Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utakoma. Bado hatujaelewa mkuu rudia...
 
Bora nihamie kwa Trump hawa wajasiriamali wa bongo kutiana umasikini tu.
 
Kama hakuchakachua mistari au Maandiko ya Biblia ila akaongeza Mambo yake sioni kama ni kosa! Hiyo ni Biblia yake.
 
Kama hakuchakachua mistari au Maandiko ya Biblia ila akaongeza Mambo yake sioni kama ni kosa! Hiyo ni Biblia yake.
Jamaa wamestushwa hawajui Mtume wao alikopy vitabu vya Bible na akathibitisha ni vya Mungu wake Allah
 
Ukiristo Dini ya duniani, uislam dini ya dunia na akhera. Hii sawa unafanya mtihani wa taifa halafu anakuja msimamizi kukupenyezea kibomu halafu wewe unacheka. Hujui ndio anaharibu future yako. Uislam hautaki atakee kiumbe anapotosha. Akitokea ndio hivyo tena aishi chooni
 
Umetoa wapi hii comedy story? Jibu: Obviously in Quran.

Mnausifia uislam and mkiambiwa muuelezee hamuwezi mnaishia kutoa uharo.. tupe aya moja ya uhakika haichekeshi kutoka kwenye Quran raia tuamini uislam upo seriously kama huna nyamaza acha kuongea pupu
 
Lakini mbona kitabu chenu kinachezewa namna hiyo, hatuoni umoja wa Wakiristo wakimpinga na kumlaani Trump kuchezea neno la Mungu biblia? tena yanafanyika hayo US ambako ni kitovu cha Ukiristo na icho kitabu kinauzwa $56.9, Kulikoni Wakiristo?


Tatizo wanadam mna mihemuko hivi unadhan Mungu anahitaj kupiganiwa.. yaan Mungu alieumba kila kiumbe kinachopumua eti atetewe na wanadam.. jua kuwa Mumgu wa kweli haitaji kutetewa. Na mtu.. yeye alitoa mwongozo kuwa tenda mema utapata thawabu zake.. kengeuka basi utahamia upande wa pili..

kama Mungu anaruhusu shetan ajaribu watu wake.. maana yake anaamini kwa
Maarifa aliyompa Mwandam ya kutambua mema na mabaya.. ni swala la mwanadam
Kuamua..

Mwishon kumbukeni Mungu hajaandika kitabu ila alitoa miongozo anataka watu waishi vip kupitia vinywa vya manabii wake.. nao wakaamu kuweka kumbukumbu kwa kuandika ili Vizaz vijavyo vijue neno la mungu ( ndo maana ya Injili).

Na uzuri Mungu kupitia vinywa vya manabii wake alishatoa angalizo kuwa kutaibuka
Manabii na miungu feki watakaofanya hata miujiza.. sembuse mtu kuandika kitabu ambacho wala Hakimhusu Mungu

Ucha Mungu wa kweli uko kwenye matendo na sio maandishi.. maandishi hayo ni ya wanadam

So atakayeshupaza mishipa ya shingo kwa alichokifanya Trump basi huyo hamjui Mungu anaemwabudu.. na infact Mungu atakuwa disapointed naye..
 
Popote mtakapokuwa yatawafika mauti na hata mkiwa katika ngome madhubuti.(Quran)

Swali. Vipi bibi yako au bibi wa bibi yako bado yupo hai? Wewe unaishi milele?
 
Popote mtakapokuwa yatawafika mauti na hata mkiwa katika ngome madhubuti.(Quran)

Swali. Vipi bibi yako au bibi wa bibi yako bado yupo hai? Wewe unaishi milele?
Kama hiyo aya 4:78 ndio Big bigger Biggest proof kuwa Islam ndio Dini ya Allah kuwa Kifo hakikwepeki tambua ni Kichekesho pia sababu Quran inasema Jesus bin Mariam hakufa Hahahahaha... Quran 4:157 na Aya hiyo ALLAH anasema alimbadilisha mtu mwingine asiye na kosa kuuwawa instead of Jesus so Allah ni Muhuni fulani huwezi fanya hivyo kwa asiye na hatia. Allah ni Mtenda Madhambi sinner Iblis alikuwa akimtizama live Allah akifanya kazi ya Iblis

Islamic ulikuja after Jews and Christians Katika Torah Enoch hakuonja kifo, Eliah(Ilyās) nae hakuonja kifo. God aliamua mwenyewe kuwanyakua sababu hawakufanya dhambi.

