Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hoja namba moja marekani ni kiranja wa dunia hivyo Ina mbidi kuwakemea wotee wanao kua tishio kwa ustawi wa dunia kuwa sehemu Bora na salama ya KUISHI.Israel imeua rais wengi, imepiga Tehran mtaa mzima! Imeppiga Hospitali
Ingalikuwa inapiga with tactics Gaza isingekuwa kifusi
Watu wengi hawaelewi. Drone zina maana yake si kwa sababu ya ku inflict pain. Iran inatumia Drone kupata habari. Unakumbuka mwaka jana wlaituma drone tena wakitangaza saa zitakapoondoka. Leo vituo vya Iron dome vinapigwa kwasababu Drone zilishapeleka habari
Mabomu waliyotumia yalikuwa ya miaka 25 hadi 30 yakifanyiwa upgrade. Walitumia makusudi ili kuchosha mifumo ya ulinzi ya Israel. Unaona Israel inavyopoke kipigo sasa hivi!
Hawa wa Iran wana akili sana! Yaani wana vikwazo zaidi ya miaka 15 bado wanamdunda '' super power Israel'' Leo IDF ina operate kutoka UK base kule Cyprus. Fikiria kwamba Israel hawawezi kushambulia kutoka nchini kwao, ni kwa msaada wa UK na US
Waziri wa Ulinzi wa Israel alisema almost 90% ya mashambulizi ya Iran yamelenga maeneo ya kijeshi
Wewe ni nani kuliko Israle yenyewe?
Lakini angalia idadi ya watu waliokufa. Israel haijafika 50, Iran 600 huoni kitu hapo
Iran inapiga kwa precision ! makombora yanatua wanapotaka wao!
Israel ALIPIGA GAZA sababu ya magaidi ya Palestine kutumia HUMAN SHIELD ikawa yanajificha kwa raia wema kwenye hospital,mashule e.t.c hivyo Israel hakua na namna Ila KABLA ya kulipua walikua wanatoa ULTIMATUM kwa raia wema.
Unajua ideology ya uislamu ni hatare Sana maana huwa hawaogopi kufa hata hao wairan Wana amini wanaenda kupewa mabikra 72 wakifa Katika Imani yao
All in all, suluhisho la muda mrefu la middle east limeenda kujibiwa this time na mmarekani na muisraeli WHETHER YOU LIKE OR NOT.