Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Jamani acheni kushabikia vita, ukizungumzia vita unazungumzia mauaji tena yakukusudia , na mara nyingi wananchi wakawaida ndo huwa waasirika namba moja, na kuasirika huko ni vifo .

Tuache hii roho ya kushabikia umwagaji damu, daima tuombee amani, jirani ako akiwa salama nawe utakuwa salama, asipokuwa salama maana ake nawe hauko salama.

Tupende kuombea amani zaidi.
America inabidi itiwe adabu...

Wauaji wakubwa.
 
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna hakika hii ni mbinu ya kivita,marekani wameamua kumzubaisha Iran ili wajipange vizuri akifanya ujinga tu anafutwa kwenye ramani ya Dunia....

Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN Haijawahi Kulala Wala Kuzubaa Linapokuja Suala Lake Lakulinda Nchi Yake Nandio Maana Mwaka Jana Akakipiga Kile KIDRONE chenu Mlichotudanganya Na Hakionekani Mwaka 2011 Akazipapasa Zile DRONE Nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Off target wakati kambi zao zime nyooshwa [emoji2][emoji23][emoji1][emoji12][emoji14][emoji14]The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran alishafanya shambulizi la anga kwa kuzilenga hizo military basement ni sawa.
.
Swali alijuaje kaua wanajeshi 80 na kujeruhi 200?
America kasema hakuna aliyeuwa kwani wanajeshi walikuwa aware na chochote.
Jibu swali langu
 
Hiyo ilikua vita ya iran na Trump and not against US. So maybe Trump kashindwa na si US.
US sio Tz mkuu,national interests kwanza itikadi za kisiasa baadae
Screenshot_2020-01-08-04-18-30.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Kumuua Akaleta huu ujinga wakusema hv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama angekuwa na technology Bora zile ballistic missile zisinge ingia katika base zake pale Iraq Sasa anaogopa inawezekana jamaa wakapiga washghton dc na New York

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hizo military base Marekani allikuwa kaziweka kama mapambo hazikuwa na wanajeshi wala na mitambo ya maana? Yes alikuwa muhimu kauawa na wakatishia wakijibu watakiona sasa vipi mzee hivi baada ya majibu Trump kasemaje vile?
Kasema hakuna madhara makubwa,no dead body ya mwanajeshi wa marekani.
 
For sure nimefanya kazi nying zinazohusiana na utalii,,
Kufanya kazi na watu kutoka USA, Canada pamoja na UK ni faraja kubwa na ni watu Wa tofauti sana na watu wanaofanya utalii watanielewa vzr zaid

Trump alivyoanza pia kuwapiga vikwazo wachina na baadhi ya nchi za ulaya zinazoinyonya marekani nilitokea sana kumkubali.....

Lakini hii siasa yake ya kuropoka, ya kutishia na kuapa kuchukua hatua kwa kila kitu naona ikiwagharimu sana taifa strong LA America!!

Sishadadii vita lakini kwa hizi kauli za trump za ajabu, america imeonekana nchi kigeugeu n.k

Nilivyoona Leo press ya trump kwamba hamna mmarekan aliyeuwa kwahiyo hamna vita imeonyesha sana udhaifu kwa taifa strong kuliko yote ulimwenguni
Wamarekani wamtupilie mbali bwana trump hafai hafai kuwa rais Wa USA !!
Goodbless United state of American
 
Hata yangerushwa maji yangelowesha mazingira; sembuse makombora!
 
Iran alishafanya shambulizi la anga kwa kuzilenga hizo military basement ni sawa.
.
Swali alijuaje kaua wanajeshi 80 na kujeruhi 200?
America kasema hakuna aliyeuwa kwani wanajeshi walikuwa aware na chochote.
Jibu swali langu
Inawezekana Vp Kambi Yajeshi Ipigwe Halafu Asife Ama Kujeruhiwa Hata Mfanyakazi Mmoja Tuu ?!

Maswali Yangu Hapa CHINI

Na Kwakiasi gani US Kambi Zao Haziaminiki Mpaka Balkistic Zika Penya Ndani.

US Inamaana wamekubali kwamba Hawawez Pambana Na IRAN ?!

Kama Hoja Yake Yakimsingi Ni FUTURE ya IRAN Katika Nchi Nyengne Hakujua Kama Kuna Vijana

Na wakati anasema kama IRAN Wakigusa Hata Kambi Yao Atajibu Alikua Namaana Gani ?!



US = PAPER TIGER.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom