Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.

In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.

The president's full post reads:
Watakuja kukwambia chanzo cha taarifa hii ni "Trust me even it's just a lying"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Sasa hivi zimepita saa 24 tangu Iran iliporusha makombora ya mwisho kuelekea Israel.

Tangu wakati huo, kumekuwa na tahadhari za mara kwa mara za UAV (ndege zisizo na rubani), lakini si za kiwango kikubwa. Wakati huo huo, Israel inaendelea kushambulia maeneo mbalimbali ndani ya Iran.
Mmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.
 
Tusubiri majibu ya mpambe wake Russia, maana kobazi wanaamini katika maneno .
Mkuu Russia na USA ukiwaangalia kwenye jicho la akili kubwa utagundua ni kitu kimoja. Angalia trump alipomlazimisha rais wa Ukraine kukubalia na matakwa ya Russia baada ya trump kuzungumza na Putin. Toka vita imeanza ulisikia Putin anailaani Israel iwe kwa Irani Syria Lebanon au gaza?. Wazungu wanacheza michezo ya akili public Kama Wana mizozo na kutokuekewana kwa Siri wanagonga cheazi na glass za mvinyo.
 
Madogo wateule Wenyewe hawajali
Screenshot_2025-06-22-03-32-39-33_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Back
Top Bottom