Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Haya sasa ndio mahaba niue, yaani now Iran itakuwa kama Syria kila siku Marekani na Israel watakuwa wanaenda kupiga...

Alafu hiyo kauli ina imply Iran amekubali kupoteza vinu vyake
 
Ili ogopesha Sana Sanaa unajua waislamu wa Iran Wana misimamo mikali Sanaa
Hapana! hawana msiamamo mkali, ni wasomi hawababishwi wala hawadanganywi
SEMA SAFARI HII WAMEPANDA/ WAMEDANDIA MELI YA VIBWENGO.
Umeangalia kilichotokea Tel Aviv! Unaweza kusema wamedandia mtambwi

Labda nikuulize, ungekuwa wewe Iran ungefanya nini?
 
Sasa kama majenerali waliuliwa chumbani unadhani wataficha wapi hizo Uranium
Hatareee sanaa mkuu yaan mtu anajua mpaka uvunguni mwako for sure

Naamini hii project ya kui NEUTRALIZE IRAN haikuanza Jana Wala Leo ukute ni project ya miaka 30 iliyo pita hivyo Iran Hana chake tenaa.

Na hizi vita marekani kajifunza hapigani Tena vita kama enzi za vita ya VIETNAM

Marekani atakua assured na MATOKEO ya nguvu ya Iran na watu wanashinda vita MEZANI ndipo Wana hamishia kwenye WAR FIELD 🏑
 
Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Kuruka ruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Ulitegemea Iran aseme tofauti na hivyo?.
Naomba ujiulize swali la msingi ulisema USA awezi kupiga Iran imekuwaje?. Wakati huo huo Russia. Putin alioimba Israel kuangalia usalama wa wataalamu wake 200 walioko kwenye kiwanda mjini Tehran na Israel akajibu atazingatia Hilo.
Nakwambia Hawa watu ni wamoja mnazungukwa kwa kutokufikili kwa kina.
Alichojari Putin kwenye vita hii ndani ya Iran ni usalama wa wataalam wake na akaiomba Israel kuangalia usalama na Israel akajibu atazingatia.
Ndiyo maana wenye kuona mbali wanajua kwanini Putin alimterekeza Assad na kupinduliwa baada ya Israel kuanza kushambulia Syria. Ushawahi sikia Russia anailaani Israel?.
 
Sasa kama majenerali waliuliwa chumbani unadhani wataficha wapi hizo Uranium
Mimi nafatilia habari sijitolei kichwani hizo Nuclear facilities anajua zipo wapi afu kwa tarifa yako Iran anasema Fordow Nuclear imepata damaged kidogo sana sio kama wanavyo dai USA na Israel.

Sa swali hi vita si israel alijifanya chui vipi yeye Trump aingilie hahaha


View: https://youtu.be/4TAIwfS5mGA?si=Y34X0ye6k-RH6teJ
 
Hapana! hawana msiamamo mkali, ni wasomi hawababishwi wala hawadanganywi

Umeangalia kilichotokea Tel Aviv! Unaweza kusema wamedandia mtambwi

Labda nikuulize, ungekuwa wewe Iran ungefanya nini?
Mkuu,
EMBU angalia ISRAEL ANAPIGANA WITH TACTICS.

IRAN INA RUSHA HYPER SONIC MISSILES NA DRONES OVYO OVYO KAMA MLEVI ANAPIGA MAKAZI YA WATU WASIO NA HATIA JE? INGEKUA VICE VERSA SI NDIO MNGETOA KILA MLIO

MFANO INGEKUA ISRAEL ANA ENDA KWENYE MAKAZI YA WATU NA KUDONDOSHA MABOMU MAZITO MAZITO SI INGEKUA CRIME AGAINST HUMANITY

ANACHO FANYA IRAN NI KAMA MTU ALIE CHANGANYIKIWA FOR SURE NA VITA VINAENDA MWISHO
 
Mmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.
Iran ina nguvu za kijeshi ila ukiweka mizani na akina US na Mdogo wake Israel wamemuacha mbali sana
 
Kama Iran ilikuwa haina plan A,B,C, na D kuhusu hivyo vinu, basi watakuwa mabwege sana.

Mtu yeyote mwenye akili alitakiwa awe Amish India vitu vyote vilivyo nyeti.
Mkuu yale mashambulizi ya Israel yalikua kuharibu na kuweka kwenye hatari ya kuwa karibu na hiyo miundo mbinu unahamishaje hapo mkuu?. Maana kukaa maeneo lengwa ni hatari sana
 
Mimi nafatilia habari sijitolei kichwani hizo Nuclear facilities anajua zipo wapi afu kwa tarifa yako Iran anasema Fordow Nuclear imepata damaged kidogo sana sio kama wanavyo dai USA na Israel.

Sa swali hi vita si israel alijifanya chui vipi yeye Trump aingilie hahaha


View: https://youtu.be/4TAIwfS5mGA?si=Y34X0ye6k-RH6teJ

War propaganda za Iran Umenikumbusha vita vya Kagera HAAHAA
Tulichimbaga andaki wanakijiji enzi izo nipo geita likuaga noma sanaa 🤣
 
Mimi nafatilia habari sijitolei kichwani hizo Nuclear facilities anajua zipo wapi afu kwa tarifa yako Iran anasema Fordow Nuclear imepata damaged kidogo sana sio kama wanavyo dai USA na Israel.

Sa swali hi vita si israel alijifanya chui vipi yeye Trump aingilie hahaha


View: https://youtu.be/4TAIwfS5mGA?si=Y34X0ye6k-RH6teJ

Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.

Iran ni nchi kubwa sana kukosa sehemu zingine za kuhifadhia vitu nyeti.
 
Back
Top Bottom