Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Mission accomplished,
"By removing Soleimani, we have sent a powerful message to terrorists: If you value your own life, you will not threaten the lives of our people."
 
Wewe mjinga sana unataka kutuaminisha Rais wa mapinduzi ya Zanzibar ni dhaifu????
 
Hakun kitu hapo inasemekana Iran walitoa taarifa kuhusu shambulio mapema sana.

Hizo base zinamilikiwa na nchi nyingi, Iraq mwenywe, Uk, France, Poland lakin wote kwa nyakati tofauti wanasema hakun casualties manake mashambulizi yote ni OFF TARGET

Iran ni sehem y mpango wa trump kugombea awamu ya pili, Wanakuchezesh ngoma bila wew kujua. Pole
 
HAHAH kila mtu aamini anachoamini, mimi nimemuamini Iran we muamini US.
Iran siyo mtu mzuri kabisa
 
Unajifany mgumu kuelewa, kambi ni kubwa n sio yote imetapakaa watu, kuna maghara kun store kuna office, kwani yale mabum y mbagala yaliua wajeda?
 
HAHAH kila mtu aamini anachoamini, mimi nimemuamini Iran we muamini US.
Iran siyo mtu mzuri kabisa
Husismini bila proof, ungepata pich inaonesha mizoga ya wamerakani hapo sawa, ila hakuna tunaon pich y maghara yameharibiwa
 
Amna kitu alisema akiguswa cha moto ataona kamgusa na mabomu juu ya kambi yake unataka aguswe vipi!bado mademu zake wa Uk walikua wanataka kutokomea wakawashukia wakalishusha pipa Us bila msaada mwepesi tu.na anajua Iran ni mtu siejulikana kwa sasa maana yuko karibu au ndie alijenga ukaribu sana na wababe a.ak.a vichwa ngumu wengine China N.korea India Rusia.Us anakwenda anguka kwa muiran
 
Kwani target ya kulipiza kisasi baada ya kamanda wao kuuliwa ilikua ni nini?

Kutoka kwenye kichwa cha trump mpaka kulipua kambi ambayo hajachubuka hata mjeda mmoja we hujiulizi tu kua jamaa kasanda?

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…