Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,335
- 2,899
Hayo ni mambo ya mashirikiano.Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣
Hayo ni mambo ya mashirikiano.Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣
Unaelewa vikwazo alivyowekewa huyo muajemi mkuu? Israel bila USA ni tambara bovu tu.Duh kwan mara ngapi Israel anawapasua hao waajemi bila msaada wa USA, em fuatilia utaelewa
Na unapewa miguvu ya extra mzee 😅😅Imagine hv vyomba vinakusubiri 🔥
Mimi nafatilia habari sijitolei kichwani hizo Nuclear facilities anajua zipo wapi afu kwa tarifa yako Iran anasema Fordow Nuclear imepata damaged kidogo sana sio kama wanavyo dai USA na Israel.
Sa swali hi vita si israel alijifanya chui vipi yeye Trump aingilie hahaha
View: https://youtu.be/4TAIwfS5mGA?si=Y34X0ye6k-RH6teJ
Ah ngoja sisi USA tuwasaidie hawa Makobaz kwenda kupata mema hizo 🔥Na unapewa miguvu ya extra mzee 😅😅
Nguvu za wanawake 100 alafu unakuwa na 72... 😅😅 Mbingu ya mitombo na mito ya pombe na kitimoto huko ni kunenepeana tu
Sawa tuta ona Iran kama atarudi kwenye meza kisha dharauliwa na IranKama aliondoa kila kitu, hiyo sehemu ndogo iliharibiwa ni sehemu ndogo ya nini? USA katest mitambo tu, katoa muda Iran kurudi mezani, la sivyo litamkuta jambo.
Ila Israel kaweza peleka ndege na kupiga kila siku.Kwa support ya 🇺🇸 waajemi watapigwa, ila toe to toe mzayuni hawezi kumpiga muajemi, tena ambaye anachezea vikwazo vya kiuchumi miaka 46 sasa.
Sa wewe kenge uliona wapi nuclear ikapigwa bila kutoa radiation hio itakuwa kisima cha maji basi hahahaKusema hata wewe unaweza kusema, waruhusu watu wapige picha.
Mambo yenyewe kama haya.. wawahi tuAh ngoja sisi USA tuwasaidie hawa Makobaz kwenda kupata mema hizo 🔥
Ukraine tu kamshindwsUrusi wajibu mapigo kwa Marekani itokee Vita kuu ya tatu ya dunia tupate mademu wa bure ( wakimbizi)
Na Sisi akina Likud TUWAONJEMO mademu wa Ki -Iran, Syria etc.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
IAEA pia wamethibitisha hakuna madhara yalio tokea kwenye hizo 3 Nuclear Facilities si ajabu hata Iran asimjibu USA, akaendelea kumtandika Israel. Hakuna walicho fanikisha USA kwenye hicho kipigo au Israel
US na Israel wamepata shock hakuna walicho gain Nuclear za Iran ziko sehemu ya usalama kabisa.
View: https://youtu.be/5paDgFWU4qI?si=v9DNxeHlB1NQJLFB
Athari kwa Iran haziko restricted?Bila military censorship iliyopo Israel, tungejua mengi kuhusu madhara yanayosababishwa na makombora ya Iran!
Mnadhani kuhamisha vifaa vya nuclear ni sawa na kuhamisha sufuria ya kande.Iran ilitangaza kuviondoa vitu muhimu kuvipeleka kusikijulikana siku nyingi sana ,na hizo sites zilishashambuliwa mara kadhaa 🤣
Mimi mchilam swala 5 naona Iran kapewa haki yake stahili.Mimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.
Hizo vumbi kwenye miguu zinakupa picha ni watu gani.Middle ipi wakati hauna kombe View attachment 3378420
Mnadhani kuhamisha vifaa vya nuclear ni sawa na kuhamisha sufuria ya kande.