usa kaveshwa kikuku a.k.a joka la kibisaKikubwa ni kwamba atoe tamko la kwamba zipigwe siyo apige lopolopo mdomo mdomo tu
Hatutaki maneno sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
gwajima yuko na manyaunyau watapata tiba mujarabu heheeeeheeWakikata yale maARV tu watu wataanza kudondoka kwa mdondo...
Yaani vita yoyote itayomuhusisha USA itahusisha na mataifa ya Ulaya yale yapo NATO
Iran kumbe wanatisha hivi...hii soft tune ya Trump sikuitegemea.!!!
====
Lakini nadhani watakuwa wanaplan more 'evil' dhid ya Iran. Iran must not be ease to this soft bait!
Sasa ndiyo utamuelewa rais wetu magufuli nia yake kutaka tujitegemee, mtikisiko kidogo tu kama hii,unaanza kutetemeka juu misaada, bado mnaponda jitihada za anko maguVita ya marekani inaathari kubwa mno kwa mataifa kama ya kwetu,,mzigo unatoka USAID ukate wote na mingine mingi hali itakuwaje,,ni jambo la kuhuzunisha lakini pia mamilioni ya watu kufarika na kukosa makazi sababu za vita n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia mkuu , baki tz kwa magu hapa amani teleWale wenye visa za kwenda middle East saiv tunakereka na hz habar ukizingatia tket zetu n zakwenda mwez huu
mawigi muongo sana hivi hizo kambi azina askari mpaka kusipatikane ata majeruhi nimecheka sana leo usa kaveshwa kikuku na iranWaoga? Kapiga military base baada ya mikwara yote ya Trump na kasema kuwa ni yeye bado unamuita muoga? Dah kwa kujipa moyo... US anajiepusha kuingia vitani ashajua kuwa Iran yuko tayari na si ajabu anajua kuwa kuna sababu inayompa kiburi Iran siyo kawaida sasa hapa anafanya damage control ya kuikimbia vita eti angeua hata askari mmoja?
US this time kapatikana allikuwa kazoea washika waaarab makalio sasa kakutana na Muajemi
Huyu Trump nisawa na Mbwa mwoga anaye bweka nakuonesha makali yake huko tweetani tu! Linapokuja suala la mapambano hata kati yake na Nyau Jeuri hurudi nyuma huku mkia akiuburuza chini kwa woga kisha kutoka mbio mabaya! Jasiri katika Marais wa Marekani niliye wahi shuhudia zama hivi ni George Bush tu. ambaye alikuwa anaamua kulianzisha varangati bila woga wala ruhusa ya hao wengine! Nadhani Bush Yeye alikuwa akiona NI BORA KUJUTIA KULIKO KUTIWA! hakuwa kama huyu Coward Trumpet.Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran.
Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira .
Tupeane updates
*****
UPDATE
Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump amebainisha hakuna Mwanajeshi yeyote wa Marekani aliyeuawa au kujeruhiwa na uharibifu kidogo tu ndio umetokea kwenye Kambi hizo
Aidha, amesema vikosi vya Kijeshi vya Marekani viko tayari kwa lolote ila hivi sasa Iran inaonekana kusitisha kutaka kulipa kisasi, ambapo ni kitu kizuri kwa pande zote zinazohusika na kizuri zaidi kwa Dunia nzima
Awali, akiaza hotuba yake amezungumzia Iran na silaha za nyuklia akisema “Kwa muda wote nitakaokuwa Rais wa Marekani, Iran haitaruhusiwa kuwa na silaha za nyuklia.”
Waache wajinga wajitape, hawamfahamu mmarekani,
Huwa anajifanya amesahau sasa litapigwa shambulizi Iran watabaki kulalamika, Marekana ana base kubwa sana kijeshi duniani, amewekeza sana kwenye silaha, atamtwanga tu maana hawezi kujionesha inferiority asije vutwa ndevu na vibonde
Bora wewe hata kitimoto kinapanda mwenzako hali taiti huko naskia hata maji anaomba alainishiwe
Mazee utamu wa vita usimame upande unaoshinda hili shati kubwa iran halimfit labda asubiri akue
Iran hata kombora la kuifikia tanzania hana, inamaana hata sisi tunaweza tukazicheza na tukamkalisha
Silaha za iran unazoziona wewe kama zakivita marekani anaziona kama zakutulizia ghasia mtaani yani kama maji ya upupu tu
nishakwambia kwamba ile laki 5 niliyoitunza baada ya kukosa wazo la biashara kwa muda mrefu nataka nikafungue biashara ya chips kule iran
Hapa anaye nikawiza ni mmarekani nasubiri arushe kombora mi nibebe viazi tu maana nyama ntaikuta kule kule
Ndio uoga wenyewe huo,tangaza vita mpigane face to face story za kuviziana zinafanywa na vikundi vya waasi na sio nchi inayojisema eti ina nguvu kubwa duniani.Kumbuka wenzetu hawana pupa, wanatengeneza timing ili wakishambulia wanaharibu nguvu na sehemu muhimu ambazo ni hatarishi kwao
kuna watu watatoboa kama vita itakuwepo pia kuna mataifa yatakua dona kantry kama vita itakuwepo pia kuna kuna sisi tunataka tu zipigwe kuleta heshima so inategemea upo kundi ganiNawasikitikia sana mnao shangilia vita yaani vita ianze mafuta lita iuzwe elfu 5
Halafu vita haijawai kuleta tija katika ulimwengu wa leo na jana.
kuianza ni simple ila kuimaliza ndio balaa.
Waache wajinga wajitape, hawamfahamu mmarekani,
Huwa anajifanya amesahau sasa litapigwa shambulizi Iran watabaki kulalamika, Marekana ana base kubwa sana kijeshi duniani, amewekeza sana kwenye silaha, atamtwanga tu maana hawezi kujionesha inferiority asije vutwa ndevu na vibonde
We utakua kichwa panzi c bure, unafikiri athali ya mafuta kwenye wamiliki Wa vyombo vya usafiri tu, hadi raia ya wakawaida anaathirikaMambo ndoo hayo zipigwe,halafu nashangaa watu wanasema eti mafuta yatapanda wakati hata pikipki hawana
Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN anathubutuje kutunisha msuli mbele ya mmarekani?
America ingekua na nguvu mdomoni basi isingem-attack kasimu, IRAN isingekua na mdomo ingelipisha na sio kupiga off target
Umeona na kusoma?View attachment 1316440View attachment 1316441
Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa akili ya kawaida kambi mbili zilipuliwe ikosekane hata majeruhi , yakwel hayo, yakuambiwa changanya na ya kwakoIrani nao waogo sana. Eti wemeuwa askali 80 wa marekani. Any way nimekumbuka. Kumdanganya kafiri ni suna
Nenda kapigane ww sasa , ili adhma yako itimieTrump kaniangusha sana aicee