Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

Kama mtu wa imani yeyote anashangazwa na hili basi atakuwa ni mpumbavu...

Vitabu vya imani vyote vina ligha yake ya asili.. yaani Original.

Kuhusu Biblia.. zipo original kwa lugha ya Aramaic, Hebrew, Greek, Ethiopian.

Injil wasomi wa kigiriki ndio waliweza kutafsiri from Aramaic to Greek to Hebrew Latin n.k

From Latin ti English Roman walipinga sana ila Mfalme James wa Uingereza alitumia njia zote kukipata kitabu Original na akafanikisha kutafsiliwa Biblia kwa Lugha ya English iitwayo King James Version.

So upumbavu kusema mtu katoa biblia yake ukisema hivyo inaana ni story from Original source pengine hazikuunganishwa ndani ya Biblia iliyopo sasa.. maana Biblia maana yake ni Books of Books..

Zipo Books ambazo zilikuwa rejected due story zake zilukuwa hadithi za watoto wakati wa kulala bedtimes story wayahudi walikuwa nazo kuna book inaitwa Legend of the Jews.. zipo story za Yesu alifanya udongo kisha akapulizia pumzi yake kwa mdomo ule udongo ukageuka ndege hai akapaa.. Jews walikataa Ila Muslim waliichukua bedtimes story wakaitia kwanye Quran.

Kuna story ya Yesu alikuwa mkorofi sana hashikiki anawatoroka wazazi wake anaenda kucheza na watoto wengine sokoni kuna siku walkenda ghorofani wakacheza hadi wakachoka mtoto mmoja akajilaza kwenye kibaraza ghorofani akiwa akageuka akageuka vubaya na akaanguka hadi chini akafa..
Yesu akasingiziwa ndie amemsukuma kilichosababisha kupoteza uhai wa yule mtoto..
Baada ya kusimgiziwa Yesu hakukubali huku akilia akamtikisa yule mtoto hadi alifufuka ili atoe ushahidi kuwa yeye hakumsukuma.. hatimae yule mtoto alifufuka akasema hakusukumwa.

Zipo story ambazo ni rejected na Muhammad alizibeba kama zilivyo.. Suleiman with flying carpets ambalo linabeba nchi nzima...

Mleta Mada nj wale Waislam wanaopenda Mocking other religious. Hajui Bible imethibitishwa kama ilivyo sasa hivi bila kuongezwa wala kupunguzwa na Allah ndani ya Quran yao wanayoiita Tukufu.. so Mocking Bible una Mocking Quran too.. so this people wanaishi na ule msemo wao unaosema wapingaji na upingaji ndio Ukafir..

Ukija kwenye Quran Muslim wengi sijajua kama wanajua kuwa Quran hadi ya Arabic nayo ni tafsiri ! Mtume wao aliulizwa ulipataje ufunuo akawajibu sometimes Jibril alikuwa anatoa Aya na Surat kwa milio ya kengere na yeye anatafsiri kwa Arabic..

Quran ya Hafsi ambayo inaeleza muamdishi anaswma amechukua matamshi kutoka kwa fulani,aliyetamka fulani ,fulani,according to according to Muhammad, according to Jibril, according to Allah, ndio wengi wanaitumia hiyo Quran ya Hafsi kuna za waandishi wengine kuna wanaozitumia haswa Africa ya Magharibi zinakinzana sana. Unakuta neno moja la kiarabu ila tafsiri yake nusu page yaani full udanganyifu ili wakwamie kwenye uislam..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utakoma. Bado hatujaelewa mkuu rudia...
 
Kama hakuchakachua mistari au Maandiko ya Biblia ila akaongeza Mambo yake sioni kama ni kosa! Hiyo ni Biblia yake.
 
Jamaa wamestushwa hawajui Mtume wao alikopy vitabu vya Bible na akathibitisha ni vya Mungu wake Allah
 
Ukiristo Dini ya duniani, uislam dini ya dunia na akhera. Hii sawa unafanya mtihani wa taifa halafu anakuja msimamizi kukupenyezea kibomu halafu wewe unacheka. Hujui ndio anaharibu future yako. Uislam hautaki atakee kiumbe anapotosha. Akitokea ndio hivyo tena aishi chooni
 
Umetoa wapi hii comedy story? Jibu: Obviously in Quran.

