Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Kwani Iran kasarenda au ndio unatumia makalio kufikiriMapenzi yatakuua ww, ila ukweli unaujua 😂
Iran kushambuliwa na nchi mbili ndo unamuona kidume 😂
Mbona nchi kama 20 za kigaidi hapo Middle East mnamshambulia Israel tangu kitambo na bado Israel yupo tuu anagawa dozi.
Nan kidume hapo?