Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Mzee wa modern beautiful equipment anaomba msaada NATO 😁


"Today I am going to ask NATO to become much more involved in the Middle East process," Mr. Trump said. NATO members assisted the U.S. in the war in Afghanistan after the September 11, 2001, terrorist attacks.
 
Ila we jamaa ulitakiwa uwe mc wa iran, huu ni uzi wako kama watano hivi unautoa kwa ajili ya kuwapuliza iran mpaka nyingine mods wameziunganisha

Ukweli ni kwamba wewe unaujasiri sana kuliko iran yenyewe ambayo umekua ukiisifia

ushawahi pigwa bonge la mbata na baunsa ambaye humuwezi kiubavu halafu ukapata hasira za kulipishia ila kengele ya hatari ukaiskia inagonga kichwani ukabaki kumsonya tu huku unakimbia?

Sasa hiyo ndio condition anayopitia iran, mwishowe atasema namuachia allah
 
Sasa Iran in ukubwa gani mpaka unaisifia kiasi hicho.
 
Jamani acheni kushabikia vita, ukizungumzia vita unazungumzia mauaji tena yakukusudia , na mara nyingi wananchi wakawaida ndo huwa waasirika namba moja, na kuasirika huko ni vifo .

Tuache hii roho ya kushabikia umwagaji damu, daima tuombee amani, jirani ako akiwa salama nawe utakuwa salama, asipokuwa salama maana ake nawe hauko salama.

Tupende kuombea amani zaidi.
 
Wamarekani wa manzese njooni muone baba yenu kaufyata mara hoo akidhubutu kurusha hata kokoto utakuwa mwisho wa wafuga ndevu na majini.
Hivi mnadhani vita ni lele mama eti?
Frenk wanjiru njoo utoe ufafa nuzi acha kujificha.
 
Off target wakati kambi zao zime nyooshwa [emoji2][emoji23][emoji1][emoji12][emoji14][emoji14]
Hahahahahahahahah OFF TARGET Hahahahahahahahah Aibu sana hakuna hata majeruhi.
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beira Baby Boy ukiandika andiko kama hili 2alau weka facts mbili tatu. Japo naunga mkono hoja lakini hujaandika kwa hoja umeandika kwa mihemko alafu mambo haya hayatakagi mihemko.
 

Alivyoipiga Iraq, Libya alikua haangalii ndoto za hao vijana? Marekani naona hapa kapima tu upepo
 
Kwahio IRAQ Hakujua Kama Vijana Wana Ndoto AFGHANISTAN LIBYA US = PAPEE TIGER ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Kumuua Akaleta huu ujinga wakusema hv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
Hakuna kitu,Trump kashaua yule kamanda wao kafanikisha lengo lake.
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…