Utachanganyikiwa kwa sababu kila unachowaza kuhusi Israel akiwi Kama unavyotaka weweIsrael alisha zidiwa ikabidi wanaye mfadhili waingie kumuokoa huoni leo Tela Aviv wamefurahi walikuwa kama wagonjwa vile wautapia mlo hahahaha
Utachanganyikiwa kwa sababu kila unachowaza kuhusi Israel akiwi Kama unavyotaka weweIsrael alisha zidiwa ikabidi wanaye mfadhili waingie kumuokoa huoni leo Tela Aviv wamefurahi walikuwa kama wagonjwa vile wautapia mlo hahahaha
Hata UN inspectors waliionea sana Iran kwa kusema Iran is not complying with nuclear safeguardsWatu wameanisha miaka zaidi ya 77 kwamba Israel ni super power wala haihitaji msaada.
Kwa miaka niliyokuwepo JF siku zote nimeeleza, Israel haiwezi kusimama na Taifa lolote Middle east
Mashambulizi yamefanywa na US, Israel, UK kwa pamoja. Iran haina kosa lolote! uonevu tu
Iran ilipaswa kuwa na hizo alternative plans, regardless.Mkuu yale mashambulizi ya Israel yalikua kuharibu na kuweka kwenye hatari ya kuwa karibu na hiyo miundo mbinu unahamishaje hapo mkuu?. Maana kukaa maeneo lengwa ni hatari sana
Wameondoa kila kitu si ajabu sasa ndio wamempaa kama green light ya kutengeneza Nuclear Boom na wao walikuwa hawana plan hio.Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.
Iran ni nchi kubwa sana kukosa sehemu zingine za kuhifadhia vitu nyeti.
Yes, sasa hivi watengeneze tu hilo bomu maana hakuna namna tena.Wameondoa kila kitu si ajabu sasa ndio wamempaa kama green light ya kutengeneza Nuclear Boom na wao walikuwa hawana plan hio.
Technology imekua Sanaa mkuu na mmarekani na muisrael hawashindwi kuwa na ma agent wao ndani Tena sehemu nyeti nyeti ipo ivyo na huwezi jificha au FICHA KITU.Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.
Iran ni nchi kubwa sana kukosa sehemu zingine za kuhifadhia vitu nyeti.
Israel imeua raia wengi, imepiga Tehran mtaa mzima! Imeppiga HospitaliMkuu,
EMBU angalia ISRAEL ANAPIGANA WITH TACTICS.
Watu wengi hawaelewi. Drone zina maana yake si kwa sababu ya ku inflict pain.IRAN INA RUSHA HYPER SONIC MISSILES NA DRONES OVYO OVYO KAMA MLEVI ANAPIGA MAKAZI YA WATU WASIO NA HATIA JE? INGEKUA VICE VERSA SI NDIO MNGETOA KILA MLIO
Waziri wa Ulinzi wa Israel alisema almost 90% ya mashambulizi ya Iran yamelenga maeneo ya kijeshiMFANO INGEKUA ISRAEL ANA ENDA KWENYE MAKAZI YA WATU NA KUDONDOSHA MABOMU MAZITO MAZITO SI INGEKUA CRIME AGAINST HUMANITY]
Iran inapiga kwa precision ! makombora yanatua wanapotaka wao!ANACHO FANYA IRAN NI KAMA MTU ALIE CHANGANYIKIWA FOR SURE NA VITA VINAENDA MWISHO
Intelligence ya US isimuone akihamisha?Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.
Iran ni nchi kubwa sana kukosa sehemu zingine za kuhifadhia vitu nyeti.
Hao pro iran wamechanganyikiwa wanaongea tu kila kinachowajia kichwani.Technology imekua Sanaa mkuu na mmarekani na muisrael hawashindwi kuwa na ma agent wao ndani Tena sehemu nyeti nyeti ipo ivyo na huwezi jificha au FICHA KITU.
Sahihi kabisa mkuu. Iran wangetumia akili kubwa wangefanikiwa Hata kwenye nyukilia. Lakini unaanza plan tu matangazo kibao Tena ya kuifuta Israel. Si wangekaa kimya bila matangazo ya kipumbavu Kama ya kufuta nchi fulani. Mpaka mpango wao ukamilikeIran ilipaswa kuwa na hizo alternative plans, regardless.
