Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Ndipo akili zitakukaa sawa kuwa ilipo Israel pia USA yupo na kinyume chake ni sawa.Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣
Nani alisemaga "kuishi karibu na mahakama si kujua sheria"?
Unadhani kuzaliwa ufukweni ndiyo tiketi ya kuwa baharia?
Tulia ushuhudie kuwa dunia kila kitu ni mipango wala hakuna kukurupuka.
Fatilia maisha ya B. Netanyau tangu azaliwe utagundua hata yeye kuwa mahali alipo sasa ni mipango maalum wala si kukurupuka.
Russia kuwa vitani na Ukraine, China kuwa na mgogoro endelevu na Taiwan huku ikipigana vita vya kiuchumi na USA, Pakistani na India kuingia vitani ni mipango iliyosukwa miaka 50 nyuma kabla ya matukio yote hayo.
Kabla hujazaliwa Israel ilikuwa vitani hadi leo hii ukiwa na akili timamu ilihali haijawahi kushindwa vita dhidi ya mataifa mbali mbali wala kutetereka kiuchumi hata mara moja.
Ulimwengu una siri nyingi kuliko unavyoifahamu dunia.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.