Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utapeli wake amekua rais waarekani na ni bilionea sijui wewe mwenzetu ni nani?Trump ni tapeli tapeli tu
Kwani matapeli hawawezi kuwa mabilionea au viongozi wakubwa??Na utapeli wake amekua rais waarekani na ni bilionea sijui wewe mwenzetu ni nani?
Wakristo hawawezi kumlasni kama amefanya makosa atalaaniwa na mwenye neno lake ambaye ni Mungu.Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
Kashauriwa na Mwaposa.Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya Marekani na kuandikwa Mungu ibariki Marekani.
Ndani ya biblia hiyo Trump ameweka mistari ya katiba ya nchi yake yenye kuhimiza uzalendo.
Trump yayari ameanza kuiuza biblia hiyo kwa thamani ya dola za kimarekani 59.9
Pamoja vitu vipya hivyo vilivyoongezwa kama biblia zilizopita.Trump vile vile ameongeza na mistari ya nyimbo za mwanamuziki ampendae, Lee Greenwood ambaye ndiye aliyeimba Mungua ibariki Marekani.
The Christian reaction to Trump’s Bible endorsement goes deeper than you think
View attachment 2948097
Hamna shida nyie hata mkifanyia pornmovie...Uzuri wakristo hawanaga mihemuko na hakuna atayeandamana au kufanya fujo. Zaidi watazidisha maombi ili kama amepotoka arudi kwenye wokovu
Hatuwezi na tumekatazwa kuhukumu mtu yeyote, maana kufanya hivyo ni kumdharirisha Mungu muumbaji wa vyote na mwenye kuamua maisha ya kila mtuNazungumzia biblia yenu ya neno la Mungu linaloeleweka Trump ametangaza kuweka mistari mipya na nyimbo, mbona Wakiristo hamuna hisia yoyote
Huo ni uamuzi wa mtu binafsi hauwahusu wakristo. Hata wewe unaruhusiwa kutengeneza tu kama ndo kazi yako wala wakristo hawatakupiga wala kukufanyia fujo. Fujo pekee utakayopata ni maombi ya kukuombea ili pepo mchafu atoke kichwani mwako.Hamna shida nyie hata mkifanyia pornmovie...
Duuh ayseeHuo ni uamuzi wa mtu binafsi hauwahusu wakristo. Hata wewe unaruhusiwa kutengeneza tu kama ndo kazi yako wala wakristo hawatakupiga wala kukufanyia fujo. Fujo pekee utakayopata ni maombi ya kukuombea ili pepo mchafu atoke kichwani mwako.
Asante
Hiyo ni kwa mujibu wa akili yako bossKwani matapeli hawawezi kuwa mabilionea au viongozi wakubwa??
Mbona wako wengi tu kama kina
Bernie Madoff
Juan Orlando Hernandez
Sen. Bob Menendez
Rod Blagojevich
Allen Stanford
Putin.
Tulaani sisi ni nani? Yupo Mungu mhukumu wa wote, Trump hajasema ni lazima wakristo watumie ujinga wake alioandika, yeye katoa tu kitabu chake lakini wakristo tuna biblia yetu yenye neno moja la MUNGULakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
Sawa mkuuUkishaitia mkononi hebu tupigie picha tuione vizuri.
Trump ni mkiristo pia kumbukaWakristo hawawezi kumlasni kama amefanya makosa atalaaniwa na mwenye neno lake ambaye ni Mungu.
Mungu hajawahi waagiza wakristo wampiganie, kwa hiyo usilazimishe yasiyokuwepo.
Trump ni mkiristo pia kama ulivyo weweTulaani sisi ni nani? Yupo Mungu mhukumu wa wote, Trump hajasema ni lazima wakristo watumie ujinga wake alioandika, yeye katoa tu kitabu chake lakini wakristo tuna biblia yetu yenye neno moja la MUNGU
Trump ni mkiristo piaWakristo hawawezi kumlasni kama amefanya makosa atalaaniwa na mwenye neno lake ambaye ni Mungu.
Mungu hajawahi waagiza wakristo wampiganie, kwa hiyo usilazimishe yasiyokuwepo.