Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

Trump ni mkiristo pia kama ulivyo wewe
Kwahivo unataka tumfanyeje? Hiko ni kitabu tu kama cha ngoswe penzi kitovu cha uzembe mbona huelewi? Kuna mambo mengi ya kufanya kuliko kufuatilia machizi waliamua kuandika hadithi zao hazina maana
 
Wakristo sio Kama wale vilaza wanajifanya wamefunga huku wakichapa wenzako wasio Waislamu kwa kula chakula. Yani umefunga na bado unmshambulia mwenzako kwa fimbo.
 
Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
Mungu wa wakristo yupo moyoni mwa wakristo na Mungu wa wale wavaa kubasi mabingwa wa kufukuana mitaro ya kunduchi yupo kwenye ngumi, majambia n.k na hata sasa watu wananoa mapanga wanatamani ingekuwa kitabu Chao kimetaniwa wanunue ugomvi
 
Mohamed na paulo hawana tofauti yeyote ile
Mungu wa wakristo yupo moyoni mwa wakristo na Mungu wa wale wavaa kubasi mabingwa wa kufukuana mitaro ya kunduchi yupo kwenye ngumi, majambia n.k na hata sasa watu wananoa mapanga wanatamani ingekuwa kitabu Chao kimetaniwa wanunue ugom
Kwa hivyo unamuunga mkono Trump
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuharibu neno la Mungu,wengi wamekuja na kufanya waliyofanya lakini neno la Mungu halijaharibiwa.
Una uhakika na haya unayoyasema. Wewe ulishawahi kuiona Biblia ya awali then ukafanya mlinganisho ukaona ipo sawa sawa na hii ya Leo?
 
Trump is Jew. Not Christian.
Si ndio tatizo la ukiristo hilo !
Mayahudi wameuchezea kama mwanasesere.Wamewafukuza wakrito Jerusalem halafu wakaongeza mistari kwenye biblia.
Trump sasa ameona atumie hicho kitabu kutafuta pesa.Wengine watakuja na makubwa kuliko hilo.
 
Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
Kitovu cha Ukristo ni Jerusalem.
Marekani na Italy wameteka mafunzo ya hiyo dini halafu wanaifanyia usanii.
 
Kitovu cha Ukristo ni Jerusalem.
Marekani na Italy wameteka mafunzo ya hiyo dini halafu wanaifanyia usanii.
Kama kitovu cha ukiristo ni Jerusalem Middle East kwanini munafuata mila za kizungu, wanawake wa kikirsto wanavaa mini skirt, kutembea uchi wakati mama maryam alijitanda, yesu alivaa kanzu kama wanavyovaa waislam
 
Kitovu cha Ukristo ni Jerusalem.
Marekani na Italy wameteka mafunzo ya hiyo dini halafu wanaifanyia usanii.
Ukristo ni kitu cha ndani sn ni zaidi ya kutawaza na Mungu wetu Yesu ni imara sana
 
Back
Top Bottom