KabisaZile wiki mbili ilikuwa danganya toto. Vita sio nzuri Kabisa.
KabisaZile wiki mbili ilikuwa danganya toto. Vita sio nzuri Kabisa.
Well said !Mkuu Russia na USA ukiwaangalia kwenye jicho la akili kubwa utagundua ni kitu kimoja. Angalia trump alipomlazimisha rais wa Ukraine kukubalia na matakwa ya Russia baada ya trump kuzungumza na Putin. Toka vita imeanza ulisikia Putin anailaani Israel iwe kwa Irani Syria Lebanon au gaza?. Wazungu wanacheza michezo ya akili public Kama Wana mizozo na kutokuekewana kwa Siri wanagonga cheazi na glass za mvinyo.
Hahahaaaaa dah umenichekesha sana mkuu.Dogo tulia, Ayatollah ni classmate wangu...
Tena akuache n classmate wako. Dah sawa mkuu. Wakati mwingine lazima tufurahi kwa koment zetu.Dogo tulia, Ayatollah ni classmate wangu...
🤣🤣Kisu kwenye mfupa 🤣
Si ndo wenye USA au haujuhi.Nilisema Israel ni nchi kivuli ya USA, naona sasa nhi husika yenyewe imeamua kupiga moja kwa moja. Who is next? Maana nchi kivulo ni maalum pale kuelekezwe piga yule, piga na yule
😂😂Tuachie sisi Wa-Iran toka Bunda tuwanyooshe USA na Israel, tuliwasubiri siku nyingi sana waingie kwenye 18 zetu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
Hahahaaaaa Tena wakianza kuliwa vichwa viongozi muhimu jeshiniMajemedari wa Iran wakatia mkwala kua WAMEFUNGULIA MILANGO YA KUZIMU😁
Mwanagu wewe kibokoHuu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje
AYATOLLAH kwenye urithi kamkwepesha kijana wake maana angemtaja TU.Hahahaaaaa Tena wakianza kuliwa vichwa viongozi muhimu jeshini
Mrudishe heal the world MJ kwenye avatarmbona hio post ni kama anaomba amani na vita iishe tusubiri kuona damage, wametumia B2?
Wa alikuwa wanaongea sana, alafu mission ilikuwa siri sanaUchokozi tu!
Maana Kuna mkuu alichaguliwa baada ya aliyekuwepo kuuliwa. Kakaa siku nne tu naye akauliwaAYATOLLAH kwenye urithi kamkwepesha kijana wake maana angemtaja TU.
Ukitajwa ama kupewa cheo na ayatollah unageuka KABURI LINALO TEMBEA.
HIVI VITA HAVITO TUMIA MUDA MREFU NA MPAKA MAREKANI KUINGILIA WANAJUAGA JINSI YA KUANZA NA KUMALIZAA
WW3 kwa Iran?Duuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3 .