Checheto
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 836
- 694
Tatizo ni nini me ni Mungu wangu.Wacha kujisemea kama mlevi.Yesu usimwite Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni nini me ni Mungu wangu.Wacha kujisemea kama mlevi.Yesu usimwite Mungu.
Wacha kujisemea kama mlevi.Yesu usimwite Mungu.
Wewe ni nani upangie watu namna ya kuita?Wacha kujisemea kama mlevi.Yesu usimwite Mungu.
Mimi nasema kama mfuasi wa Yesu(Issa bin Maryam) wa kweli.Sio kama wewe na wenzake mnayemfedhehesha na kwenda kinyume na mafunzo yake.Halafu mumepenyezewa jina la kiyahudi Yehova.Wewe ni nani upangie watu namna ya kuita?
Yesu ataitwa Mungu iwe isiwe yaani usipomwita leo utakuja mwita ukiwa Jehanam unakinywea kikombe cha uchungu,
Hakwepeki Kila kiumbe kitakiri ya kwamba Yesu Kristo ndie BWANA (JEHOVA)
Finish!
Issa wenu sio Yesu ni mambo ya kujitungia,issa alikuwa albino na mwarabu,Yesu ni myaudiMimi nasema kama mfuasi wa Yesu(Issa bin Maryam) wa kweli.Sio kama wewe na wenzake mnayemfedhehesha na kwenda kinyume na mafunzo yake.Halafu mumepenyezewa jina la kiyahudi Yehova.
Yesu a.s ni mtume wetu waislamu na ni ndugu na mtume wa mwisho,Muhammad s.a.w.
Yesu kwetu waislamu amefanya miujiza mikubwa ambayo nyinyi hata hamuwezi kuijua kwa kufuata vitabu vya akina Paulo na Donald Trump.
Yesu Sio Isa bin Mryam acha hizo wewe lete ushahidi wa hilo halafuMimi nasema kama mfuasi wa Yesu(Issa bin Maryam) wa kweli.Sio kama wewe na wenzake mnayemfedhehesha na kwenda kinyume na mafunzo yake.Halafu mumepenyezewa jina la kiyahudi Yehova.
Yesu a.s ni mtume wetu waislamu na ni ndugu na mtume wa mwisho,Muhammad s.a.w.
Yesu kwetu waislamu amefanya miujiza mikubwa ambayo nyinyi hata hamuwezi kuijua kwa kufuata vitabu vya akina Paulo na Donald Trump.
Wakristu hua hawaipuganii dini, wala kumpigania Mungu. Bali Mungu hua anajidhihirisha yeye mwenyewe kwa njia zake.Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
Acha uongo, Mbona Warumi walifanikiwa kupotosha maandiko. Au wewe unahis hiyo Bible unayotumia imetimia.Hakuna mwenye uwezo wa kuharibu neno la Mungu,wengi wamekuja na kufanya waliyofanya lakini neno la Mungu halijaharibiwa.
Lete tuone palipopotoshwa,lete na original yake.Acha uongo, Mbona Warumi walifanikiwa kupotosha maandiko. Au wewe unahis hiyo Bible unayotumia imetimia.
Bado kidogo tu Bible itakua Kitabu cha Memes.
Waulize wakatoliki wakubwawakubwa wamiliki wa Ukristo wenu wa Mchongo walioshikilia hatima za Wagaratia wote ulimwenguni watakupa Muongozo.Lete tuone palipopotoshwa,lete na original yake.
Huna hoja ya maana na huna ushahidi wowote zaidi ya kusikiliza mawaidha kutoka kwa sheikh wako,ukristo ndio njia pekee ya uzima huko kwingine unajiandaa na jehanamu ya milele.Waulize wakatoliki wakubwawakubwa wamiliki wa Ukristo wenu wa Mchongo walioshikilia hatima za Wagaratia wote ulimwenguni watakupa Muongozo.
Ungejua Mimi kabla ya kugundua kua Mungu hana Dini nilikua Mgaratia kama wewe usingeongea, Nakuzid kila kitu kwenye Ukristo ila ndo siwez kaa kitako na Wafia dini hizo zama za Upumbavu nilishazipita.Huna hoja ya maana na huna ushahidi wowote zaidi ya kusikiliza mawaidha kutoka kwa sheikh wako,ukristo ndio njia pekee ya uzima huko kwingine unajiandaa na jehanamu ya milele.
Hongera basi kwa kuwa mpinga kristo ,wewe subili moto wako huko uliko,kama ulikuwa mkristo ulikuwa wale vugu vugu na huna ujuacho ulimwengu wa roho na ndio maana ukatoka,maana hakuna aliyewahi ijua neema ya Kristo kwa undani akatoka.Ungejua Mimi kabla ya kugundua kua Mungu hana Dini nilikua Mgaratia kama wewe usingeongea, Nakuzid kila kitu kwenye Ukristo ila ndo siwez kaa kitako na Wafia dini hizo zama za Upumbavu nilishazipita.
Jua tu Sijawah kua Muislam na haiwezekani kamwe.
Asubirie atangaziwe kama Muhammad alivyotangaziwa na warakaTrump mwishowe ataanza kujitangazia utume kama Paulo.
Au sio, Na hakika hata robo ya Ukristo wa Yuda huna na hautoufikia kamwe.Hongera basi kwa kuwa mpinga kristo ,wewe subili moto wako huko uliko,kama ulikuwa mkristo ulikuwa wale vugu vugu na huna ujuacho ulimwengu wa roho na ndio maana ukatoka,maana hakuna aliyewahi ijua neema ya Kristo kwa undani akatoka.
Ukristo ni amani,unavyozidi kumjua kristo inazidi kuwa mnyenyekevu na unayemjali kila mtu bila ukristo imara dunia isingekalika.Au sio, Na hakika hata robo ya Ukristo wa Yuda huna na hautoufikia kamwe.
Wewe si lolote si chochote na kama Ukristo ndo unawaepusha watu na moto basi uko mbinguni kutajaa Wahuni.
Sema hivi, Ukristo ndio mfumo uliofanikiwa kutengeneza Mbumbumbu wengi ili watumike vizuri na vikundi vya wajanja fulan fulan kiuchumi.Ukristo ni amani,unavyozidi kumjua kristo inazidi kuwa mnyenyekevu na unayemjali kila mtu bila ukristo imara dunia isingekalika.
Mungu yupi???Hakuna mwenye uwezo wa kuharibu neno la Mungu,wengi wamekuja na kufanya waliyofanya lakini neno la Mungu halijaharibiwa.
Ewe muislam fake.. jua ya kwamba maji hayachanganyiki na mafuta.. Mostly Muslim wanajaribu kuongea maneno hata Mtume wao alipokuwepo miaka mia sita after Jesus hakuwahi kujinadi nayo..Mimi nasema kama mfuasi wa Yesu(Issa bin Maryam) wa kweli.Sio kama wewe na wenzake mnayemfedhehesha na kwenda kinyume na mafunzo yake.Halafu mumepenyezewa jina la kiyahudi Yehova.
Yesu a.s ni mtume wetu waislamu na ni ndugu na mtume wa mwisho,Muhammad s.a.w.
Yesu kwetu waislamu amefanya miujiza mikubwa ambayo nyinyi hata hamuwezi kuijua kwa kufuata vitabu vya akina Paulo na Donald Trump.