America inabidi itiwe adabu...Jamani acheni kushabikia vita, ukizungumzia vita unazungumzia mauaji tena yakukusudia , na mara nyingi wananchi wakawaida ndo huwa waasirika namba moja, na kuasirika huko ni vifo .
Tuache hii roho ya kushabikia umwagaji damu, daima tuombee amani, jirani ako akiwa salama nawe utakuwa salama, asipokuwa salama maana ake nawe hauko salama.
Tupende kuombea amani zaidi.
IRAN Haijawahi Kulala Wala Kuzubaa Linapokuja Suala Lake Lakulinda Nchi Yake Nandio Maana Mwaka Jana Akakipiga Kile KIDRONE chenu Mlichotudanganya Na Hakionekani Mwaka 2011 Akazipapasa Zile DRONE NneNna hakika hii ni mbinu ya kivita,marekani wameamua kumzubaisha Iran ili wajipange vizuri akifanya ujinga tu anafutwa kwenye ramani ya Dunia....
Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN Hawajawahi Na Wala Hawana Mipango Na Nyuklia Weapons [emoji12][emoji12][emoji14]Trump: "As long as I am president of the United States, Iran will never be allowed to have a nuclear weapon"
NUKTA.Alivyoipiga Iraq, Libya alikua haangalii ndoto za hao vijana? Marekani naona hapa kapima tu upepo
Iran alishafanya shambulizi la anga kwa kuzilenga hizo military basement ni sawa.Off target wakati kambi zao zime nyooshwa [emoji2][emoji23][emoji1][emoji12][emoji14][emoji14]The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!
Sent using Jamii Forums mobile app
US sio Tz mkuu,national interests kwanza itikadi za kisiasa baadaeHiyo ilikua vita ya iran na Trump and not against US. So maybe Trump kashindwa na si US.
Kama angekuwa na technology Bora zile ballistic missile zisinge ingia katika base zake pale Iraq Sasa anaogopa inawezekana jamaa wakapiga washghton dc na New YorkBaada ya Kumuua Akaleta huu ujinga wakusema hv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran ni nchi kubwa sana na inaogopeka dunia nzimaSasa Iran in ukubwa gani mpaka unaisifia kiasi hicho.
Kasema hakuna madhara makubwa,no dead body ya mwanajeshi wa marekani.Kumbe hizo military base Marekani allikuwa kaziweka kama mapambo hazikuwa na wanajeshi wala na mitambo ya maana? Yes alikuwa muhimu kauawa na wakatishia wakijibu watakiona sasa vipi mzee hivi baada ya majibu Trump kasemaje vile?
Anaongea tu. Iran silaha za Nuclear wanazo sana.Trump: "As long as I am president of the United States, Iran will never be allowed to have a nuclear weapon"
We kweli ni mtu mkubwa lakini akili huna!Mambo ndoo hayo zipigwe,halafu nashangaa watu wanasema eti mafuta yatapanda wakati hata pikipki hawana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongea tu. Iran silaha za Nuclear wanazo sana.
Inawezekana Vp Kambi Yajeshi Ipigwe Halafu Asife Ama Kujeruhiwa Hata Mfanyakazi Mmoja Tuu ?!Iran alishafanya shambulizi la anga kwa kuzilenga hizo military basement ni sawa.
.
Swali alijuaje kaua wanajeshi 80 na kujeruhi 200?
America kasema hakuna aliyeuwa kwani wanajeshi walikuwa aware na chochote.
Jibu swali langu
Mkuu Hilo Ni zao la shule za kata , hii nchi imekumbwa na zigo la vijana wenye akili ndogo Sana.Na mshangaa huyo kijana
Unajua toka asubuhi anashadadia hii vita as if yaani
Africans tuna shida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwege US Anapiga Watoto Kila Day Leo Kakumbana Nakiburi Mwenzie ...Kama angekuwa na technology Bora zile ballistic missile zisinge ingia katika base zake pale Iraq Sasa anaogopa inawezekana jamaa wakapiga washghton dc na New York
Sent using Jamii Forums mobile app