Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Kitu pekee ninachokiamini na nitaendelea kuamini maisha yangu yote ni kwamba, USA ndio nchi pekee duniani inayoleta usawa na ku-balance mambo hasa kwenye mambo ya amani duniani, kungekuwa hakuna USA bc vita ingekuwa ni jambo la kawaida sana duniani mana vichaa wa hapo Middle East wapo wengi mno (Islamic states)
Sikutegemea kama ungewahi kuropoka namna hii aisee.
USA ndiye muharibifu mkubwa wa amani hapa duniani na mifano nakutolea.
-Vita ya Korea hadi Korea kugawanyika aliichochea USA.
-Vita ya Iran vs Iraq aliichochea USA.
-Vita ya Russia vs Ukraine aliyeichochea ni USA.
Haijatosha bwana wako USA kaharibu visiwa vya Marshall kwa kugeuza watu lab rats huko.
 
Hakuna chochote Russia mwenyewe kajitoa kasema alitaka kuingia makubaliano ya ulinzi wa anga la Iran lkn Iran haikuwa tayari so hawezi kumlinda Iran thidi ya mashambulizi yoyote ,hay kiduku nae kamdomo matendo ziro, china Yuko bize kujenga uchumi wake Hana mda huo mchafu wa kulisk
Iran, Kuna mahala ( hisia ) akizingua, kupuuza hilo jambo kama kweli nasikia pia na China alikataa baadhi ya vitu akiamini kwenye uwezo wake. Ngoja tuuone uwezo wake hadi mwisho
 
Usafi wa kina unaendeleaaa mazeee patam sana hadi rahaaa... Kobaz hoyee
 
Alichofanya Israel muda wote huu ilikua ni kudhoofisha ulinzi wa anga wa irani ili ndege za marekani zikamalizie walichotaka kufanya, Israel haikuamka tuu na kuamua kwenda kushambulia irani ilikua ni mipango
 
Hadi marekani kufanya shambulio inamaanisha kafanya tathmini kaona anammudu muiran.

Iran mdomo mwingi uwezo kidogo kiukweli kaniangusha sana.

Nilijua ngoma ingekuwa ngumu lakini tofauti na nilichoona.
 
Huyu trump wa sasa mbona ni tofauti kabisa na yule aliye tawala awamu ya kwanza?
Nilimsikia Putin akisema ukishakuwa Rais wa Marekani, wanakuja kukutembelea watu wanaovaa suti na tai ila sio tai nyekundu kama ya Rais na mikoba. Hawa watu wanakuja kukupa maelekezo ya namna mambo yanavyotakiwa kwenda. So huenda awamu hii hao watu wamemtembelea Bwana Trump.
 
Iran alijenga Fawdar nuclear facility kibambe mpaa B2 hawakuigusa we unajidai super power una MOP linaenda jama 600 meter wakati Fawdar Nuclear facility ya Iran ipo 900 meter to 1 km kutokana na IAEA
Shirika la habari la Iran limethibitisha sasa wewe unakataa 😀😀😀 daaah
 
Untitled (1).png
 
Back
Top Bottom