Walipaswa wapange mipango yao kana kwamba wanajiandaa na kushambuliwa.
Watu wenye akili ndo wanapaswa ku operate hivyo.
Hahaaa hao hao Israel na US walishindwa kuubaini ukweli kuhusu silaha za maangamizi za Iraq.Technology imekua Sanaa mkuu na mmarekani na muisrael hawashindwi kuwa na ma agent wao ndani Tena sehemu nyeti nyeti ipo ivyo na huwezi jificha au FICHA KITU.
It's too late mkuuYes, sasa hivi watengeneze tu hilo bomu maana hakuna namna tena.
Issue itaficha wapi Visilipuliwe... Kama Israel ilikuwa inajua mshauri mkuu wa Ayatollah anakaa chumba namba ngapi unadhani hawatapata Taarifa?Mimi nitashangaa sana kama Iran ilikuwa bado imehifadhi vitu nyeti kwenye hizo sites.
Iran ni nchi kubwa sana kukosa sehemu zingine za kuhifadhia vitu nyeti.
Povu!! Umepigwa wapi unaumia hivyo wewe mswahili mweusi tii wa matombo? Kunywa maji ukalale sasaKwa Ukweli uwezi kuishinda Israel wkt uwo uwo Babake yupo na Bado ananguvu kwenye eneo !!
kwasasa vita ipo kwenye kipimo chake rasmi m
mimi binafsi nilitamani Marekani nayeye awemo Vitani !!
ili Iran na Washilika wake waamue cha kufanya !!
Ukweli Marekani ana kambi nyingi eneo ilo na ndio kikwazo kwa Ukombozi wa Palestina !!
tujipe week tutaweza kuitasmini Vita.
IAEA pia wamethibitisha hakuna madhara yalio tokea kwenye hizo 3 Nuclear Facilities si ajabu hata Iran asimjibu USA, akaendelea kumtandika Israel. Hakuna walicho fanikisha USA kwenye hicho kipigo au IsraelYes, sasa hivi watengeneze tu hilo bomu maana hakuna namna tena.
Uo ndio ukweliMkuu Russia na USA ukiwaangalia kwenye jicho la akili kubwa utagundua ni kitu kimoja. Angalia trump alipomlazimisha rais wa Ukraine kukubalia na matakwa ya Russia baada ya trump kuzungumza na Putin. Toka vita imeanza ulisikia Putin anailaani Israel iwe kwa Irani Syria Lebanon au gaza?. Wazungu wanacheza michezo ya akili public Kama Wana mizozo na kutokuekewana kwa Siri wanagonga cheazi na glass za mvinyo.
Mchunguzeni huyo hayatola wenu: labda ni undercover wa Israel pia 😂😂😂😂Israel imeua rais wengi, imepiga Tehran mtaa mzima! Imeppiga Hospitali
Ingalikuwa inapiga with tactics Gaza isingekuwa kifusi
Watu wengi hawaelewi. Drone zina maana yake si kwa sababu ya ku inflict pain. Iran inatumia Drone kupata habari. Unakumbuka mwaka jana wlaituma drone tena wakitangaza saa zitakapoondoka. Leo vituo vya Iron dome vinapigwa kwasababu Drone zilishapeleka habari
Mabomu waliyotumia yalikuwa ya miaka 25 hadi 30 yakifanyiwa upgrade. Walitumia makusudi ili kuchosha mifumo ya ulinzi ya Israel. Unaona Israel inavyopoke kipigo sasa hivi!
Hawa wa Iran wana akili sana! Yaani wana vikwazo zaidi ya miaka 15 bado wanamdunda '' super power Israel'' Leo IDF ina operate kutoka UK base kule Cyprus. Fikiria kwamba Israel hawawezi kushambulia kutoka nchini kwao, ni kwa msaada wa UK na US
Waziri wa Ulinzi wa Israel alisema almost 90% ya mashambulizi ya Iran yamelenga maeneo ya kijeshi
Wewe ni nani kuliko Israle yenyewe?
Lakini angalia idadi ya watu waliokufa. Israel haijafika 50, Iran 600 huoni kitu hapo
Iran inapiga kwa precision ! makombora yanatua wanapotaka wao!
Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