LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Usimuache KosugiBila kumsahau kimsboy🏃🏃
Usimuache KosugiBila kumsahau kimsboy🏃🏃
Na NYIE Iran tafuteni sponsorIsrael bila msaada wa USA na Western countries is NOTHING
unapigwa wewe unamuita baba yako aje akusaidie. Kama wewe kidume pigana peke yako basi.
Pamoja na yote supapawa wa middle east ni Iran
Kinyonge sanaHabari za mjini ndio hizo haya tusubiri matokeo
Kama muvi za DJ JACK wanzoamgalia kule uswahilini...😂Wanadhani ni movie ya Rambo😂
Mbona rais wa Iran aliyepita amenyolewa uhai na Israel, hata huyu nae anaandaliwa aina ya kifoIsrael na mumewe USA hadi sasa wamefanikiwa kumuondoa Ayatollah kama sehemu ya mkakati wao ?
Hadi hapo hujaona nguvu ya Iran hadi mataifa kadhaa kumchangia?
Ni sawa na wewe unapigana na mwenzako halafu ulivyoona unazidiwa ukamuimba mume wako akusaidie kuingilia ugomvi lakini bado licha ya mume kuingilia ugomvi hamjafanikiwa kumdhibiti mbabe wenu.
Hapo utatoka unashangilia wewe ni mshindi ama ni dhaifu?
Watu wakawa hawaelewi wala kushughulisha ubongo kufikir badalayake wakawa wanaitizama kimhemko nakuweka ushabiki badala ya uhalisia, mara Amerca akijaribu tuu kushambullia moja kwa moja kambizake zitateketezwa na pia urusi ataingilia kati, haya Amerca ndo keshafanya yake tusubiri ya kushambuliwa base zake na china na urusi kupga makombora israelMmmh ili Jambo siyo jepesi Kama watu walivyokuwa wanaleta ushabiki wa kijinga. Kilikuwa na maswali mengi wenye akili kujiukiza. Iweje Israel wajiamini mpaka waanze kushambulia nchi Kama Iran ambayo Ina nguvu kijeshi. Israel imejiamini nini?.
Israel imeshambuliwa asubuhi hii.Usimuache Kosugi
Mimi ni Jew's, ila sijapenda Iran anavyo pondwa🥺🥺Na NYIE Iran tafuteni sponsor
Israel imeshambuliwa asubuhi hii.
Tel Aviv na Haifa inazidi kugeuka kifusi.
Iran imeapa haitosarenda mbungi bado gumu.
Huyo wakati ashajitoka kitamboTusubiri majibu ya mpambe wake Russia,
Ww jamaa bhana 😂 Kwahy unampangia adui aina ya silaha kukupiga? Na nyie Iran tafuteni super power was kuwasaidiaSasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣
Iran wababe na wajeuri. Mimi kwenye hili am learning from Iran zaid kuliko hawa wenzetu. Kwa mwanaume rijali, kauli ni moja tu, i surrender au i fight, Iran kaamua kuvimba, na bora avimbe mpaka mwisho , itakua funzo. Asikubali kirahis rahis uonevu anaofanyiwa, japo na yeye ni mkorofiIsrael imeshambuliwa asubuhi hii.
Tel Aviv na Haifa inazidi kugeuka kifusi.
Iran imeapa haitosarenda mbungi bado gumu.
Asijifiche full stop Iran si wababe!?Ayatollah ni supreme leader kidini.
Anayetakiwa kufanya hivyo Iran ni Pezeshkian na wengine ambao ni political leaders wa Iran.
Usiropoke ropoke tu.
Hujielewi unaongea kihisia na ushabiki zaidi.Asijifiche full stop Iran si wababe!?
Hakuna chochote Russia mwenyewe kajitoa kasema alitaka kuingia makubaliano ya ulinzi wa anga la Iran lkn Iran haikuwa tayari so hawezi kumlinda Iran thidi ya mashambulizi yoyote ,hay kiduku nae kamdomo matendo ziro, china Yuko bize kujenga uchumi wake Hana mda huo mchafu wa kuliskDuuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3 .
Danganya toto kivipi?? Trump alisema "Within two weeks" na siyo "after two weeks" sasa kilichofanyika usiku huu kiko "within two weeks"Zile wiki mbili ilikuwa danganya toto. Vita sio nzuri Kabisa.
Ukristo unahusika nin na vita au wakristo ndo wapenda vita au Irani kupigwa nisawa na kupga msikiti ebu tufafanulie mkuuuMimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.