israel alishakusanya tarifa muda mrefu na akajua apige wapi na wapi, na pia akapanga strategy za kufifisha nguvu ya adui kwa kushambulia mifumo yake ya ulinzi. iran alijizatiti kwa vitu viwili tuu..mifumo ya ulinzi na makombora, mifumo ya ulinzi israel ameidhibiti angalau..ila kwenye makombora badoMmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.