa kukuza umaskini na kudumaza akili
Huo wala siwezi kuuita ‘ujuzi’.
Ni utapeli unaoshamirishwa na ujinga wa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuzi wao ni wa kukuza umaskini na kudumaza akili
Kwa viewpoint yao waaminio ni some sort of ujuziHuo wala siwezi kuuita ‘ujuzi’.
Ni utapeli unaoshamirishwa na ujinga wa watu.
Sasa povu la nini?! Wapi kathibitisha?! Unaelewa maana ya kuthibitisha?!Upo marekani Afu unakuwa mjinga mjinga.
Upo marekani Afu unakuwa mjinga mjinga.
Sasa hapo amethibitisha au ameongea tu! Nimesikiliza mara mbili mbili ili nisikie akitaja idadi ya Wagonjwa wa coronavirus waliopona baada ya kutumia chloroquine lakini hajataja hata mmoja! Na hakuna any scientific findings aliyo-refer kuthibitisha maelezo yake.
Sasa amethibitisha nini hapo?!
Hapana mkuu yupo sahihi na study imefanywa na wasomi wa MarekaniHuu ni upotoshaji.
Trump hajathibitisha hilo.
Hapana mkuu yupo sahihi na study imefanywa na wasomi wa Marekani
An Effective Treatment for Coronavirus (COVID-19)_
Hapana mkuu yupo sahihi na study imefanywa na wasomi wa Marekani
An Effective Treatment for Coronavirus (COVID-19)_
We kajinga n kajuaji. Hujui lolote. Endelea kubeba box for living bro. Fa.la wewe
Huu ni upotoshaji.
Trump hajathibitisha hilo.
Kaazi kweli kweli!
Corona virus haina tiba kwa sasa.
Kinachoendelea ni majaribio ya dawa mbalimbali, ikiwemo chloroquin.
Nipo hapa namwangalia Dr. Anthony Fauci.
Jamaa anaheshimika sana na yupo kwenye White House corona virus task force.
Kasema kwamba corona virus bado haina tiba.
View attachment 1393534