Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Na hapa ndo Trump aliposahau,"if Iran attacks an American Base,will be sending some of that brand new beautiful equipment their way" mwisho wa kunukuu,Iran kapiga base,Trump anasema ooho bahati yake hajafa mmarekani yoyote
 
Moderator wengi ni team USA hivyo wanafuta sana nyuzi za team Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ELIMU
ELIMU
ELIMU
nakuita mara tatu mbona hutusikii sisi watanzania.Kila siku umetutenga.Halafu unakuta mtu kama huyo ni mtu na wadhifa wake kwenye taasisi fulani lakin vitu vidogo tu vinampiga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hehehe trump ni kunguru 😀😛
 
 
Tuseme tu ule ukweli,Muajem akisema huwa hatanii,haijalishi nini kitafuata baada ya kutekeleza kile alichosema. Hakuna nchi yoyote duniani kwa miongo ya sasa imewahi kuthubutu hata kuharibu sisimizi anaemilikiwa na US,hakuna. Jamaa wana uthubutu usiomithilika. Kwanza wameonesha wana silaha zinazoweza kupenya defence systems. Kama kambi mbili zimeweza kupigwa na makombora,basi jamaa wako vizuri sana. Halafu nafikiri vile vikwazo vina advantage kwao,kwani hawabweteki. Nadhan wanajitahidi kuwekeza kwenye R&D ili kuendana na wakati(Technology)
Ni uthubutu mkubwa ambao wachache wanaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAADHI YA SENTENSI MUHIMU ZA TRUMP MUDA MFUPI ULIOPITA KUHUSU MZOZO WA US NA IRAN

"Madhara tuliyoyapata baada ya uvamizi ni kidogo na hakuna askari au mmarekani aliyeumia au kufariki''

"Kwakuwa mimi ndiye Rais wa Marekani, Iran hataruhusiwa kuzalisha silaha za Nyuklia''

''Tutaipiga iran na Vikwazo vya kiuchumi kufuatia kushambuliwa kwa kambi za Marekani na vikwazo hivi vitadumu hadi pale Iran itakapobadilisha tabia zake''

''Vikosi vyetu vinajiandaa kwa lolote''

"Kwa sasa Iran inaonekana haina nguvu tena na hii ni muhimu kwa wamarekani na duniani ili kudumisha usalama''

''Kwa watu wa Iran na viongozi wake tunaomba muwe watu wema na wa kuifanya dunia kuwa sehemu salama na sisi tunawatakia maisha mema katika nchi yenu''

''Marekani iko tayari kuhakikisha amani inatawala duniani na atakayekuwa tayari''

Kauli zake hizi zinaonesha ataanzisha mazungmzo na Iran muda siyo mrefu na sidhani kama ana mpango na Vita. Sentensi ya mwisho imekaa kidiplomasia sana na imetoa mwanya wa mazungumzo kwa mzozo wa Marekani na Iran

Rais Trump amemaliza kuzungumza na vyombo vya habari muda mfupi uliopita, Ikulu ya White House Marekani. Picha na Shirika la habari la AFP
 
Acha uzembe wa kufikiri.Hivi unataka Marekani ashikwe makalio kama wakati wa Obama.Americans should be respected wherever they are.Hii mbinu ndio mbinubya kuwaweka juu.Ukiwa mtu wa amani sana kuna watu(Iran) wanakukojolea kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ukweli ambao Pro US wanaujua lakini wanaona uchungu kuukubari. Yani wanaumia sana hawakutegeme kuwa Muajemi anaweza mtikisa mzee wa fire and furry
 
Lengo lao lilkua kuzipiga kambi nawamefanikiwa kwa 100% Kama Wangekua Off Target Leo Hii Trumpet Asingefanya Press... The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ELIMU
ELIMU
ELIMU
nakuita mara tatu mbona hutusikii sisi watanzania.Kila siku umetutenga.Halafu unakuta mtu kama huyo ni mtu na wadhifa wake kwenye taasisi fulani lakin vitu vidogo tu vinampiga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu mkuu huwa nasikitika sana ndio maana wanasiasa wanatupelekesha maana sisi wenyewe tumeshindwa kujipelekesha ... Hatuwezi kuudai Uhuru wa wanasiasa wakati sisi wenyewe hatuko huru ... Bado tuko kwenye vifungo vya ujinga , upuuzi , uzwazwa...

Hizi Ni karata kwa wanasiasa kutupelekesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina nguvu tena wakati katoka kufanya kitu ambacho hakijawahi fanywa na nchi yoyote kwa kushambulia kambi za US halafu akawambia ni mimi? Funny
Vikwazo vya kiuchumi havijaanza leo na Iran bado ipo na inazidi kuwa na nguvu.
Bwana Trump amepewa majibu ambayo hakuyategemea, yani wazee hawakusubiri hata week ipite hata kabla hajamaliza vizuri piga mkwara nukes hizo boom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…