Hebu njoo na kichekesho kingine tucheke lete aya ambayo haina shaka tuelewe uislam upo makini tujifunze kwako musilam kindaki ndaki mtumwa wa Allah
 
Umeandika kama msuruhishi tatizo lako huzijui dini zote tatu Uyahudi ukristo na Uislam na zinginezo.. za kale zaidi kama Buddhism.. ukisema Mungu hajaandika Kitabu kwa uyahudi na ukristo unakuwa umekosea.. sababu Musa aliambiwa aandike. And Amri kumi ziliandikwa na Mungu mwenyewe kwenye tablets za mawe.. for this unapingana.. even ufunuo Yohana. Yesu alifuatwa na Shetani akamuambia Imeandikwa umsujudie Mungu pekee.

Mungu kupiganiwa kwa Islam wao wameambiwa kwenye vita vya jihad pengine waliingizwa chaka..

Waisrael wanapokuwa katika hali ya hatari ya kuteketezwa Mungu wao anawalinda na kuwapa ushindi pale watakapomuomba.. na wakimuasi anawaacha..

Wengi hawaelewi au wanajitoa akili tu.. Trump Ametoa tu version au tafsiri ya Bible kosa hamna kama hajachange torati na Injil we all believed kuwa kuna maandiko hayajapatikana na kuna mengine yalikuwa rejected kuwepo kwenye Bible..
 
HII LAANA ITAANZA NAE KWENYE UCHAGUZI ITAWAFTWA WANAE NA WAJUKUU XAKE....NA ALAANIWEEABADILISHAYE.MANENO YA BIBLIA
 
Ingalikuwa kweli neno la Mungu limechezewa musingekaa kimya
 


Mkuu hujanielewa.. Amri Kumi aliziandika Mungu kwenye Tablets.. hizo Amri kumi unaziona kwente biblia ni copy ya kutoka kilichoandikwa kwenye tablet.. ingekuwa tablet bado zipo ndio ungesema ni tablet takatifu... ila Amri za Mungu zilowekwa kwenye tablet na zikafundishwa kwa israel kupitia vinywa vya manabii..

Unatakakiwa akujua Neno la Mungu lilifundishwa kupitia vinywa na likawekwa kwa maandishi ili Kuweza kufikia watu wengi..
walioweka kwenye maandishi ni binadam kama wewe.. tumeshuhudia kuna makosa ya kiuandishi na kitafsir kwenye maandiko mbali hata kupelekea badhi ya vitabu kutolewa.. rejea historia ya ukatoliki na upentekoste..

Hii itakuonyesha kuwa binadam si mkamilifu na anaweza kufanya makosa kwa utashi wake au kwa kushindwa kuelewa hasa ukizingatia nitafsiri ya kutoka lugha moja kwenda nyingine

Point yangu ni kuwa huwez kuchukia mtu akitoa version ya bible ya kwake kwan Neno la Mungu na mafundisho yanaishi kwenye nafsi yako sio kwenye makaratasi.. kuna watu zaman walipewa injili na kumjua Mungu kwa mahubiri na sio kwa kusoma maana walikuwa hawajui kusoma na wakamjua Mungu (rejea wamishionari waliokuja kusambaza ukristo Africa)

Yesu aliwaagiza wanafunzi wasambaze Injili kwa watu wa mataifa na kuwabatixa watu.. wanafunzi wakaamua kutumia pia uandishi kifikia watu wengi.. ni Maarifa haya walipewa Biblia ni katiba ya mkristo.. lakini sio kuwa ndio utimilifu au kimbilio la Mkristo mfano sawa mtu aamua kutoa katiba yake ya TZ wakat wote tunajua katiba halisi..

Mwisho Mungu amesema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..
Maana yake ukiweka iman yako kwa vitu vyenye utashi wa kibinadam maaana yake hujamjua Mungu..

ili hali Neno la Mungu linatakiwa Liishi ndan mwako kwa
Msaada wa roho mtakatifu.. sio i
Uiweke iman kwenye kitabu..

Kwa kuongezea Biblia ni Agano la kale maana yake ni mafundisho ya Jinsi ya kuishi kwa kufata miongozo ya Mungu tunayojifubza kupitia MAKALA zinazoenyesha maisha ya Manabii wa Mungu na koo za Israel

Agano Jipya ni mfululizo wa Makala za maisha na yesu na mafundisho yake KWA WATU WOTE.. kuhusu kumjua Mungu na kufanya yampendezayo
 
Maneno yamechezewa huko nyuma na sasa wahuni wengine wanayafanyia mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…