Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Makobaz bhana 😂 pamoja na kipigo ila bado mnajifanya mnakazaIran ili SEMA Israel wamechezea KOKI YA KUZIMU 🤣
Makobaz bhana 😂 pamoja na kipigo ila bado mnajifanya mnakazaIran ili SEMA Israel wamechezea KOKI YA KUZIMU 🤣
Jiandae kuandika RIP classmateDogo tulia, Ayatollah ni classmate wangu...
Dah kumbe Makobaz wanaijua akili ya Trump wakapanga kummaliza mapema 😂Baada ya koswakoswa na risasi afu mhusika ikasemekana ni mu Iran ndo akaamua kuwa mwehu
Israel alisha zidiwa ikabidi wanaye mfadhili waingie kumuokoa huoni leo Tela Aviv wamefurahi walikuwa kama wagonjwa vile wautapia mlo hahahaha
View: https://youtube.com/shorts/X7-nyluqNIc?si=-lvLeAj5d_PBItah
IAEA wanasema hakuna madhara yeyote yametokana na kupigwa hizo 3 Nuclear facilities hi ni dalili waxi Iran kawachezea akili USA na Israel
Ngoma bado ngumu.Hadi marekani kufanya shambulio inamaanisha kafanya tathmini kaona anammudu muiran.
Iran mdomo mwingi uwezo kidogo kiukweli kaniangusha sana.
Nilijua ngoma ingekuwa ngumu lakini tofauti na nilichoona.
Imethibitisha kupigwa hio sehemu je wamesema ime destroyed Fawder nuclear facility?Shirika la habari la Iran limethibitisha sasa wewe unakataa 😀😀😀 daaah
Anaonewa kwenye angle gnMimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.
Makobaz bhana 😂 pamoja na kipigo ila bado mnajifanya mnakaza
Mbona Saudi Arabia au Qatar hatujasikia matukio ya kigaidi na nchi zinazoendeshwa kwa misingi ya dini ya Kiislam ?Gaidi ni mtu ambae kwa kujua ama kuto kujua atafanya uharifuuu dhidi ya binadamu kama kutoa uhai wa binadamu wenzake bila huruma, kuharibu miundo mbinu mbali mbali kijamii ,kisiasa na kiuchumi.
Pia Neno ugaidi/ magaidi ni very wide Sana mfano kutishia USALAMA wa dunia pia ni ugaidi ie. Kutengeneza mabomu ya maangamizi ni ugaidi pia ni imekua ngumu kutenganisha izi dhana mbili UISLAMU NA UGAIDI ni SAME BIRDS WITH THE SAME FEATHERS.
Simply ugaidi ni, an involvement of an act of violence, an audience, the creation of a mood of fear, innocent victims. Kifupi ULIPO UISLAMU RADICAL KUNA 99% YA KUTOKEA UGAIDI CASE STUDY ZIPO NYINGI REFER ISSUE ZA KUCHINJA REFER MAMBO YA KUJITOA MUHANGA NA KUJILIPUA.
Kwa nini iitwe WW3, wakati Tanzania hatujashiriki? Hiyo ni vita Yao wasitake kukuza mambo!Duuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3
Haaahaa 😊 😅Makobaz bhana 😂 pamoja na kipigo ila bado mnajifanya mnakaza
Kwan hizi vita zimeanza lini, Mbona Israel Hua anawatwanga hapo Middle East bila hata msaada wa USAUSA mchokozi sana, si angewaacha Israel wapambane wenyewe kama wana ubavu?
USA na Israel wanafadhili vikundi gn, nitajie kimoja tuuIla magaidi makubwa kama USA na Israel yanayofadhili vikundi vya kigaidi duniani kwa ajili ya maslahi yao binafsi hujawahi kusikia ama kushuhudia enhee?
Baki kupigwa propaganda na mashog, a wenzako hivyo hivyo.
Kwa lipi hasa walilonalo ?Ukishasikia wamarekani wanasema ondokeni sehemu fulani ondokeni kweli
Civilization+political tolerance ndio msingi wa hizo nchi kule walisha wiping all radical Muslims.Mbona Saudi Arabia au Qatar hatujasikia matukio ya kigaidi na nchi zinazoendeshwa kwa misingi ya dini ya Kiislam ?
Ishu sio kumiliki nuclear, ishu Ni kichaa kumiliki nuclear.Iran anatakiwa awe na nuclear. Nimeshangaa kwamba hawana nuclear mpaka muda huu.
Wangekuwa na nuclear US asingeiza pua yake hapo. Angeishia kuisaidia Israel kwa mgongo wa nyuma kama alivyofanya kwa Ukraine.
Russia na North Korea haziguswi sababu zina nuclear bomb.
Noma sanaaUsimuache Kosugi
Afu wachumba wanawasumbua tangu enzi hizo mpaka sasa 😂 mmebaki na story ety tutaifuta Israel kwenye uso wa dunia 😂Israel ni wachumba tu.