Hili ni kweli kuwa wameshambulia hivyo vinu?Uchokozi tu!
Hili ni kweli kuwa wameshambulia hivyo vinu?Uchokozi tu!
Unawatia hasira COBAZ wetu mkuu, hebu wape nafasi ya kunywa maji
Pakistan, Russia, Korea ya Kaskazini, China wanaunga mkono siasa za Marekani? Lini umewasikia hao wanagawa silaha hovyo kwa makundi ya maadui hata kufanya ugaidi? Iran ni kichaa anaependa ugomvi na wengine, as we speak ana ugomvi na Saudi Arabia hata wamewahi kurushiana mabomu na hiyo direct vita against them, again kawatumia pia Houthis kushambulia Saudia na kuzuia hata mizigo kutoka Ulaya na kuja huku; sijui unafanya shughuli gani for a leaving but hapa kwetu tu mwaka juzi, wapo wafanyabiashara walilalamikia usumbufu wa meli from Europe to our country, this includes hata bwana Chris Lukosi yule mzee wa madungu why? Houthis walikua wakizuia meli from Europe via Suez canal; nani financer wa huo upuuzi? Iran. Sasa mwehu kama huyu nae wa kumruhusu kumiliki silaha za namna hiyo?; sitaki kabisa kuhusisha uhusiano wake na Israel cause hili lita trigger issues za kiimani which I don't want to discuss on this thread.Kwa nini baadhi ya nchi tu ndio wasiruhusiwe kuwa nazo? Kutounga mkono au kuwa kinyume na siasa za marekani ndio kuwa adui na kutoruhusiwa kuzimiliki. Hii ni sawa na siasa za Tanzania kati ya watawala na wapinzani au ni sawa na tajiri siku zote hataki masikini nae apate.
Si unaona mzigo huo 😅😅Unyama 😂
Haaahaa 😆 ☺️Walimfungulia Ayyatollah hii milango
Pepon hakuna vibamia, Allah hawezi kufanya hilo kosa kwa waja wake magaidiSi unaona mzigo huo 😅😅
Sasa hiyo 72 shekheeee na bolo kubwa kama la punda maana Kuna vibamia peponi shekheeee
View: https://www.instagram.com/reel/DLML3dkRbRB/?igsh=MWZhcWtwNjdxNG5paA==
US ni hatari sanaaaa, angalia Fordow ilivyofanywa
Hapana hawajashambulia, wanadanganya 😂Hili ni kweli kuwa wameshambulia hivyo vinu?
Mwisho wake unajulikana toka maelfu ya miaka nao ni huu Israel itashinda.Huu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje
Wote mama punda au tembo 🤣🤣 mabikraa ni kuchanwaaa tuPepon hakuna vibamia, Allah hawezi kufanya hilo kosa kwa waja wake magaidi
Ndo mana yule mama mtangazaji akaamua kukimbia, hataki kwenda kupanuliwa K huko 🙌Wote mama punda au tembo 🤣🤣 mabikraa ni kuchanwaaa tu
Mbingu ya jamaa itakuwa ni kiwanda Cha kutiana tu 😅😅🎓Ndo mana yule mama mtangazaji akaamua kukimbia, hataki kwenda kupanuliwa K huko 🙌
Pepon itakuwa inanuka genye tuu 😂Mbingu ya jamaa itakuwa ni kiwanda Cha kutiana tu 😅😅🎓
Mbabe kashafanya yakeBila ubabe hiyo vita haitaisha
Kwanini umehusisha dini kwenye hu mgogoro? Ukristo na Uislam au hata Judaism inaingiaje hapa? I think ndio tatizo la wengi kuhusisha middle east crisis with religious issues. Iran anaizidi Uislamu Saudia ambao ndio wenye Uislamu wao? Waarabu ndio wenye Uislamu wao, Iran sio mwarabu, then why iwe Iran na sio other Arabic countries such as Saudia, Kuwait, Oman etc?Mimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.
Nimekupata mkuuDanganya toto kivipi?? Trump alisema "Within two weeks" na siyo "after two weeks" sasa kilichofanyika usiku huu kiko "within two weeks"