China akaienda hapo vipi Trump ana watu wake Kiduku akienda hapo hawezi mwambia chochoteNimemwones huruma aisee.
Sioni kabisa haja ya marais kwenda kumwona mtu kama Trump hapo ofisini kwake.
Hata waziri mkuu wa Canada alipoenda naye aliishia kuwa mdogo tu.
Marekani sasa hivi anaitaji China sanaSio kwa China na Russia.
Hawezi kumuita raisi au kiongozi yeyote mkubwa wa China au Russia akamfanyia huo utoto wake
By the way yeye ndiye anajikomba kwenda China halafu wala hawana mpango wa kumkaribisha
View: https://x.com/business/status/1923572723290128385?t=3ZdxuoVY2p0Lq-Qj21i_8w&s=19
Trump au Marekani ni kwenda nao kibabe kama China na Russia zinavyofanya
Hukumbuki hata mfalme wa Jordan naye alikwenda na kuweka mikono nyuma kama aliyepata baridi.Viongozi wa Afrika hamkutakiwa kwenda Marekani kujipendekeza, nchi kama za Afrika zina kila aina ya utajiri, ila wanashindwa kufikiria ni watumiaje huo utajiri !
Marekani sasa hivi anaitaji China sana
Au sio Ed sheran wa IgulusiWe umenufaika na nini bwana mzilankende wa texas
Wa heru juu sio wa igulusi.Au sio Ed sheran wa Igulusi
Kwakweli ni Trump ana dharau. Kwanza anawaita wenzake jina moja moja mfano Zelensky, lakini president Ramaphosa yeye anasema President Trump, unyenyekevu muda wote. Kwanini Ramaphosa asimuite Trump tu.
Samia Suluhu Hassan aende kwa Donald Trump...??Kwenda kumwona Trump White House ni hapana aisee.
Hatabiriki huyo na hafuati protokali.
Sidhani kama Samia ataigusa White House Trump akiwa Rais.