Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump anahutubia sasa hivi anasema eti Iran is the bully of the Middle East 🤣.
Tatizo walipiga vibaya hesabu zao. Ukiona mpaka hiyo Israel imepiga marufuku waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi za hiyo vita, ni ushahidi tosha kuna uharibifu mkubwa umetokea.

Na hapo walikuwa wanajisifia kudhibiti anga la Iran, walijisifia wana mitambo ya kisasa ya Iron Dome, sijui Rafael nani, THAAD!! Ila mwisho wa siku Irani amekuwa akishambulia na malengo yake kutimia kwa sehemu kubwa.

Hii vita nadhani itapunguza huu upumbavu wa Marekani na mdogo wake wa damu Israel wa kutafuta chokochoko za kuanzisha vita kote duniani, ili tu kuuza silaha na pia kutangaza teknolojia zao mpya.
 
We uliwahi kuona wapi upige Nuclear kuwa hakuna hata madhara. Iran wameisha shinda vita lazima US na Israel wakubali tu Iran Nuclear Program ipo pale pale ni time tu wakiamua kutest Nuclear wana test.
Haya mkuu kuwa na swallat alfajiri njema.
 
Waisrael wanaenda Cyprus kufanya nini? Hali ya Tel Aviv na Haifa ndio moto unaoongelea?
Kutoka kurusha missiles 200 Kwa pamoja mpaka kurusha missiles 50 hayo ni mafanikio Makubwa Kwa IDF Allah aendelee kuwatia nguvu waja wake Wana wa Israel inshallah.
 
Ayatollah akisome hiki kitabu cha War And Peace haraka sana, ili akaribie meza ya mazungumzo la sivyo kuna makubwa yanakuja :

1750558651830.jpeg
 
Tatizo walipiga vibaya hesabu zao. Ukiona mpaka hiyo Israel imepiga marufuku waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi za hiyo vita, ni ushahidi tosha kuna uharibifu mkubwa umetokea.

Na hapo walikuwa wanajisifia kudhibiti anga la Iran, walijisifia wana mitambo ya kisasa ya Iron Dome, sijui Rafael nani, THAAD!! Ila mwisho wa siku Irani amekuwa akishambulia na malengo yake kutimia kwa sehemu kubwa.

Hii vita nadhani itapunguza huu upumbavu wa Marekani na mdogo wake wa damu Israel wa kutafuta chokochoko za kuanzisha vita kote duniani, ili tu kuuza silaha na pia kutangaza teknolojia zao mpya.
Kwan Iran waandishi wa habar wanaruhusiwa kutoa taarifa? Hizo ni mbinu za kivita na ndio maana hata idadi ya watu wanaokufa huko Iran serikali umeona isiendelee kutangaza hata wakati wa vita vya Kagera Kuna mwandishi wa Television ya taifa alishawahi kusimamishwa kazi na Nyerere kisa ni kusema ukweli kuhusu idadi ya vifo vya JWTZ kwenye Frontline
 
Gaidi ni mtu ambae kwa kujua ama kuto kujua atafanya uharifuuu dhidi ya binadamu kama kutoa uhai wa binadamu wenzake bila huruma, kuharibu miundo mbinu mbali mbali kijamii ,kisiasa na kiuchumi.

Pia Neno ugaidi/ magaidi ni very wide Sana mfano kutishia USALAMA wa dunia pia ni ugaidi ie. Kutengeneza mabomu ya maangamizi ni ugaidi pia ni imekua ngumu kutenganisha izi dhana mbili UISLAMU NA UGAIDI ni SAME BIRDS WITH THE SAME FEATHERS.

