Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

Marekani kaongeza vikosi wew unakuja na press releases za Msigwa? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Press release ilikuwa halisi,Seema wamarekani wanajaribu kuwaconfuse Iraq,,hata hivyo command centre ya coalition force inayoongozwa na marekani nchini irag imehamishiw Kuwait kwa mda
 
Shida sio vifaa au una majeshi kiasi shida uwezo/akili! Kama USA anajiamini kwanini hajamvamia mpaka leo? Unajua Israeli kazungukwa na maadui wangapi? unakumbuka seven days war? mwache trump aendelee kuhaha twitter, kaa mkao wa kunyolewa!
Mkuu sio seven days war ni six days war rekebisha hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So watalipa kisasi kidiplomasia zaidi, au wataenda Israel [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwan IRAN Kajiapiza Nn Mkuu ?!

Ila Kuhusiana Na Swala Lakisasi Lazma Kilipwe Ila Hakitalipwa Kama Unavyotaka Ama Kukusudia Wewe

Maana najua wewe unataka IRAN Ashambulie Eidha Kambi Yakijeshi Moja Wapo Ya US Hapo Mashariki Yakati Ama Ashambulie Pengine Carrier Yake

Ila Kisasi Kitalipwa Katika Njia Ambayo C Wewe Mimi Wala US Wenye Wametarajia Ila Watalipwaa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha unataka Iran apewe sababu gani sasa ya kuingia vitani , watu wamemuua general kabisa mwenye ushawishi mkubwa tena bila sababu ya msingi, wamevunja sheria za kimataifa na kuwagusa pabaya na tena wakajitangaza na kujitapa kuwa wao ndio wamemuua sasa unataka nini tena ili uingie vitani kama anajiweza apige hata us base moja wapo happy middle East tuone mtanange wa mtu anavyochakazwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ukiangalia ile video jamaa walivyotunguliwa magari kama 12 au 15 yameharibiwa na kila abiria aliuliwa vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Press release ilikuwa halisi,Seema wamarekani wanajaribu kuwaconfuse Iraq,,hata hivyo command centre ya coalition force inayoongozwa na marekani nchini irag imehamishiw Kuwait kwa mda
Kama unajisahaulisha hawajahama wapo palepale, mkuu wa brigade alitaka kuhama Order ikatoka hakuna kuhama. So wapo na saivi B52 4 nne zimeenda kuongeza nguvu Mi.east

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unaongea habari ya Jana,mi naongea habari ya dakika mbili zilizopita hatuwezi kuwa same page
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

MAREKANI YAKANUSHA TAARIFA ZA KUONDOA MAJESHI YAKE IRAQ

Waziri wa ulinzi wa Marekani, Mark Esper amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq, baada ya barua kutoka kwa jenerali wa Marekani kupendekeza waondoke.

Barua ilisema kuwa Marekani itaondoa vikosi vya majeshi yake siku zijazo au wiki baada ya wabunge wa Iraq kuwataka waondoke.

Bwana Esper alisema kuwa hakuna maamuzi yeyote ya kuondoka ambayo yaliondolewa.Mkanganyiko huu wa vitisho ulikuja mara baada ya jeshi la Marekani kumuua kamanda wa jeshi wa Iran Qasem Soleimani.

Jenerali Soleimani aliuawa katika mapambano ya anga huko Baghdad siku ya ijumaa baada ya rais Trump kuamuru wafanye hivyo.
***************

Ya leo hio na inatrend kila media imezungumzwa na waziri wa ulinzi

Mh,hiyo ni Jana usiku huo huo,Ni kwamba Hawa jamaa wanaona aibu kuondoka Iraq sababu Iran wataonekana wameshinda.
Wanachofanya Sasa wanatoa Askari wao Iraq,sehemu ambazo wanahisi wanaweza kushambulia,wao wanaita repositioning
 
Screenshot_20200107-182408.png
 
Ha ha mimi ukishaniambia tuu unajua mimi nani ama nitakuonyesha najua hapa hamna kitu, nakufumua vizuri unionyeshe mikwara ya trump inaishia pale kwenye kupiga generali, zaidi ya hapo ni nchi inaamua na kwanza mpaka sasa inabidi aje na majibu na alikuwa quoted na war crimes speeches
 
Mh,hiyo ni Jana usiku huo huo,Ni kwamba Hawa jamaa wanaona aibu kuondoka Iraq sababu Iran wataonekana wameshinda.
Wanachofanya Sasa wanatoa Askari wao Iraq,sehemu ambazo wanahisi wanaweza kushambulia,wao wanaita repositioning
Hivi unadhani kikosi kina watu 100 wanabeba mizigo na kusepa???

Hukumsikia Trump kwamba wametumia hela nyingi sana kukijenga, wapo wapo saaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US haeleweki kama sigara kali,kama walikuwa wanajua hawana silaha za Nuclear sasa kwa nini wamewawekea vikwazo.
 
Back
Top Bottom