Mnausifia uislam and mkiambiwa muuelezee hamuwezi mnaishia kutoa uharo.. tupe aya moja ya uhakika haichekeshi kutoka kwenye Quran raia tuamini uislam upo seriously kama huna nyamaza acha kuongea pupu
 
Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?

Tatizo wanadam mna mihemuko hivi unadhan Mungu anahitaj kupiganiwa.. yaan Mungu alieumba kila kiumbe kinachopumua eti atetewe na wanadam.. jua kuwa Mumgu wa kweli haitaji kutetewa. Na mtu.. yeye alitoa mwongozo kuwa tenda mema utapata thawabu zake.. kengeuka basi utahamia upande wa pili..

kama Mungu anaruhusu shetan ajaribu watu wake.. maana yake anaamini kwa
Maarifa aliyompa Mwandam ya kutambua mema na mabaya.. ni swala la mwanadam
Kuamua..

Mwishon kumbukeni Mungu hajaandika kitabu ila alitoa miongozo anataka watu waishi vip kupitia vinywa vya manabii wake.. nao wakaamu kuweka kumbukumbu kwa kuandika ili Vizaz vijavyo vijue neno la mungu ( ndo maana ya Injili).

Na uzuri Mungu kupitia vinywa vya manabii wake alishatoa angalizo kuwa kutaibuka
Manabii na miungu feki watakaofanya hata miujiza.. sembuse mtu kuandika kitabu ambacho wala Hakimhusu Mungu

Ucha Mungu wa kweli uko kwenye matendo na sio maandishi.. maandishi hayo ni ya wanadam

So atakayeshupaza mishipa ya shingo kwa alichokifanya Trump basi huyo hamjui Mungu anaemwabudu.. na infact Mungu atakuwa disapointed naye..
 
Umetoa wapi hii comedy story? Jibu: Obviously in Quran.

Mnausifia uislam and mkiambiwa muuelezee hamuwezi mnaishia kutoa uharo.. tupe aya moja ya uhakika haichekeshi kutoka kwenye Quran raia tuamini uislam upo seriously kama huna nyamaza acha kuongea pupu
Popote mtakapokuwa yatawafika mauti na hata mkiwa katika ngome madhubuti.(Quran)

Swali. Vipi bibi yako au bibi wa bibi yako bado yupo hai? Wewe unaishi milele?
 
Kama hiyo aya 4:78 ndio Big bigger Biggest proof kuwa Islam ndio Dini ya Allah kuwa Kifo hakikwepeki tambua ni Kichekesho pia sababu Quran inasema Jesus bin Mariam hakufa Hahahahaha... Quran 4:157 na Aya hiyo ALLAH anasema alimbadilisha mtu mwingine asiye na kosa kuuwawa instead of Jesus so Allah ni Muhuni fulani huwezi fanya hivyo kwa asiye na hatia. Allah ni Mtenda Madhambi sinner Iblis alikuwa akimtizama live Allah akifanya kazi ya Iblis

Islamic ulikuja after Jews and Christians Katika Torah Enoch hakuonja kifo, Eliah(Ilyās) nae hakuonja kifo. God aliamua mwenyewe kuwanyakua sababu hawakufanya dhambi.

Hebu njoo na kichekesho kingine tucheke lete aya ambayo haina shaka tuelewe uislam upo makini tujifunze kwako musilam kindaki ndaki mtumwa wa Allah
 
Tatizo wanadam mna mihemuko hivi unadhan Mungu anahitaj kupiganiwa.. yaan Mungu alieumba kila kiumbe kinachopumua eti atetewe na wanadam.. jua kuwa Mumgu wa kweli haitaji kutetewa. Na mtu.. yeye alitoa mwongozo kuwa tenda mema utapata thawabu zake.. kengeuka basi utahamia upande wa pili..

kama Mungu anaruhusu shetan ajaribu watu wake.. maana yake anaamini kwa
Maarifa aliyompa Mwandam ya kutambua mema na mabaya.. ni swala la mwanadam
Kuamua..