Simply ugaidi ni, an involvement of an act of violence, an audience, the creation of a mood of fear, innocent victims. Kifupi ULIPO UISLAMU RADICAL KUNA 99% YA KUTOKEA UGAIDI CASE STUDY ZIPO NYINGI REFER ISSUE ZA KUCHINJA REFER MAMBO YA KUJITOA MUHANGA NA KUJILIPUA.
Nilijua kuna vijana much know kama wewe bado mpo brainwashed.
Hii dunia imeharibiwa amani na USA na Israel pamoja na wazungu wote.
Labda nianze kutaja kwanza hayo maafa.
1.Crusade war walianzisha Roman Catholics Roman empire.
2.Trans Atlantic slave trade walianzisha wazungu wakristo.
3.Colonialism walianzisha wazungu wakristo.
4.World war 1 & 2 walianzisha wakristo.

Aya nitajie matukio ambayo waislam walifanya ya uvunjifu amani??

-Russia na Ukraine aliyechochea vita ni NATO.
-USA alivamia Iraq na kuharibu utawala na kuua watu wasio na hatia kikatili,ushahidi wa Jullian Assange upo na unalezea yote hayo.
-Israel na USA iliiundia zengwe Syria kipindi inakua kiuchumi Damascus crisis wakati huo wa 1950-1960s Syria ilikua haina shida na Israel hata kidogo.
-Israel ilichochea sunni na kuwaunga mkono kisilaha ili wawaue wakristo Lebanon na kuleta machafuko ya civil war kipindi Lebanon ikiendelea kiuchumi.

Utakwepa wapi kijana?
Au unadhani sisi ni watoto?
Hii dunia ni NINYI WAKRISTO KWA TAMAA ZENU ZA IMPERIALISM NDIO MMEIHARIBU.

NAKUONGEZEA NA JAMBO LA MWISHO.
USA imekua ikifanya biological weapons na nuclear weapons test katika visiwa vya Marshall bila huruma yeyote.
Imeharibu hali ya hewa ya hivyo visiwa na imeharibu Kila kitu katika hivyo visiwa kwa kufanya hayo majaribio.
-Vipi kuhusu vita ya Vietnam nani kahusika?
-DR Congo Israel anahusika kwa kuzalisha blood diamonds.

Unaweza kututajia maafa ambayo waislam walileta makubwa ya kidunia??
Nasubiri jibu.
 
Kutoka kurusha missiles 200 Kwa pamoja mpaka kurusha missiles 50 hayo ni mafanikio Makubwa Kwa IDF Allah aendelee kuwatia nguvu waja wake Wana wa Israel inshallah.
Kuna BM , Cluster BOM na Hypersonic! Ubora una matter sana.
Makombora ya awali yalikuwa kuchosha Iron Dome ambayo leo haiongelewi tena!
Juzi iliteremka cluster, unahitaji BM za kawaida za nin

Hoja, Iran wapo katika vikwazo miaka 15. Ni wao pekee waliowahi kuivuruga Israel hasa Tel Aviv na Haifa tangu Taifa hilo liundwe. IDF tuliyoambiwa ni jeshi kali leo lina operate kutka cyprus ni kama vikosi maalum vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar! Jeshi ni la UK na USA

Kumbuka Iran inapambana na US, UK, Jordan, Saud na Israel kwa wakati mmoja!
 
Kuna BM , Cluster BOM na Hypersonic! Ubora una matter sana.
Makombora ya awali yalikuwa kuchosha Iron Dome ambayo leo haiongelewi tena!
Juzi iliteremka cluster, unahitaji BM za kawaida za nin

Hoja ni kwamba Iran wapo katika vikwazo miaka 15. Ni wao pekee waliowahi kuivuruga Israel Tel Aviv na Haifa tangu Taifa hilo liundwe. IDF tuliyoambiwa ni jeshi kali leo lina operate kutka cyprusm ni kama vikosi maalum vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Kumbuka Iran inapambana na US, UK na Israel kwa wakati mmoja!
Kazi imeisha, nuclear programs hazipo tena na Ayatollah sijui kama atakuwa na hamu au nguvu ya ugaidi tena, time to rebuild na kuacha kuishi zama za mawe
 
Kapiga hewa huyo🤣🤣🤣....Hawana jinsi mtoto wa taifa la Mungu hanithi kashindwa ,wanajiingiza unafanya mchezo nini na watu wa jihad.🤣
 
Tatizo walipiga vibaya hesabu zao. Ukiona mpaka hiyo Israel imepiga marufuku waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi za hiyo vita, ni ushahidi tosha kuna uharibifu mkubwa umetokea.

