Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

WAtaalam wa mambo wanasema hyo ni njia yake aliobuni kupata hela kupitia kanisa.
Its a sort of money laundering kwakua chanzo hicho hakikaguliwi na IRS therefore anakusanya hizo hela kwa ajili yauchaguzi
 
Na utapeli wake amekua rais waarekani na ni bilionea sijui wewe mwenzetu ni nani?
Kwani matapeli hawawezi kuwa mabilionea au viongozi wakubwa??
Mbona wako wengi tu kama kina
Bernie Madoff
Juan Orlando Hernandez
Sen. Bob Menendez
Rod Blagojevich
Allen Stanford
Putin.
 
Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
Wakristo hawawezi kumlasni kama amefanya makosa atalaaniwa na mwenye neno lake ambaye ni Mungu.
Mungu hajawahi waagiza wakristo wampiganie, kwa hiyo usilazimishe yasiyokuwepo.
 
Kashauriwa na Mwaposa.
 
Nazungumzia biblia yenu ya neno la Mungu linaloeleweka Trump ametangaza kuweka mistari mipya na nyimbo, mbona Wakiristo hamuna hisia yoyote
Hatuwezi na tumekatazwa kuhukumu mtu yeyote, maana kufanya hivyo ni kumdharirisha Mungu muumbaji wa vyote na mwenye kuamua maisha ya kila mtu

Hukumu huwa tunamwachia yeye! Ya nini mtu kumwaga damu ya mtu ilihali yupo Mungu mwenye kuwaangamiza wote wenye kiburi na wafanyao kufuru?
 
Hivi unapotoa roho ya mtu na je siku hiyo ukiulizwa utajibu nini mbele ya Mungu?
 
Hamna shida nyie hata mkifanyia pornmovie...
Huo ni uamuzi wa mtu binafsi hauwahusu wakristo. Hata wewe unaruhusiwa kutengeneza tu kama ndo kazi yako wala wakristo hawatakupiga wala kukufanyia fujo. Fujo pekee utakayopata ni maombi ya kukuombea ili pepo mchafu atoke kichwani mwako.
Asante
 
Duuh aysee
 
Kwani matapeli hawawezi kuwa mabilionea au viongozi wakubwa??
Mbona wako wengi tu kama kina
Bernie Madoff
Juan Orlando Hernandez
Sen. Bob Menendez
Rod Blagojevich
Allen Stanford
Putin.
Hiyo ni kwa mujibu wa akili yako boss
 
Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?
Tulaani sisi ni nani? Yupo Mungu mhukumu wa wote, Trump hajasema ni lazima wakristo watumie ujinga wake alioandika, yeye katoa tu kitabu chake lakini wakristo tuna biblia yetu yenye neno moja la MUNGU
 
Wakristo hawawezi kumlasni kama amefanya makosa atalaaniwa na mwenye neno lake ambaye ni Mungu.
Mungu hajawahi waagiza wakristo wampiganie, kwa hiyo usilazimishe yasiyokuwepo.
Trump ni mkiristo pia kumbuka
 
Tulaani sisi ni nani? Yupo Mungu mhukumu wa wote, Trump hajasema ni lazima wakristo watumie ujinga wake alioandika, yeye katoa tu kitabu chake lakini wakristo tuna biblia yetu yenye neno moja la MUNGU
Trump ni mkiristo pia kama ulivyo wewe
 
Wakristo hawawezi kumlasni kama amefanya makosa atalaaniwa na mwenye neno lake ambaye ni Mungu.
Mungu hajawahi waagiza wakristo wampiganie, kwa hiyo usilazimishe yasiyokuwepo.
Trump ni mkiristo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…