Mwishon kumbukeni Mungu hajaandika kitabu ila alitoa miongozo anataka watu waishi vip kupitia vinywa vya manabii wake.. nao wakaamu kuweka kumbukumbu kwa kuandika ili Vizaz vijavyo vijue neno la mungu ( ndo maana ya Injili).

Na uzuri Mungu kupitia vinywa vya manabii wake alishatoa angalizo kuwa kutaibuka
Manabii na miungu feki watakaofanya hata miujiza.. sembuse mtu kuandika kitabu ambacho wala Hakimhusu Mungu

Ucha Mungu wa kweli uko kwenye matendo na sio maandishi.. maandishi hayo ni ya wanadam

So atakayeshupaza mishipa ya shingo kwa alichokifanya Trump basi huyo hamjui Mungu anaemwabudu.. na infact Mungu atakuwa disapointed naye..
Umeandika kama msuruhishi tatizo lako huzijui dini zote tatu Uyahudi ukristo na Uislam na zinginezo.. za kale zaidi kama Buddhism.. ukisema Mungu hajaandika Kitabu kwa uyahudi na ukristo unakuwa umekosea.. sababu Musa aliambiwa aandike. And Amri kumi ziliandikwa na Mungu mwenyewe kwenye tablets za mawe.. for this unapingana.. even ufunuo Yohana. Yesu alifuatwa na Shetani akamuambia Imeandikwa umsujudie Mungu pekee.

Mungu kupiganiwa kwa Islam wao wameambiwa kwenye vita vya jihad pengine waliingizwa chaka..

Waisrael wanapokuwa katika hali ya hatari ya kuteketezwa Mungu wao anawalinda na kuwapa ushindi pale watakapomuomba.. na wakimuasi anawaacha..

Wengi hawaelewi au wanajitoa akili tu.. Trump Ametoa tu version au tafsiri ya Bible kosa hamna kama hajachange torati na Injil we all believed kuwa kuna maandiko hayajapatikana na kuna mengine yalikuwa rejected kuwepo kwenye Bible..
 
Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya Marekani na kuandikwa Mungu ibariki Marekani.

Ndani ya biblia hiyo Trump ameweka mistari ya katiba ya nchi yake yenye kuhimiza uzalendo.

Trump yayari ameanza kuiuza biblia hiyo kwa thamani ya dola za kimarekani 59.9

Pamoja vitu vipya hivyo vilivyoongezwa kama biblia zilizopita.Trump vile vile ameongeza na mistari ya nyimbo za mwanamuziki ampendae, Lee Greenwood ambaye ndiye aliyeimba Mungua ibariki Marekani.

The Christian reaction to Trump’s Bible endorsement goes deeper than you think

View attachment 2948097
HII LAANA ITAANZA NAE KWENYE UCHAGUZI ITAWAFTWA WANAE NA WAJUKUU XAKE....NA ALAANIWEEABADILISHAYE.MANENO YA BIBLIA
 
Tatizo wanadam mna mihemuko hivi unadhan Mungu anahitaj kupiganiwa.. yaan Mungu alieumba kila kiumbe kinachopumua eti atetewe na wanadam.. jua kuwa Mumgu wa kweli haitaji kutetewa. Na mtu.. yeye alitoa mwongozo kuwa tenda mema utapata thawabu zake.. kengeuka basi utahamia upande wa pili..

kama Mungu anaruhusu shetan ajaribu watu wake.. maana yake anaamini kwa
Maarifa aliyompa Mwandam ya kutambua mema na mabaya.. ni swala la mwanadam
Kuamua..

Mwishon kumbukeni Mungu hajaandika kitabu ila alitoa miongozo anataka watu waishi vip kupitia vinywa vya manabii wake.. nao wakaamu kuweka kumbukumbu kwa kuandika ili Vizaz vijavyo vijue neno la mungu ( ndo maana ya Injili).

