Press release ilikuwa halisi,Seema wamarekani wanajaribu kuwaconfuse Iraq,,hata hivyo command centre ya coalition force inayoongozwa na marekani nchini irag imehamishiw Kuwait kwa mdaMarekani kaongeza vikosi wew unakuja na press releases za Msigwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Actually wanatoka irag,hasaa green zone ,,unajua kuwa Askari wa marekani Sasa huko Iraq hawana Uhuru was kumove arround?.
Mkuu sio seven days war ni six days war rekebisha hapoShida sio vifaa au una majeshi kiasi shida uwezo/akili! Kama USA anajiamini kwanini hajamvamia mpaka leo? Unajua Israeli kazungukwa na maadui wangapi? unakumbuka seven days war? mwache trump aendelee kuhaha twitter, kaa mkao wa kunyolewa!
Yes marekani wametoa barua kusudi ili kupima reaction,Kisha wakaikanusha kuwa ilikuwa ni draft letter tu,imevuja kimakosa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwan IRAN Kajiapiza Nn Mkuu ?!
Ila Kuhusiana Na Swala Lakisasi Lazma Kilipwe Ila Hakitalipwa Kama Unavyotaka Ama Kukusudia Wewe
Maana najua wewe unataka IRAN Ashambulie Eidha Kambi Yakijeshi Moja Wapo Ya US Hapo Mashariki Yakati Ama Ashambulie Pengine Carrier Yake
Ila Kisasi Kitalipwa Katika Njia Ambayo C Wewe Mimi Wala US Wenye Wametarajia Ila Watalipwaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia ile video jamaa walivyotunguliwa magari kama 12 au 15 yameharibiwa na kila abiria aliuliwa vibayaHahahaha unataka Iran apewe sababu gani sasa ya kuingia vitani , watu wamemuua general kabisa mwenye ushawishi mkubwa tena bila sababu ya msingi, wamevunja sheria za kimataifa na kuwagusa pabaya na tena wakajitangaza na kujitapa kuwa wao ndio wamemuua sasa unataka nini tena ili uingie vitani kama anajiweza apige hata us base moja wapo happy middle East tuone mtanange wa mtu anavyochakazwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kama unajisahaulisha hawajahama wapo palepale, mkuu wa brigade alitaka kuhama Order ikatoka hakuna kuhama. So wapo na saivi B52 4 nne zimeenda kuongeza nguvu Mi.eastPress release ilikuwa halisi,Seema wamarekani wanajaribu kuwaconfuse Iraq,,hata hivyo command centre ya coalition force inayoongozwa na marekani nchini irag imehamishiw Kuwait kwa mda
We unaongea habari ya Jana,mi naongea habari ya dakika mbili zilizopita hatuwezi kuwa same pageKama unajisahaulisha hawajahama wapo palepale, mkuu wa brigade alitaka kuhama Order ikatoka hakuna kuhama. So wapo na saivi B52 4 nne zimeenda kuongeza nguvu Mi.east
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We unaongea habari ya Jana,mi naongea habari ya dakika mbili zilizopita hatuwezi kuwa same page
Mh,hiyo ni Jana usiku huo huo,Ni kwamba Hawa jamaa wanaona aibu kuondoka Iraq sababu Iran wataonekana wameshinda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAREKANI YAKANUSHA TAARIFA ZA KUONDOA MAJESHI YAKE IRAQ
Waziri wa ulinzi wa Marekani, Mark Esper amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq, baada ya barua kutoka kwa jenerali wa Marekani kupendekeza waondoke.
Barua ilisema kuwa Marekani itaondoa vikosi vya majeshi yake siku zijazo au wiki baada ya wabunge wa Iraq kuwataka waondoke.
Bwana Esper alisema kuwa hakuna maamuzi yeyote ya kuondoka ambayo yaliondolewa.Mkanganyiko huu wa vitisho ulikuja mara baada ya jeshi la Marekani kumuua kamanda wa jeshi wa Iran Qasem Soleimani.
Jenerali Soleimani aliuawa katika mapambano ya anga huko Baghdad siku ya ijumaa baada ya rais Trump kuamuru wafanye hivyo.
***************
Ya leo hio na inatrend kila media imezungumzwa na waziri wa ulinzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba hiyo video bossUkiangalia ile video jamaa walivyotunguliwa magari kama 12 au 15 yameharibiwa na kila abiria aliuliwa vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hatariMarekani kaongeza vikosi wew unakuja na press releases za Msigwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani kikosi kina watu 100 wanabeba mizigo na kusepa???Mh,hiyo ni Jana usiku huo huo,Ni kwamba Hawa jamaa wanaona aibu kuondoka Iraq sababu Iran wataonekana wameshinda.
Wanachofanya Sasa wanatoa Askari wao Iraq,sehemu ambazo wanahisi wanaweza kushambulia,wao wanaita repositioning
Iraq yote Askari wa marekani hawafiki 10,000 Kama hufahamu,Hivi unadhani kikosi kina watu 100 wanabeba mizigo na kusepa???
Hukumsikia Trump kwamba wametumia hela nyingi sana kukijenga, wapo wapo saaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba link ya US akiondoka IraqIraq yote Askari wa marekani hawafiki 10,000 Kama hufahamu,
Middle East yote hawafiki 100,000