Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Kwa ububusa tukubaliane na ''definition yako'' . Je, anayetengeneza Magaidi naye ni Gaidi? au Gaidi ni yule anayetekeleza! Kumbuka neno '' Uhalifu siyo Uharifu''

Israel ina silaha za maangamizi, nayo ni Gaidi? Mabomu yaliyotumika leo ni ya maangamizi, US nayo ni magaidi?

Kujitoa mhanga una maanisha '' kamikazi''?
Sawa mkuu ngoja nisinzie kwa Sasa tutarejea Tena PANAPO MAJALIWA TENAA
 
Acha uzwazwa ww kua mkristo sisi ina tuhusu nini kwani hii ni vita ya uislam vs ukristo!?
Sema Iran kabondwa na israhell full stop ayo mengine ni juu Yako
Kukujibu vibaya mwanamke mrembo kama wewe ni kujiaibisha.
 
1750561155557.jpeg
 
Kwa hiyo wewe una taarifa nyeti za Iran kuliko USA?
Iran ilitangaza kuviondoa vitu muhimu kuvipeleka kusikijulikana siku nyingi sana ,na hizo sites zilishashambuliwa mara kadhaa 🤣
 
Kuna vitu Watanzania hawavielewi na wewe ni mmoja wapo

Baada ya Trump kuvunja JCPOA Iran ikaendelea kurutubisha uranium kwasababu hakuna mkataba tena.
Hicho ndicho UN Atomic agency wanasema

Juzi , kiongozi wa Atomic Energy amesema hakuna dalili au ishara kwamba Iran inatarajia au imejaribu kutengeneza silaha za Nyuklia.

Watanzania hawajui mambo mengi! hoja hizo mbili ni vitu tofauti

Ingalikuwa hivyo US wasingemtengeneza Osama aliyewapiga wenyewe! Alqaeeda ni zao la Marekani

Makao makuu ya IDF na MOSSAD yapo katikati ya makazi. Zile Iron Dome zipo Tel Aviv kati kati ya makazi
Hospitali iliyopigwa jirani kulikuwa na jengo la Intelligence Unit.
Ultimatum kwa mgonjwa aliye ICU inamsaidia nini?

Tupe ushahidi wa Shule au Hospitali moja iliyokutwa na vifaa vya HAMAS. Israel inasema hawajaona! wewe unasemaje?

Propaganda tu! Russia wana idelogy gani? Ukraine wana idelology gani?
Brazil, Spain, Columbia, Argentina zimelaani kitendo cha Israel! Unajua kwanini nakutajia nchi hizo!

Well, kwa uelewa wako sikulaumu!

Nani anatawala Iraq! Taliban wanatawala nchi gani. Rais wa Syria si aliitwa Gaidi leo Marekani wanakaa naye meza moja. Hebu tuelimishe Gaidi ni nani!
Kitu kimoja ambacho unapaswa kufahamu ni kuwa kupigania haki na usawa ni jambo muhimu lakini lazima uwe na plans kwani what rules are the laws of the jungle, kulialia hakusaidii bali you have to fight and fighting strategically is the only way.
Mighty is right so they say.
NB: US & UK hao(hizo) ni miongoni mwa silaha za Israel.
 
Atatengeneza fordow nyingine baada ya miaka 100
Alishasema tangu juzi 🤣🤣🤣hawasemi uongo 🤣🤣 yaani hata shule tatizo ,nyuklia facilities zipigwe unajua hata athari zake?
Endelea kusapot hao Gooner
 
Wameondoa wapi? Kwamba Iran ataondoa alafu israel au usa asijue? Yan waweze kuvamia chumban kwako na kukuua washindwe kijua ukihama? Mnamatatizo ya akili ya nyie
Haya we ndio una akili unaye dhania US anakuona mpaa time unakwenda kunya hahaha
 
Kwa hiyo baada ya kupiga ndio unaona ni wakati WA amani. Kwann usiitafute kabla ya kujeruhi.

Lkn hii vita ya Israel na Iran ni vita ambayo imejaa
1. Propaganda sana
2. Technology
3. Ushawishi
4. Intelligence ya Hali ya juu
 
Back
Top Bottom