Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,601
- 34,760
Waisrael wanaenda Cyprus kufanya nini? Hali ya Tel Aviv na Haifa ndio moto unaoongelea?Kwa moto waliopelekewa, nuclear hawatajaribu tena na ugaidi wataacha kabisa, Ayatollah kwenye bunker lake sasa anashukuru mungu maana Israel na US wamepata walichopata hopefully watamwacha