Na uzuri Mungu kupitia vinywa vya manabii wake alishatoa angalizo kuwa kutaibuka
Manabii na miungu feki watakaofanya hata miujiza.. sembuse mtu kuandika kitabu ambacho wala Hakimhusu Mungu

Ucha Mungu wa kweli uko kwenye matendo na sio maandishi.. maandishi hayo ni ya wanadam

So atakayeshupaza mishipa ya shingo kwa alichokifanya Trump basi huyo hamjui Mungu anaemwabudu.. na infact Mungu atakuwa disapointed naye..
Ingalikuwa kweli neno la Mungu limechezewa musingekaa kimya
 
Umeandika kama msuruhishi tatizo lako huzijui dini zote tatu Uyahudi ukristo na Uislam na zinginezo.. za kale zaidi kama Buddhism.. ukisema Mungu hajaandika Kitabu kwa uyahudi na ukristo unakuwa umekosea.. sababu Musa aliambiwa aandike. And Amri kumi ziliandikwa na Mungu mwenyewe kwenye tablets za mawe.. for this unapingana.. even ufunuo Yohana. Yesu alifuatwa na Shetani akamuambia Imeandikwa umsujudie Mungu pekee.

Mungu kupiganiwa kwa Islam wao wameambiwa kwenye vita vya jihad pengine waliingizwa chaka..

Waisrael wanapokuwa katika hali ya hatari ya kuteketezwa Mungu wao anawalinda na kuwapa ushindi pale watakapomuomba.. na wakimuasi anawaacha..

Wengi hawaelewi au wanajitoa akili tu.. Trump Ametoa tu version au tafsiri ya Bible kosa hamna kama hajachange torati na Injil we all believed kuwa kuna maandiko hayajapatikana na kuna mengine yalikuwa rejected kuwepo kwenye Bible..

Mkuu hujanielewa.. Amri Kumi aliziandika Mungu kwenye Tablets.. hizo Amri kumi unaziona kwente biblia ni copy ya kutoka kilichoandikwa kwenye tablet.. ingekuwa tablet bado zipo ndio ungesema ni tablet takatifu... ila Amri za Mungu zilowekwa kwenye tablet na zikafundishwa kwa israel kupitia vinywa vya manabii..

Unatakakiwa akujua Neno la Mungu lilifundishwa kupitia vinywa na likawekwa kwa maandishi ili Kuweza kufikia watu wengi..
walioweka kwenye maandishi ni binadam kama wewe.. tumeshuhudia kuna makosa ya kiuandishi na kitafsir kwenye maandiko mbali hata kupelekea badhi ya vitabu kutolewa.. rejea historia ya ukatoliki na upentekoste..

Hii itakuonyesha kuwa binadam si mkamilifu na anaweza kufanya makosa kwa utashi wake au kwa kushindwa kuelewa hasa ukizingatia nitafsiri ya kutoka lugha moja kwenda nyingine

Point yangu ni kuwa huwez kuchukia mtu akitoa version ya bible ya kwake kwan Neno la Mungu na mafundisho yanaishi kwenye nafsi yako sio kwenye makaratasi.. kuna watu zaman walipewa injili na kumjua Mungu kwa mahubiri na sio kwa kusoma maana walikuwa hawajui kusoma na wakamjua Mungu (rejea wamishionari waliokuja kusambaza ukristo Africa)

Yesu aliwaagiza wanafunzi wasambaze Injili kwa watu wa mataifa na kuwabatixa watu.. wanafunzi wakaamua kutumia pia uandishi kifikia watu wengi.. ni Maarifa haya walipewa Biblia ni katiba ya mkristo.. lakini sio kuwa ndio utimilifu au kimbilio la Mkristo mfano sawa mtu aamua kutoa katiba yake ya TZ wakat wote tunajua katiba halisi..

Mwisho Mungu amesema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..
Maana yake ukiweka iman yako kwa vitu vyenye utashi wa kibinadam maaana yake hujamjua Mungu..

ili hali Neno la Mungu linatakiwa Liishi ndan mwako kwa
Msaada wa roho mtakatifu.. sio i
Uiweke iman kwenye kitabu..

Kwa kuongezea Biblia ni Agano la kale maana yake ni mafundisho ya Jinsi ya kuishi kwa kufata miongozo ya Mungu tunayojifubza kupitia MAKALA zinazoenyesha maisha ya Manabii wa Mungu na koo za Israel

Agano Jipya ni mfululizo wa Makala za maisha na yesu na mafundisho yake KWA WATU WOTE.. kuhusu kumjua Mungu na kufanya yampendezayo
 
Maneno yamechezewa huko nyuma na sasa wahuni wengine wanayafanyia mchezo
 
Back
Top Bottom