Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Sasa mbona mnataka vita hapa Tanzania?Nawasikitikia sana mnao shangilia vita yaani vita ianze mafuta lita iuzwe elfu 5
Halafu vita haijawai kuleta amani katika ulimwengu wa leo.
kuianza ni simple ila kuimaliza ndio balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app