Na hapo walikuwa wanajisifia kudhibiti anga la Iran, walijisifia wana mitambo ya kisasa ya Iron Dome, sijui Rafael nani, THAAD!! Ila mwisho wa siku Irani amekuwa akishambulia na malengo yake kutimia kwa sehemu kubwa.

Hii vita nadhani itapunguza huu upumbavu wa Marekani na mdogo wake wa damu Israel wa kutafuta chokochoko za kuanzisha vita kote duniani, ili tu kuuza silaha na pia kutangaza teknolojia zao mpya.
Israel kapigwa kithenge ,yaani kuna jamaa wako huko wanasema watu wamekufa wengi .... Israel sasa ukitoa taarifa ni kesi ...Wajinga wamepigwa hawatorudia tena🤣🤣
 
Kama Iran ilikuwa haina plan A,B,C, na D kuhusu hivyo vinu, basi watakuwa mabwege sana.

Mtu yeyote mwenye akili alitakiwa awe Amish India vitu vyote vilivyo nyeti.
Kazi ya majasusi na mapandikizi n nn? Unadhan USA au Israel haina watu kwenye nafasi za maamuz ya namna hii hapo Iran? Iran iko uchi haina cha kuficha
 
Nilijua kuna vijana much know kama wewe bado mpo brainwashed.
Hii dunia imeharibiwa amani na USA na Israel pamoja na wazungu wote.
Labda nianze kutaja kwanza hayo maafa.
1.Crusade war walianzisha Roman Catholics Roman empire.
2.Trans Atlantic slave trade walianzisha wazungu wakristo.
3.Colonialism walianzisha wazungu wakristo.
4.World war 1 & 2 walianzisha wakristo.

Aya nitajie matukio ambayo waislam walifanya ya uvunjifu amani??

-Russia na Ukraine aliyechochea vita ni NATO.
-USA alivamia Iraq na kuharibu utawala na kuua watu wasio na hatia kikatili,ushahidi wa Jullian Assange upo na unalezea yote hayo.
-Israel na USA iliiundia zengwe Syria kipindi inakua kiuchumi Damascus crisis wakati huo wa 1950-1960s Syria ilikua haina shida na Israel hata kidogo.
-Israel ilichochea sunni na kuwaunga mkono kisilaha ili wawaue wakristo Lebanon na kuleta machafuko ya civil war kipindi Lebanon ikiendelea kiuchumi.

Utakwepa wapi kijana?
Au unadhani sisi ni watoto?
Hii dunia ni NINYI WAKRISTO KWA TAMAA ZENU ZA IMPERIALISM NDIO MMEIHARIBU.

NAKUONGEZEA NA JAMBO LA MWISHO.
USA imekua ikifanya biological weapons na nuclear weapons test katika visiwa vya Marshall bila huruma yeyote.
Imeharibu hali ya hewa ya hivyo visiwa na imeharibu Kila kitu katika hivyo visiwa kwa kufanya hayo majaribio.
-Vipi kuhusu vita ya Vietnam nani kahusika?
-DR Congo Israel anahusika kwa kuzalisha blood diamonds.

Unaweza kututajia maafa ambayo waislam walileta makubwa ya kidunia??
Nasubiri jibu.
Usingizi umeanza kuninyemelea hapa na UHAKIKA nikiamka mpaka saa nne asubuh nakuwa nimekujibu.
 
Back
Top Bottom